kwani

Kwani? (Sheng for so what?) is a leading African literary magazine based in Kenya that has been called "undoubtedly the most influential journal to have emerged from sub-Saharan Africa", although that tribute might more accurately go to Transition Magazine, which was founded in Kampala, Uganda, in 1961. The magazine grew out of a series of conversations that took place among a group of Nairobi-based writers in the early 2000s. Its founding editor, Binyavanga Wainaina, spearheaded the project shortly after winning the 2002 Caine Prize for African Writing. The first print issue of the magazine was published in 2003. Kwani? has been called "the most renowned literary journal in sub-Saharan Africa". It is produced by the Kwani Trust, which is "dedicated to nurturing and developing Kenya’s and Africa’s intellectual, creative and imagination resources through strategic literary interventions".Kwani?, which receives significant funding from the Ford Foundation, has become a major platform for writing from across the African continent. It has served as a launching pad for the careers of several writers, including Yvonne Adhiambo Owuor, winner of the 2003 Caine Prize; Uwem Akpan, author of the bestselling short-story collection Say You're One of Them, and Billy Kahora, now the magazine's managing editor. Each edition of the journal contains up to 500 or more pages of new journalism, fiction, experimental writing, poetry, cartoons, photographs, ideas, literary travel writing and creative non-fiction. The seventh edition of Kwani? "is subtitled 'Majuu' – a sheng (street slang) reference to 'overseas' – and is a 570-page testament to the journal's diasporic roots."

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini tatoo ni ngumu sana kufutika?

    Natumaini wote tumewahi kusikia au hata kuona mtu akiwa na tatoo kwenye sehemu fulani ya mwili wake. Je, kwani tatoo ni ngumu sana kufutika?? Kwanza kabisa ni muhimu kujua kua tabaka la juu kabisa kwenye ngozi(epidermis) ndilo tunaloliana kila siku kwa macho na huwa na kawaidi ya kutoa seli...
  2. JamiiForums Tanzania Simba ni wanyonge Kwa Azam?

    Kuna picha inajengwa na baadhi ya watu kuwa Simba ni wanyonge Wa Azam FC. Jee Kwa misimu mitano iliyopita kwenye mashindano yote timu hizi zilipokutana, Azam wameifunga Simba mara ngapi??
  3. JamiiForums Tanzania Kwani Edo Kumwembe ungesema taarifa hiyo umeitoa kwa GENTAMYCINE na JamiiForums ungepungukiwa nini?

    Mimi (GENTAMYCINE) baada tu ya Simba Day (juzi Jumatatu Alfajiri tu) nilikuja na taarifa hapa JamiiForums, tena nikijiamini nayo kabisa nikisema kama Mchezaji Mshambuliaji wa Simba SC Mzambia Moses Phiri ataendelea kutopangwa na Kocha Robertinho basi nitamuanika hapa hapa Kiongozi wa Simba SC...
  4. JamiiForums Tanzania Je, serikali inashindwa kutoa mikopo ya trekta kwa wakulima wajasiriamali?

    Wanajukwaa heri nyingi ziwafikie. Dhumuni la kuja kwenu leo, ni kujaribu kushare nanyi kuhusu inshu ya serikali yetu kushindwa kutoa mikopo ya tractor kwa wajasilia mali wakulima wenye kumiliki mashamba kwanzia heka 10 na kuendelea. Natumai hili swala ni zuri sana kama wenye kulifanya hili...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri Pindi Chana kwani ni lazima kila sehemu utakayoalikwa umtaje kwa Mahaba yote Rais Samia?

    Au labda alikuambia kuwa usipokuwa Unamtaja na Kujikomba Kwake basi atakutumbua upesi? Unaboa mno.....!! Nikiambiwa nimtaje Waziri wa Kwanza wa hovyo kwa sasa katika Serikali ya Rais Samia wala sitochelewa Kumtaja / Kukutaja Pindi Chana na sijui ilikuwaje ukawa Waziri kwani hutoshei na huna pia...
  6. JamiiForums Tanzania Kwani Siku Hizi Hatuli?, Mbona Paka Kalala Jikoni?

    Uzi wa mapishi umedoda jamani watu sijui tupo kwenye mifungo mikavu, rudini kundini tuanzae madigo diko mapya. Mtag mwana mapishi wako pendwa umualike arudi uzini tushee mapishi mapya na kukumbusha ya zamani pia. Kuna lishe za afya na za watoto pia ni vyema tunaukaza uzi wa mekoni.
  7. JamiiForums Tanzania Popote pale alipo huyu Member Daudi Mchambuzi naomba ajitokeze kwani kapotea mno hapa JamiiForums

    On a serious note jamani kuna yeyote mwenye taarifa zozote za Kuadimika Kwake kusiko kwa Kawaida hapa JamiiForums kwa Member (Mwanachama Mwandamizi) Daudi Mchambuzi? Ni Mmoja wa Marafiki zangu Wakubwa sana hapa JamiiForums kama walivyo Wengine wengi tu wakiongozwa na adriz, Shunie, Bila bila...
  8. JamiiForums Tanzania Ikitokea DP World wakachoka na Upuuzi wetu na kuhamia Kenya, nisisikie Malalamiko haya kwani 'Nitapiga' Mtu

    1. Vyuma vimekaza ( Pesa hakuna ) 2. Ajira hakuna 3. Rais Samia hafai 4. Uchumi wa nchi Unaanguka 5. CCM haifai 6. Hatuvutii Uwekezaji 7. Nchi inachelewa Kimaendeleo Mpuuzi yoyote nikimsikia akiyasema haya Saba ( 7 ) niliyoyataja hapa juu kama DP World wakichoka na Makelele yetu ya...
  9. JamiiForums Tanzania Kwani CHADEMA huo mkutano ni kongamano la injili? Mnajiharibia

    KWANI CHADEMA WAMEITA KONGAMANO LA INJILI? Na Thadei Ole Mushi. Kosa la Kifuufundi hili Chadema wamelifanya. 1. Sakata la Bandari toka awali lilianza kuhusishwa na imani za Kidini. 2. Mkutano wa Keshokutwa wa Chadema wazungumzaji wanne kati ya 13 ni viongozi wa dini ya Kikristu. 4. Wengine...
  10. JamiiForums Tanzania Simba SC imetosha, sasa acheni kusajili kwani tuna vikosi hatari viwili vya Mauaji

    Kuna timu moja GENTAMYCINE naionya mapema ijitahidi tu kwa Makusudi ifungwe na Azam FC kwani ikishinda na ikikutana nami Simba SC ninayeenda kumpiga Kipigo cha Kishalubela (Kikatili) Nduguye wa yatokako Mafuta ya Alizeti na Kuku wazuri wa Kienyeji naenda Kumfunga Goli 7 au 9 na hawatoamini...
  11. JamiiForums Tanzania Sheria hazina maana Kwa asiyenacho: Ijapokua ni afadhali ziwepo kwani zinawalinda wasionacho dhidi ya wasionacho!

    Members, Sheria zinawalinda wenye nguvu tu. Yaani nguvu hapa namanisha pesa/madaraka/umaarufu(fame) Mwenye nguvu akiua Kwa makusudi kesi yake itageuzwa geuzwa kuwa "kuua bila kukusudia" na jela haendi aue kabwela akaozee jela! Mwenye nguvu anaweza fanya chochote na jamii ikamuunga mkono...
  12. JamiiForums Tanzania Hatutaki Kutangaza Kauzwa mpaka atujazie Uwanja tarehe 22 July, 2023 kwani tukitangaza sasa Watu hawatajitokeza

    Kwa hii Mbinu Jezi #6 FC nawasifu hakika Marketing mnaijua kuifanya vyema. Mlianza kwa Kumvalisha Jezi yenu mpya ya 'Magemu Magemu' ili Kuwaaminisha Mashabiki. Wafuatiliaji wa mambo tunajua kuwa tayari ni DONE DEAL Uarabuni ila mmeuchuna Kutangaza na mkalianzisha la Chama ili Kufunika bado...
  13. JamiiForums Tanzania Simba SC Nawapenda mno, ila kwa hili mtanisamehe kwani nahisi kuna tatizo mahala

    Tokea GENTAMYCINE nizaliwe na niwe mfuatiliaji wa Mpira hadi sijawahi ama Kuona au Kusikia Klabu inakwenda Pre Season Kimafungu Mafungu kama ilivyo kwa Klabu yangu pendwa ya Simba SC. Kwa mtazamo wangu sioni Aibu kusema kuwa Simba SC yangu haijaenda Pre Season kama wasemavyo Wao ila imeenda Pre...
  14. JamiiForums Tanzania Msimamo wa Mzee Kikwete kuhusu DP World ni upi?

    Wakuu upi msimamo wa hili gwiji la siasa za maridhiano nchini? Huyu ni moja ya magwiji ambao akiongea neno moja tu upepo unaweza badilika. Mzee Mwinyi kwa sababu ya umri yeye tumuacje kidogo.
  15. JamiiForums Tanzania We Kasim Majaliwa kwani Waliosaini Mkataba wa Bandari ni Vipofu na Viziwi?

    Baada ya kimya cha Mda mrefu Huyu Mheshimiwa muongo muongo ameanza kujitokeza na ngojera za hapa na pale. Ana tu please mara tuwe na Imani na serikali Sijui Mkataba haujasainiwa. Bla bla Sasa mpka.mnasaini Mkataba wa makubaliano Kwa Nini hamkuzingatia Sheria na maslahi ya Taifa Toka mwanzo...
  16. JamiiForums Tanzania Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe kwani ukisema tu kuwa hao Wachezaji Wawili wa Wakiso United FC wamekuja kwa 'Trials' utapungukiwa nini?

    Yaani kila Siku tu Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe unazidi tu Kujichoresha na Kujidhalilisha kwa Kauli zako. Wenye Akili zaidi yako tunajua kuwa kuna Wachezaji Wawili wa Wakiso United FC ya nchini Uganda wamekuja kufanya Majaribio (Trials) na Yanga SC na cha Kushangaza Wewe umehojiwa na...
  17. JamiiForums Tanzania Chukueni hii kumhusu Kocha Nabi kwani huenda ikaja kutokea baada ya 'Kubuma' huko kwa 'Madiba' Bondeni

    Ataambiwa atulie Kwanza Kwao nchini Tunisia au ataletwa kwa muda kwa Ndugu zao Singida Fountain Gate FC kisha Gamondi atachezeshewa Mtego hasa kama atakutana na Simba SC iwe katika Ngao ya Jamii au Mechi za Awali za Klabu Bingwa na ikoonekana anakomaa (anashinda) Wachezaji Waandamizi wa Klabu...
  18. K

    JamiiForums Tanzania ATCL na Precision zafulia kutoa huduma kwani hawana ndege za kutosha

    Naona makampuni yote mawili hayana trip za uhakika kama zamani hasa Kwa Dar-Mwanza ambapo route zimepunguza kutoka 5 kwa kila ndege na kubakia tatu tena nyingi zikiwa ni za usiku Tu.Wakati huo huo wameondoa trip za Tabora, Mpanda etc. Hii inaonyesha zimefulia.Je Shida nini wakati Atcl...
  19. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Bandari imepewa DP-World kwa kuwa utendaji wa TICTS ni mdogo

    Akielezea suala linaloendelea kuhusu mkataba wa DP-World na Tanzania ametoa sababu kuwa ni utendaji kazi mdogo wa TICTS ambao umesababisha meli nyingi ziwe zinashushia mizigo Lamu, Mombasa au Afrika kusini hali ambayo imepunguza wateja wa Bandari ya Dar es salaam. Waziri Mkuu, Kassimu Majaliwa...
  20. JamiiForums Tanzania Wanawake acheni kuleta Wadogo / Ndugu zenu wa Kike Majumbani mwenu, kwani Wanawavunjieni mno Ndoa zenu

    Kuanzia miaka ya mwishoni mwa 80 hadi mwanzoni au katikati ya 2005 60% ya waliokuwa wakiharibu Ndoa za Wanawake ni Wadada wa Kazi. Ila kuanzia katikati hiyo ya mwaka 2005 hadi leo hii nathubutu kuandika na tena kwa Kujiamini kabisa kuwa 99% ya Wanaoharibu Ndoa za Wanawake ni Wadogo zao wa Kike...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…