kuzaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Kuzaa na mwanamke nje ya ndoa

    Mimi ni kijana , 25 yrs old . Unmarried Nimekuwa nikisikia mara kadhaa kwa mabro na kwenye forums za kijamii kuwa kati ya makosa makubwa unaweza kuyafanya kama mwanaume ni kuzaa na mwanamke ambaye huna mpango wa kumuoa, yaani kufanya coparenting. Iwapo nina kipato kinachoniwezesha kutoa mahitaji...
  2. fimboyaukwaju

    Kwa mwanamke ambaye anataka kuzaa mtoto, lakini atamtunza yeye mwenyewe

    Huu ni ujumbe kwa mwanamke ambae kapimwa ni mzima lakini hashiki mimba,pengine mwanaume wake ana dosari basi aje mimi ntamsaidia,kwa masharti yafuatayo: 1.sihitaji malipo 2.baada ya kushika mimba hatutakuwa na uhusiano wa kingono 3.tutapimwa magonjwa ya yote ya zinaa 4.ukubali kuwa age yangu ni...
  3. Scared

    Hivi inakuwaje mtu mpaka mdogo wako anakutangulia kuzaa? Ni dharau

    Yaani mdogo wako anakutangulia kuzaa aisee ni dharau sana Wazee kuna mjinga mmoja hapa mtaani mdogo wake ana watoto wa 3, yeye hana hata mmoja aisee halafu kampita mdogo wake kwa miaka 5 Huu ni ujinga
  4. Keynez

    Je, Novena ya Mtakatifu Nyerere kuliombea taifa la Tanzania inaweza kuzaa matunda?

    Sijajua mchakato wa kumfanya Nyerere kuwa mtakatifu umefikia wapi ila nakumbuka moja ya kitu ambacho Kanisa Katoliki inafanya na kuchunguza kabla haijamtangaza mtu kuwa Mtakatifu ni uchunguzi wa matendo yake alipokuwa hai pamoja na miujiza iliyotokea wakati wa uhai wake na baada ya kifo. Wengi...
  5. D

    Natafuta mwanamke wa kuzaa nae mtoto

    Natafuta mwanamke wa kuzaa nae mtoto. Sifa zake Dini yoyote. Umri 25-35 Kabila lolote Rangi mweupe Elimu at least secondary education. Kazi yoyote descent Awe anaishi DSM Awe tayari kupima afya Sifa zangu Umri 41 Rangi black Elimu postgraduate degree Napatikana Dar Kazi kibarua kwa...
  6. Isenye

    Kuna ambae ana uzoefu wa kuzaa na mke wa mtu humu?

    Jamani wakubwa zangu shikamooni. Mdogo wenu nimeyakanyaga, kuna mwanamke ni mke wa mtu tena wa ndoa kabisa. Katika kuendekeza ngono zembe nimejikuta nimempiga mimba. Cha kushangaza yeye anaonekana hana hata wasiwasi,nimemuambia tuichomoe kakataa. Wakuu,hii kesi naimaliza vipi?
  7. Tajiri Tanzanite

    Ukitaka kuzaa watoto wazuri, lazima uolewe na mwanaume mzuri

    Hapo vip! Huyu dada ameongeo ukweli kabisa ila anapingwa na wanaume wenye rangi ya shetani na wanawake waliolewa na majitu mabaya.Huo ndio ukweli penda usipende. Waafrika huwa wanautamaduni wa kupingana na kupiga vita vitu vizuri huku moyoni wakitaka vitu hivyo hivyo vizuri..ndio maana ni...
  8. Blueboy Jr

    Kwanini mwanamke amekubali kuolewa halafu hataki kuzaa

    Wajomba kuna uncle wangu ameowa huku ukanda wa pwani ni mwaka wa nne now hukuna mtoto. Mwanamke hataki kushika mimba wala kuzaa naye mjomba anasema bado time. Afu kibaya kuna location kapin Mme kufika Pesa ipo ameikuta na zingine wamepata wotee. Sasa shidah ake itakuwa nn wakuu. behind the...
  9. Yoda

    Nini faida kwa mtu kuzaa watoto?

    Kuna mjadala nimeuona Twitter watu wameulizwa hili swali na limekosa majibu ya maana kabisa!
  10. Infropreneur

    Mtu unapata wapi ujasiri wa kuzaa mtoto wakati unajua wewe ni fukara, maskini choka mbaya, hohe-hahe?

    Matajiri wanazaa watoto kuendeleza generational wealth. Makapuku yanazaliana kuendeleza generational poverty. Kila mtoto huja na sahani yake, watoto ni baraka, tajiri na mali zake maskini na watoto wake. Zote hizi ni kauli uchwara zinazoendelea kuongeza idadi ya maskini duniani hasa barani...
  11. tonicimmobility

    Masikini iwe marufuku kuzaa ili tupunguze omba omba na watoto wa mtaani ''Mtaa hauzai''

    Una kuta mtu hana hata nyumba lakini tayari ana watoto zaidi ya watano na kila mtoto ana mama yake. Ukimfuatilia huyo mtu hana kazi, kula yake tu matatni. Ifike mahali serikali iweke zuio kwa hawa watu, tutapunguza idadi ya watoto wa mtaani ''Mtaa hauzaii''
  12. M

    Natafuta mke wa kuzaa nae

    Wasifu wangu: -miaka ni 28 yrs -Elimu ni college -kazi ni mwajiriwa (sector binafsi) -Dini ni mkiristo Wasifu wa nimtakaye - atoke Kanda ya ziwa -elimu mwisho secondary -dini awe mkiristo OFfer hii itakua halali kuanzia Sasa mpaka mwezi December 2025
  13. R

    Nchi zinazolipa wananchi kuzaa watoto

    Serikali ya China hivi karibuni ilizindua mpango mpya wa kutoa malipo ya kifedha kwa familia zinazojifungua watoto, ikiwa ni jitihada za kupambana na kupungua kwa kasi kwa viwango vya uzazi. Kupitia mpango huo, familia zitapokea takribani dola 500 kwa kila mtoto mwenye umri chini ya miaka...
  14. Bueno

    Kuzaa, Kuongezeka, Kutiisha na Kutawala

    Mkuu: Bado hujachelewa TUBU leo TUBU kesho TUBU wiki nzima kisha utaanza kuzaa, utaanza kuongezeka, utaanza kutiisha na utaanza kutawala. Nalala hivi Exsultate, Jubilate!
  15. Equation x

    Je, kuzaa ni hitaji la msingi katika ndoa?

    Wengi tunakimbilia kuzaa tukiamini huko mbeleni, watoto tunaowazaa watakuja kutusaidia. Hii inatokana na kutokuwepo kwa kambi za wazee katika huu ukanda wetu, inayopelekea ufikapo uzeeni kukosa mtu wa kukusaidia pale utakapohitaji msaada. Tumekuwa tukiwazaa watoto, na kuwagharamia kila kitu...
  16. R

    Mama ana uchungu wa kuzaa mwaka huu. (2025-1964=61)!

    Salaam, Shalom! Naongea lugha ya kiroho. Wanaume wote wana tumbo la uzazi kama ilivyo kwa wanawake na ndani yao kuna watoto wa kiume na kike, mfumo wa uzazi wa Mwanaume umetunzwa ndani ya mwanamke, amekaimishwa kutunza na kuzaa kiumbe. Anyway tuendelee... Tanzania ni kiumbe, kina macho...
  17. J

    Nafikiria kuzaa mtoto wa nje, mke wangu anaharibu watoto kwa kigezo cha "upendo"

    Mimi na mke wangu tumebarikiwa kuwa na mtoto mmoja, ana miaka 6 mpaka sasa Tatizo la huyu mtoto ni mtoto ambaye hana uvumilivu, akitaka kitu fulani ni lazima mama yake ampe la sivyo atakuwa analia mpaka akipate, akipewa chakula fulani asipokipenda itabidi mana yake ampikie kingine au mkamnunulie...
  18. Arch Barrel

    Ninahitaji Mwanamke Tasa (Mwanamke asie na uwezo na kushika mimba na kuzaa)

    Naenda moja kwa moja kwenye maada. Nina miaka 33, kabila langu (siri), kazi yangu (siri) na mkoa ninaoishi kwa sasa (siri) ingawa ni kanda ya ziwa. Nina watoto wanne, wakiume wawili na wakike wawili pia. Watoto watatu nimepata kwa mama mmoja na mmoja nimepata kwa mama mwngine. Mzazi mwenzangu...
  19. Damaso

    Kisa cha Faith Jerop kuzaa na Mwanaume Mrusi na kupoteza kichanga chake

    Faith Jerop alipokutana na mwanamume Mrusi nchini Kenya, alihisi kama ameokota dodo kwenye mnazi. Upendo wao ulichanua vizuri, mdogo mdogo mpaka mahaba yakawa mazito. Na binti yao alipozaliwa, ilikuwa kana kwamba furaha yao imepata nafasi ya kuendelea kuwa imara. Bi mdada huyu akaona isiwe...
  20. Equation x

    Raha ya kuzaa na pisi kali, uhusiano unakuwa unadumu kutokana na mtoto

    Wakuu habari, Katika ujana wangu niliweza kuzaa na pisi kali watatu, na mwingine wa nne ni wakawaida. Kutokana na kuzaa nao watoto wazuri, mawasiliano yamekuwa ni ya mara kwa mara, hasa kwenye kujuliana hali pamoja na kuchangia maendeleo ya huo uzao wetu; ingawa wao hawafahamiani. Kwa sasa...
Back
Top Bottom