kwanza

The kwanza (sign: Kz; ISO 4217 code: AOA) is the currency of Angola. Four different currencies using the name kwanza have circulated since 1977.
The currency derives its name from the Kwanza River (Cuanza, Coanza, Quanza).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mkuu, hakikisha unakatesti kwanza haka kabomba kabla hujakatumia,utanishukuru

    Zingatia hilo. We katest tu hata kwa kukapiga ukutani ndipo uendelee na mazingira. Nawatakia maandalizi mema ya Eid al-Fitr-2025. Wakaka na Wababa msisahau kuwanunulia dada zetu na mama zetu Abaya. Asante Sledi tayari.
  2. JamiiForums Tanzania Serikali subirini Bodi ya ligi ijiuzulu kwanza dabi itachezwa

    Mpira unaendeshwa kwa kanuni, kama anaesimamia kanuni hizo ameshindwa kusimamia anapaswa kujiuzulu kwanza kabla kitu kikubwa kama wizara kufanya kitu kilekile walichoshindwa bodi ya ligi kukifanya. Serikali isaidie kutupatia mazingira sahihi ya kucheza mpira lakini sio namna ya kuucheza mpira...
  3. JamiiForums Tanzania Nitajie mada yako bora kabisa hapa Jf katika Robo ya kwanza ya mwaka 2025

    Me yangu hii nimei understand sana chuma ni kutoka kwa mtibeli Robertinho.. Thread 'Mambo Makuu yanayoonyesha kuwa wewe ni mwanaume dhaifu na uliyekata tamaa' Mambo Makuu yanayoonyesha kuwa wewe ni mwanaume dhaifu na uliyekata tamaa Kwanini NIMEIPENDA?? Kwa sasa nimerudi kwenye kiini changu...
  4. JamiiForums Tanzania Faida za Kumuoa Binti wa Kwanza Katika Familia

    Katika familia zetu za Kitanzania Binti wa kwanza hulelewa akiwa na uwajibikaji mkubwa kutokana na majukumu aliyobeba tangu utotoni. Huwa na uzoefu wa kusimamia familia, uvumilivu, na ujuzi wa kutatua changamoto. Malezi haya humjenga kuwa mke anayejali, mwenye maamuzi sahihi na mshauri mzuri kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Video: Papa Francis aonekana kwa mara ya kwanza hadharani kupitia dirisha hospitalini

    Papa Francis (88) amejitokeza kwa mara ya kwanza hadharani baada ya kulazwa kwa wiki tano kutokana na nimonia kali iliyohatarisha maisha yake. Kiongozi huyo wa Kanisa Katoliki atatoa baraka kutoka Hospitali ya Gemelli, Rome, kabla ya kurejea Vatican kwa mapumziko ya miezi miwili. Daktari...
  6. JamiiForums Tanzania Namibia yawa taifa la kwanza Afrika kuwa na Serikali ya mfumo jike

    Rais wa Namibia, makamu wa Rais na mawaziri wa wizara nyeti zikiwemo za fedha, mambo ya nje, mambo ya ndani, usalama na uhamiaji wote ni wanawake!
  7. JamiiForums Tanzania Siku ya Kwanza kwenda kubeba Zege hostel za Magufuli. Moto Uliwaka

    SIKU YA KWANZA KWENDA KUBEBA ZEGE HOSTEL ZA MAGUFULI. MOTO ULIWAKA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Nipo zangu likizo wakati nasoma, basi Taikon nikaenda Tandale kwa Mshikaji wangu, Classmate. Ilikuwa jumapili hivi, mfukoni Niko na pesa za Serikali, Bumu zinanisumbua. Baada ya kuonana naye...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Je, ikitokea Simba amemaliza nafasi ya kwanza kileleni na Yanga nafasi ya pili na imebakia mechi moja ya Simba vs Yanga, Je Yanga mtakaa kucheza?

    Nna uhakika Simba akimaliza nafasi ya kwanza kileleni na Yanga akashika nafasi ya pili, je mechi ya mwisho mtakayopangiwa na Bodi ya Ligi ili mcheze na Simba mkishinda mnabeba kombe, mtakaa kwenda kucheza kweli? Yaan Yanga amebakiza mechi moja na Simba ili awe bingwa, mtakaza msicheze Simba awe...
  9. JamiiForums Tanzania Kinachofanyika Ligi ya Serie A pale goli la kwanza la mchezo linapofungwa

    Kwa wiki kadhaa nimekua nikiangalia mechi za ligi ya Italy Serie A. Nimekua nikijiuliza mbona katika kila mchezo goli la kwanza likifungwa kuna watu wanaweka mpira kwenye kimfuko na kisha kukipeleka ndani vyumbani/ofisini huko. Mwenye kujua hili tendo maana yake nini atupe maelezo kwa faida ya...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Othman amshangaa Wasira kupotosha yaliyotokea Angola, asema ameipaka matope Serikali

    Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar, Othman Masoud Othman ameshangaa kauli zilizotolewa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Stephan Wasira na Mwenezi wa CCM Zanzibar Khamis Mbeto kufuatia yeye pamoja na viongozi wengine wa kisiasa kuzuiliwa uwanja wa ndege Airport. Kupata taarifa na matukio yanayojiri...
  11. JamiiForums Tanzania Mwaka 1988 siku ya kwanza kuonavideo ya wimbo Thriller wa Michael Jackson pale Drive inn sikulala usiku

    Sitaisahau hii siku ni miaka mingi 1988 , pale Drive inn Cinema zilipo ofisi za Zantel,Msasani. Tumetoka mtoko wa jioni na mzee wetu kuangalia filamu ambayo siikumbuki ila ninachoku.buka kabla ya filamu ulipigwa wimbo wa Thriller wa Michael Jackson Kwa umri wangu mdogo chini ya miaka 10 yale...
  12. JamiiForums Tanzania Mwanasheria wa Yanga asema waliinyima Simba haki ya kufanya mazoezi kwa kuwa nao walinyimwa mechi ya kwanza

    Ataka busara itumike, kanuni zikae kando kwanza Adhihirisha kuwa mabaunsa walitumwa na uongozi Tuendelee kuhifadhi post walizoweka mwanzo mwanzo, zitasaidia kujua kilichopangwa na kilichofanywa.
  13. JamiiForums Tanzania Hatua 5 wanazopitia watu walioko kwenye mahusiano

    HabarinI ndug zangu Leo nimekuja na mada inayowahusu watu waliopo kweny ndoa au waliopita kweny ndoa Katika mahusiano Kuna hatua 5 kutonakana nadharia ya (chall Chapman). Je? Wew ulio katika stage ipi kati ya hizi 1.romantic stage;hii ni hatua ya kwanza katika mahusiano yanapozaliwa na...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Tido Mhando aongoza kikao cha kwanza cha Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari

    Na Mwandishi Wetu. Mwenyekiti wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari ( Journalists Accreditation Board- JAB) Bw. Tido Mhando, akiongoza kikao cha kwanza cha Wajumbe wa Bodi hiyo ikiwa ni siku moja baada ya kuzinduliwa rasmi na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Palamagamba...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza katika historia, Viongozi wakuu wa Ulaya, Canada na Australia wakutana kujadili namna ya kuisaidia Ukraine bila kumwalika Marekani

    Amani ya ulaya Sasa kulindwa na ulaya pasipo wahuni kutoka Marekani. Viongozi wa ulaya wamekutana kujadili namna ya kuimarisha ulinzi na majirani zao Ukraine pasipo kuwaalika Marekani. Hii ni njia ya kwanza kabisa kuiambia Dunia kuwa Ulaya unarudi kwenye himaya yake. Viongozi waliohudhuria ni...
  16. JamiiForums Tanzania Kwahiyo Bondia Dulla Mbabe alisubiri Kwanza hadi apewe na Rais Samia Tsh Milioni 2 kupitia Msemaji Msigwa ndipo aseme si Mitano bali Kumi tena?

    Yaaani Bondia Dulla Mbabe kapigwa, Rais kampa Tsh Milioni 2, ila Chama cha Mabondia Tanzania hakijapewa chochote.
  17. C

    JamiiForums Tanzania Mwamposa ombea kwanza waliotekwa

    Nilimsikia mtumishi Mwamposa akisema kuwa kutakuwa na siku ya kuombea viongozi wa serikali. Nikamshangaa ni kwa nini waombewe viongozi wakati wale wote waliotekwa na hiyo mamlaka hawajulikani walipo na hali zao miaka na miaka. Huu ni unafiki wa kiwango cha lami na kujipendekeza kwa mamlaka bila...
  18. JamiiForums Tanzania Tuseme Elon Musk na D.O.G.E yake amepata nafasi ku-analyze mamlaka zetu hapa Bongo, ni mambo gani ungependa aanze nayo kwanza?

  19. JamiiForums Tanzania Matokeo ya usaili Tanzania Aviation Authority

    Hamjambo humu? Imekua mara yangu ya kwanza kufanya written interview za serikali. Nimefanya nafasi ya accounts officer ii, nimepata 78 ila sijawa selected. Nimelichukulia hili jambo very positive na next time nitapambana zaidi.
  20. A

    JamiiForums Tanzania Familia kwanza ukifa hakuna wa kuwapenda zaidi yako

    1. Tuishi kwa kutanguliza familia mbele. Marafik, ndugu wa mbali na majirani ni nyongeza tu. 2. Ukiondoka hapa duniani watakaoathirika zaidi ni familia yako (mwenza na wanao). Hao wengine wakishazika wanakusahau ndani ya nusu saa. #Tuishi#
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…