kuzaliwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Leo Oktoba 7 ni siku ya kuzaliwa ya Jakaya Kikwete, 'Mr. born town'

    07 October 1950 alizaliwa Mzee Jakaya Mrisho Kikwete
  2. Tarehe 29 Oktoba ni kumbukizi ya kuzaliwa Hayati JPM na ndiyo siku ya uchaguzi mwaka huu huku wananchi wakidai kuandama kupinga uchaguzi huo

    Wakuu kuna mambo nayaona kuelekea Oktoba 29 mwaka huu isiyo ya kawaida kabisa katika nchii tangu kizazi cha uhuru. Tarehe hii 29 Oktoba imebeba historia nzito sana kwa Taifa la Tanzania,inahusisha mambo makuu matatu ya kuogofya 1.Uchaguzi Mkuu wa Rais,Wabunge na Madiwani. 2. Kumbukizi ya...
  3. Kheri ya siku ya kuzaliwa kwangu

    Amani ndiyo msingi mkuu katika maisha yangu! Kwa hapa nilipofikia,napenda kuwashukuru hawa wafuatao: Asante mama! Asante Elimu Asante Kikwete, Magufuli na Samia (mshahara huu) Asante wanangu,maana wananitia nguvu na ujasiri kuendelea kupambana Asante jf, Max Me,na members wake kwa ujumla...
  4. Sehemu ya kuupload cheti cha kuzaliwa kwenye uhakiki wa cheti haionekani

    Mdogo wananisumbua sana wameomba kufanya uhakiki wa cheti cha kuzaliwa lakini option ya kuupload cheti haipo, msaada wakuu
  5. O

    Nida na Vyeti vya kuzaliwa naona ni kama kero

    Tuendelee kuchapa kazi kulijenga Taifa..... MImi naona Kuna shida kwenye system ya vyeti vya kuzaliwa na Nida mfano taarifa zote zinazopatikana kwenye NIDA Zipo kwenye vyeti tena nida iko na Tarifa nyingi na za muhimu kuliko NIDA ss kwa nini kila ofisi ya serikali utakayoenda wanatak cheti cha...
  6. Nataka nibadilishe jina la kwenye cheti cha kuzaliwa cha mtoto wangu. Nawezaje kufanya hivyo?

    Wakuu Kuna mwanamke kipindi Cha ujana tulifanikiwa kupata mtoto. Baada ya hapo nikawa nimetoka sehemu hiyo Sasa mwanamke majina yangu hakua anaya fahamu, Ikabidi mtoto apewe majina tofauti na yangu. Changamoto imekuja nataka nimfungulie bima. Nataka kufahamu nitumie njia gani ya kubadilisha...
  7. Kila Mtu Tarehe Yake Ya Kuzaliwa Inaanguka Kwenye Kalenda Ya Yesu Kristo Mwana wa Mungu (AC, BC, AD)

    Kila Mtu Tarehe Yake Ya Kuzaliwa Inaanguka Kwenye Kalenda Ya Yesu Kristo Ulishawahi kufikiria hili? Tarehe yako ya kuzaliwa, iwe 1990, 2000 au 2025, haijajitegemea. Imehesabiwa kwa msingi wa miaka tangu kuzaliwa kwa Yesu Kristo. Historia yote ya ulimwengu imegawanyika sehemu tatu: BC (Before...
  8. Watanzania wanyonge wanajuta kuzaliwa hii nchi

    Tanzania, kanchi kazuri kenyewe ila sasahivi kuna kikundi cha watu wameanza kukaharibu. Hii nchi ina amani sana kwa maana ya kwamba hakuna vita, na ni nchi kubwa nzuri, ina miji mizuri, vijiji vizuri, watu wake ni wazuri pia. Ni nchi ya neema ambayo hata masikini hakosi chakula. Lakini miaka ya...
  9. Tarehe yako ya kuzaliwa na maana yake

    TAREHE YAKO YA KUZALIWA NA MAANA YAKE. Hizi ni tabia za kilamtu kulingana na tarehe aliyo zaliwa kuanzia tarehe moja hadi 30. Terehe 31 tunaihesabu sawa na tarehe moja. 01. Mtu alie zaliwa tarehe 1 atakua ni mtu wa bahati sana na maisha yake ni marefu. 02. Mtu alie zaliwa tarehe 2...
  10. Mtoto Kuzaliwa Na Korodani Moja

    Mtoto kuzaliwa na korodani moja ni hali ambapo mtoto ana korodani moja tu iliyoshuka kwenye mfuko wa korodani (scrotum), wakati korodani nyingine inaweza kuwa haijashuka (undescended), haipo, au imeondolewa. Hali hii inajulikana pia kama monorchism. Athari Za Kuzaliwa Na Korodani Moja: Athari...
  11. Kuzaliwa sehemu ambayo si sahihi ndiyo technic kubwa sana huitumia shetani kumfanya mtu asiishi katika wito wake

    Hili jambo wenye D tatu za rohoni ndio watanielewa. Mungu ameweka vitu 3 ndani ya mwanadamu kutoka katika ofisi zake kuu 3 . Kuna karama Kuna huduma na Kuna kipawa. Vitu hivyo 3 ndivyo vinatimiza lengo la mtu kuwa duniani. Lengo la binadamu kuwepo duniani si kula, si kuabudu bali kutimiza wito...
  12. M

    Cheti cha kuzaliwa

    Nilikuwa naomba cheti kipya cha kuzaliwa ila nilivyofika kwenye kuweka attachment naambiwa vinatakiwa signed attachments sasa sielewi hizo signed zipoje kwasababu hizi za kawaida nilizonazo zinakataa
  13. Amini tu kama unavyo amini tarehe yako ya kuzaliwa wakati uliikuta imeandikwa tu na wazazi wako. Kila kitu ni Historia

    Amini tu. Kama unavyokubali tarehe yako ya kuzaliwa bila kuhoji. Uliikuta tu imeandikwa kwenye cheti, ikisimuliwa na wazazi au walezi wako, na ukaikubali kuwa ndiyo siku uliyotangulia kuja duniani. Hujawahi kuikumbuka wewe mwenyewe, lakini unaishi kuiamini kwa moyo wako wote. Hujawahi kuhoji...
  14. Usajili wa Vyeti vya Kuzaliwa kwa Watoto Chini ya Miaka Mitano ni Haki ya Msingi Inayopaswa Kutekelezwa kwa Wakati – Mhe. Randeep Sarai

    Usajili wa Vyeti vya Kuzaliwa kwa Watoto Chini ya Miaka Mitano ni Haki ya Msingi Inayopaswa Kutekelezwa kwa Wakati – Mhe. Randeep Sarai Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Canada, Mhe. Randeep Sarai, amesema kuwa usajili wa vyeti vya kuzaliwa kwa watoto wenye umri wa chini ya miaka mitano ni...
  15. F

    Kwanini hatusemi tapeli, jambazi n.k wanakipaji cha kuzaliwa? Kwani kipaji ni nini?

    Kipaji ni Nini, na Kwa Nini Hatusemi Tapeli au Jambazi Ana Kipaji? Katika jamii zetu, mara nyingi tunasikia watu wakisifiwa kuwa na vipaji vya kipekee—kama kucheza mpira, kuimba, kuruka sarakasi au kukimbia kwa kasi ya ajabu. Mtu akionyesha uwezo wa ajabu, husemwa “amezaliwa na kipaji.” Hii ni...
  16. Ulijuaje kama mwaka wako wa kuzaliwa ni sahihi?

    Wakuu, Katika maisha kuna mambo ambayo huna budi kuyaamini tu, hata kama umehadithiwa na hukuyashuhudia mwenyewe. Kwa mfano, mtu akikuuliza: “Ulijuaje kama mwaka wako wa kuzaliwa ni sahihi?” Ukweli ni kwamba, wengi wetu hatujawahi kushuhudia siku tulipozaliwa; tunachokijua ni kile...
  17. W

    Kwa hiki kibaridi ! mwezi wa tatu na wa nne hauwezi kuwa na mpinzani kwa idadi kubwa ya watoto wanaozaliwa.

    Kwa hiki kibaridi mwezi wa tatu hadi wa nne utaendelea kuwa na rekodi ya foleni kubwa wodi za kujifungua
  18. S

    Ni hatari sana kuzaliwa mwenye akili hapa Tanzania

    Watu wenye akili hapa Tanzania wanapata shida sana kuishi. Kwann nasema hivi? Wajinga ni wengi sana na kupelekea wenye akili kujikuta hawawezi kuendana na tabia na hulka za wajinga.. Hivyo wenye akili mara nyingi hushindwa:- 1. Kudumu kwenye ndoa. Fuatilieni wanaoshindwa ndoa pamoja na "kataa...
  19. Je, Upo uwezekano wa mfumo mpya wa kiutawala kuzaliwa?

    Katika historia ya mwanadamu, mifumo ya kiutawala imekuwa kama wimbi linalofika ukingoni na kurudi baharini, haikai mahali pamoja. Tulishuhudia ujima, tukazama kwenye ukabaila, tukakumbatia ujamaa, tukakimbilia ubepari, na sasa tunaishi kwenye kivuli cha kile kinachoitwa Uliberali wa kisasa...
  20. Napitia wakati mgumu sana kila ikifika siku ya kuzaliwa

    Wakuu hii sijui imekaaje yani kila ikifika miezi ya karibuni ya siku yangu ya kuzaliwa hali ya maisha inakuwa ngumu Sana. Hadi inafika siku ya kuzaliwa yenyewe najikuta hali ni tete hata hela ya kula inanishinda hali hiyo itaendelea hadi miezi ya mbele kidogo ndio inaanza kupotea na kuwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…