Kikosi cha Simba mapema leo Ijumaa (Agosti 15), kimeondoka jijini Ismailia kwenda jijini Cairo, Misri kuendelea na kambi ya maandalizi ya msimu mpya 2025/26.
Kikosi cha Simba kitaweka kambi jijini humo hadi kitakapokamilisha program ya kocha Fadlu, na kisha kitarejea Tanzania mapema mwezi...