kwanza

The kwanza (sign: Kz; ISO 4217 code: AOA) is the currency of Angola. Four different currencies using the name kwanza have circulated since 1977.
The currency derives its name from the Kwanza River (Cuanza, Coanza, Quanza).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tabia ya baadhi ya wanachama wa CCM ya kukimbilia kumpongeza kila mtu anayeuliwa kushika nafasi fulani, bila kwanza kumfahamu, historia yake, ni HATAR

    KUMPONGEZA MTU BILA KUMFAHAMU NI KUKOSA TAHADHARI! Tabia ya baadhi ya wanachama wa CCM ya kukimbilia kumpongeza kila mtu anayeuliwa kushika nafasi fulani, bila kwanza kumfahamu, historia yake, tabia yake na mwenendo wake, inahitaji kutafakariwa upya. Si kila anayepata nafasi anastahili pongezi...
  2. JamiiForums Tanzania Ni dhahiri Wanyiha ni Madirector wazuri wa Tasnia ya Umiss! Nazimizye Mdolo Mwafrika wa kwanza kushinda Miss Grand International Best Director

    Hakika historia imeandikwa nchini Thailand! Tanzania haikutwaa tu taji kuu la urembo la dunia kupitia kwa Jihan Dimack bali imeweka rekodi nyingine kubwa upande wa usimamizi na uongozi wa tasnia hii hapa nchini na barani Afrika kwa ujumla. Mkurugenzi wa Miss Grand Tanzania, Nazimizye Adam...
  3. JamiiForums Tanzania Kama ni mpira kwa sasa sisiem wanaongoza 3 na dakika ni ya 35 kipindi cha kwanza.

    Mkubali mkatae, ccm ishawabana kende wananchi, hamna ujanja, ule umoja wa mo29 hautokaa utokee tena, washajifunza kutokana na makosa. Washajua namna ya kuishi na manyumbu na makondoo. Sisiem kabla hakujapoa chomekeni tena kitu kingine hapo Kati, kikiisha tu miaka 30 ya bf hiyo hapo, Yani ni...
  4. JamiiForums Tanzania Tulizike na tunachokipata: Utajiri wa kwanza ni amani ya moyo

    Katika maisha haya, kuna jambo moja ambalo wengi wetu tunalifuatilia kila siku, lakini ni wachache wanaosimama na kujiuliza kama kweli tunalielekea kwa njia sahihi. Jambo hilo ni utajiri. Tunaamka asubuhi kwenda kutafuta pesa, tunafanya kazi kwa bidii, tunahangaika kutafuta maisha bora...
  5. JamiiForums Tanzania Malkia wa Thailand kaendesha Fighter Jet Saab JAS 39C Gripen peke yake. Kwahiyo ndio Malkia wa Kwanza Duniani kuendesha Fighter Jet.

    Queen Suthida, na miaka yake 48, kawa first female mornach kuendesha fighter jet peke yake. Kwenye moja ya air base nchini Thailand, Malkia kaendesha peke yake Single-seat JAS 39C Gripen kwa muda wa dakika 41. Maza ana CV nzuri tu ya kuendesha ata kabla hajawa Queen. Amewahi kua pilot tokea...
  6. JamiiForums Tanzania Uchumi wa Tanzania Wafikia GDP ya $ 92 Bilioni mwaka 2025. Mbioni kuvuka $ 100 Billion Kwa mara ya kwanza Hapo 2027

    Nawakumba tuu wakati SSH anashima madaraka alikuta Uchumi uko $ 69 Bilioni lakini miaka 5 baadae tunaenda kuvuka $ 100b mwaka 2027 sawa na ongezeko la $ 30B ndani ya kipindi Cha miaka 5 tuu. Ndio kusema Hadi 2030 Kuna uwezekano mkubwa wa kufika $ 130 B ambapo atakuwa amekuza Uchumi Kwa kiwango...
  7. T

    JamiiForums Tanzania First Public Release of the NEXTGAMIS ABS / Toleo la Kwanza Kwa Umma la NEXTGAMIS ABS - Mfumo wa Kusimamia na Kuendesha Biashara ya Uwakala

    Habari WanaJF, Tunatambulisha NEXTGAMIS ABS --- mfumo wa kusimamia, kuendesha, kutunza kumbukumbu, na kufuatilia ukuaji wa biashara ya uwakala wa fedha kupitia mitandao ya simu na benki: https://www.youtube.com/watch?v=sIVh3DThz7M Maelekezo kamili yapo kwenye PDF iliyoambatanishwa hapa...
  8. JamiiForums Tanzania Na nyinyi wana JF mpige kura, hili ni suala la Kitaifa. Tanzania Kwanza

  9. JamiiForums Tanzania Mwanza,Geita,Shinyanga,Kahama na Tabora-Tumewafikia kwa Huduma ya Website BURE kwa mwaka wa kwanza

    Je wewe ni mfanya biashara kutoka katika maeneo hayo? Je unatamani kupeleka biashara yako mtandaoni? Sasa unaweza kupata tovuti/website kwa ajili yako kutoka kwetu.Kama uko tayari tafadhali wasiliana nasi kwa kututajia Mkoa wako na aina ya biashara unayofanya.Utapata Huduma Hii Bure kwa Mwaka...
  10. JamiiForums Tanzania Sifa ya mzaliwa wa kwanza; mwanaume anaweza kuwa na wazaliwa wakwanza hata ishirini.

    SIFA YA MZALIWA WA KWANZA; MWANAUME ANAWEZA KUWA NA WAZALIWA WAKWANZA HATA ISHIRINI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Sifa namba moja ya mzaliwa wa kwanza ni kuwa wakwanza kwa Mama aliyemzaa. Yaani kifungua mimba kwa Mama yake. Mwanaume unapozaa na mwanamke asiye na mtoto na ambaye hajawahi...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Mgonjwa wa kwanza afariki kwa Ebola nchini Kenya

    Alitokea DRC, akaja Uganda the akachukua flight to Nairobi . Alipelekwa kwenye isolation Center at Nairobi hospital ambapo amekufa usiku wa leo. My take: Badala ya Marais wote wa East Africa kuungana kuanzisha tafiti za vaccine, or any other control measures, yanaungana na Chivayo kuiba hela...
  12. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya Yathibitisha Kisa cha Kwanza cha Ebola Nairobi mtu mmoja afariki

    Kenya imethibitisha kisa cha kwanza cha Ebola nchini, huku Wizara ya Afya ikisema kisa hicho ni cha mtu aliyeingia nchini kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Waziri wa Afya, Aden Duale, alisema mgonjwa huyo ni raia wa Kenya ambaye amekuwa akiishi nchini DRC kwa miaka saba. Kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Brazil ina watu Milioni 125, Kura za Urais zimetangazwa kwa siku Moja. Ila Tanzania Watu Milioni 60, hadi watu Wauawe kwanza ndo Matokeo yatangazwe

    Kwanini Matokeo ya Urais wa Tanzania hayawekwi mtandaoni? Ni kwa sababu ya wizi. Hata samia hajui kura zake. Isipokuwa asilimia tu. Brazil imefanya uchaguzi jana. Baada ya Vituo kufungwa muda mfupi matokeo ya Urais yakaanza kutangazwa. Tanzania Uchaguzi wake, baadhi ya Sehemu inafika saa nne...
  14. JamiiForums Tanzania KERO Mama mjamzito kwenda clinic Kwa mara ya kwanza kuna kulipia kwenye hospital za umma?

    Habarini wakuu.. Leo mke wa rafiki yangu kaamua kwenda clinic, baada yakujihisi ni mjamzito wa zaidi ya miezi mitatu..akaamua kwenda hospital iliyopo chuo Cha polisi mkoa x..amefika anaambiwa anatakiwa alipie elfu 54 kwanza, hii ni haki?? Alikuwa na elfu 20 wamemkatalia kabisa..nawaza hii ni...
  15. JamiiForums Tanzania Tanzia: Mwanafunzi wa kidato cha kwanza Kizimkazi Raiyan Hemed Amour auawa kinyama.

    Mwanafunzi wa Kidato cha Kwanza katika Shule ya Kizimbani aitwaye Raiyan Hemed Amour, amepatikana akiwa amefariki Oktoba 4, 2026, baada ya kuanza kutafutwa tangu Ijumaa, huku akiwa amekatwa mkono Mmoja.
  16. JamiiForums Tanzania Sifikiri kama ni mara ya kwanza

    Toka nimejiunga jf 2012 kumekua na maoni ambayo binafsi na yachukulia kama utani . Mara jf hakuna pisi , mara jf I'd zote madume jichanganye ukutane na mbupu😆, mara hakuna wanawake pisi atapatikana jf kwa nature ya mtando wenyewe unavyotaka watu wenye akili 🤔 Mara jf kuna majamaa ni...
  17. JamiiForums Tanzania Formula 1 GP: Max Verstappen leo Kashinda Bahrain GP. Ni ushindi wake wa Kwanza kwa msimu wa 2026.

    Leo imekuja siku ya furaha kwa Max Verstappen baada ya kushinda (P1) Bahrain GP uko Malaysia. Ikumbukwe, mara ya mwisho mwamba kushika P1 ni Abu Dhabi GP, December 2025. Nafasi ya pili ni Kimi na ya tatu Hamilton. Mvua imezingua sana mwanzoni na ilipelekea Russell kua DNF baada ya gari...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Safari za Mtume – Safari ya Kwanza ya Paulo: Kupro na Galatia Ni Ukweli au Ni Hadithi Iliyotungwa?

    Safari za Mtume – Safari ya Kwanza ya Paulo: Kupro na Galatia Ni Ukweli au Ni Hadithi Iliyotungwa? Je, Mtakatifu Paulo, ambaye alidai kuwa mzaliwa wa Tarso na raia wa Roma, kweli alifanya safari ambazo anaelezwa kuwa alifanya? Au safari hizo zilitungwa tu ili kutoa msingi wa kuweka barua zake...
  19. JamiiForums Tanzania Tone la kwanza la maji lafuguliwa Kilwa

    Mradi wa Maji wa Miji 28 katika Kijiji cha Mavuji, Kilwa Masoko, umeanza kutoa huduma kwa wananchi baada ya kufunguliwa kwa tone la kwanza la maji. Wananchi wamepokea mradi huo kwa furaha, huku wazee wakimuombea dua Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. Mradi huo umegharimu Sh bilioni 44, umefikia...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanza !! wapi wanapouza mashine za mtimba za kuoshea magar

    habar ya kwenu wakazi wa jjiji la miamba leo hii sina mambo mengi ya kuzungumza na nyinyi ispokuwa naomba kama kuna mtu yeyote hapa Mwanza anayejia chimbo linalouza mashine za mtumba za kuoshea magar tafadhal naomba anijuze asanten nawasilisha
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…