Fred Matiang’i, Waziri wa Mambo ya Ndani na Uratibu wa Serikali ya Kitaifa nchini humo amesema madai ya Naibu Rais William Ruto ya Serikali kuzima Umeme na Mtandao ili kutekeleza wizi wa kura ni kejeli kwa kuwa wanaunga mkono Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kuendesha na kufanikisha...
Binadamu wote ni ndugu, kwa sababu safari yetu ni moja.
Kumekuwa na changamoto nyingi za kiafya katika jamii zetu.
Kumekuwepo na watu kuugua muda mrefu, na kupelekea kuporomoka kwa uchumi kwa familia husika, na hatimaye kushindwa kumudu gharama za matibabu.
Ambayo hupelekea kwa mgonjwa...
Habari za humu wanaJF
Niende moja kwa moja kwenye mada najua kuna bunifu mbali mbali zimekuwepo na zinaendelea kubuniwa na zinasaidia kiujumla,
Ila hii ya kwangu ni yakipekee na inahitaji tu maboresho
Niliwahi ipeleka shule moja ya ufundi hapa Dar ila waliipotezea
Huu ubunifu nilitumia muda...
Serikali ya Japani imewataka wakazi wa Tokyo na eneo linaloizunguka kupunguza matumizi ya umeme kwa kuzima taa zisizo za lazima lakini pia watumie kiyoyozi ili kukabiliana na kuongezeka kwa joto nchini humo
Shirika la Utangazaji la Umma la Japani NHK limeripoti kuwa watu 46 jijini Tokyo...
Inasemekana nyumba ya jirani ilikuwa inaungua, na huyu jamaa nyumbani kwao kuna kisima cha maji so akajitolea pamoja na wasamaria wengine kuchota maji na kuzima moto huo, huku wakipiga simu taasisi ya zima moto kwa ajili ya msaada zaidi.
Bahati mbaya fire brigade wakachelewa kufika hadi moto...
1. kusahau kuwasha
kuna siku niliweka mchele kwenye rice cooker nikawasha switch ila pale kwenye rice cooker sehemu ya cook sikubonyeza ,nikaenda kuanangalia muvi kwenye tv ,imefika saa 2 hivi nikasema ngoja nipakue nile nilale, naenda kufunua nakuta mifuta inaelea hakuna kilichopikika na nina...
Wakuu habari
Nauliza je kama situmii friji ni salama kuzima? Mfano limeisha vitu au nasafiri nikalizimaa wiki au mbili
Maana kuna ambayo yanazimwa kisha baadaye yanakuwa yameharibika
Kwema Wakuu,
Za Weekend?
Gari yangu nilibadilisha Gasket last week, Sasa toka hapo imekua inatetemeka napokua nimesimama kwenye Mataa labda. Pia asubuhi nikiiwasha inawaka na kuzima. Mpaka nirudie rudie mara kadhaa ndio mwishoni litakubali.
Yaan nikiwasha linatetemeka na nikitia Gia labda ndo...
Tangu waziri wa nishati mpya aingie madarakani, kumeibuka mchezo wa kuwasha na kuzima switch mithili ya mtoto anaecheza na toy.
Sababu nyingi sana za kijinga jinga zimetolewa na wahusika, waziri akiwemo. Yalianza mambo ya ‘scheduled maintanance’, baadae wakasema miaka mitano hapakuwa na...
Home shoping center,silent ocean ,GSM ni wahuni waliivamia mpira ,famikia yao wanazi wa simba ila wanafadhili yanga kimaslahi tu
Baada ya uhuni uliofeli na kuepuka aibu wiki hii ,wakawatuma rafiki wa kabwili bwana manara na bumbuli ili watutoe kwenye reli,
Walipeni timu 15 pesa zao...
Kutokana na tukio la Moto lilitokea leo Magomeni Mapipa, na kuunguza kila kitu. Kwa wale wanaojua hilo eneo liko umbali wa mwendo dakika pungufu ya 10 TUkutoka makao makuu ya jeshi la zimamoto Tanzania na ukizingatia leo ni jumapili hakuna foleni, nyumba zilizoungua ziko barabarani kweupe...
Mambo mengine yanakera!! Mwenge unaweza kuzimwa siku yoyote!! Kwa nini ipangwe kuzima mwenge siku ya kumbukizi maalumu ya baba wa Taifa?? Kwa nini zipangwe shughuli zingine za kiserikali katika siku ambayo ni Public holiday iliyotengwa kama siku ya kumbukizi ya baba wa Taifa? Dhambi hii ni...
Kwa wajuvi na wafuatiliaji wa Mambo mtanikubalia kuwa Gwajima hutumika kuwa Kama neutralizer wa mambo mbalimbali kwa mfano sasa hivi leo kuna mambo hayajajadiliwa kabisa na jamii ya Watanzania na ni mambo ya msingi sana kwa mfano suala la tozo kupunguzwa kwa 30% badala ya kufutwa kabisa
Suala...
Sasa ni wazi kwamba pamoja na sarakasi zote za kukamata wapinzani wanaoendekeza mijadala juu ya katiba mpya, lengo liko wazi ni kuzima Mjadala ili kuepusha kuiamsha jamii ili isipige kelele juu ya mchakato wake. Sasa ni wazi kua hii siyo CCM tu bado ni mfumo mzima hautaki katiba mpya huenda wana...
Habari wakuu,
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla akiwa Soko Kuu la Kariakoo, amesema serikali imeunda tume ya watu kumi kuchunguza na kupata ukweli wa chanzo cha moto na athari zilizopatikana ikiwemo mali zilizoteketea, pia amesema Waziri mkuu yuko njiani kuja kukagua na kuongea na...
Habari wanajukwaa,
Nina mashine yangu ya PS4 FAT, Kuna siku ilizima ghafla, Tangu izime inashindwa kuwaka ukibonyeza inatoa tu mwanga wa blue kwa sekunde kadhaa then inazima haimalizi kuwaka.
Nimejaribu kutafuta solution Google Bado hazijanisaidia kwa Mwenye ujuzi wa Jambo hili au aliyewahi...
Waziri wa Nishati, Dk. Medard Kalemani, akiwa mkoani Njombe, ameahidi kuwa, Serikali inatafajia kuzima mitambo yote ya TANESCO, inayotumia mafuta mazito baada ya kukamilika kwa Mradi wa Stiegler's Gorge ifikapo mwaka 2020.
Dk. Kalemani alieleza kuwa, umeme wa mafuta mazito ni wa gharama kubwa...