Kwa wanasiasa wa Tanzania wa vyama vyote, hakuna mtu ambaye anaweza kutoa ujumbe mfupi unaoeleweka kama Heche.
Vijana jifunzeni kutoka kwake jinsi ya kuwasiliana
Tuna faida kubwa kuliko wakati wowote—ambayo ni mabadiliko ya teknolojia. Maandamano yatafanyika, hata wakizima mtandao au kuzuia SMS, bado tunaweza kujipanga na kutumiana ujumbe bila intaneti, bila Wi-Fi, bila SIM card.
Leo nataka tujikite kwenye ujumbe wa nje ya mtandao (offline messaging)...
Leo nimeamua kuwasaidia na maarifa nawapa bure .
Kwanini single mothers hata umpe mahitaji yote ya muhimu , she will keep in touch with her EX or single dad . issue kubwa ni Emotional bonding,.
Nadhani wanaume watakuwa mashahidi, pale akihitaji kuruka na X baby Mama wake huwa ni rahisi Sana .
UK wamefanya hivyo bila kuigunga X, sasa ingawa sio sababu halisi ya kufungiwa kwa X, kwanini Jerry silaa wasiwasiliane na uongozi wa X wakazuia haya maudhui wanayosema hayafai kwa mlaji kuliko kuofungia kabisa?
Hellow!
Hili limesababishwa na Nini?
Kama huamini, nenda kituo Cha polisi halafu switch language uone kama utahudumiwa kwa haraka,
Je, Nini kifanyike kuondoa Hali hii?
Karibuni 🙏
Kwa vile Simba ina uhakika wa kushiriki michuank ya kimataifa kila mwaka,Captain Zimbwe hatoshi.Waamuzi wengi wanaongea Engliish,Arabic,French or Kiswahili
Japo football ina lugha yake. Lakini bado matamshi yana nguvu.
Ngoma apewe u captain anajua kiswahili,kifaransa,kingereza na kiarabu...
Kuna mambo hayahitaji elimu ya juu kujua kwamba Kuna mambo ya ajabu ajabu yanafanyika kwenye mpira wetu. Hivi hata kama Meneja wa uwanja hana taarifa kutoka kwa kamishina wa mchezo kwa uzoefu wake wa uendeshaji wa uwanja anajua kabisa ni lazima timu ngeni itakuja kufanya mazoezi.
Kwa busara tu...
Wakuu hivi kama umepeleka barua kwa mwanamke umejibiwa mahari ni kiasi Fulani
Je ni sawa kuwasiliana nao labda mama mkwe kumjulia Hali au baba mkwe kumsalimu ni sawa au miyeyusho??
Huyu jamaa ni kweli tulimkabidhi dada yetu kifamilia, lakini baada ya miezi 6 kupita kuwasiliana adi tumpigie sisi, na sisi tumeamua hatutomtafuta akijisikia sawa tu,
Jengine bado hajamalizia mahari, kuhusu maisha wanaishi vizuri na dada yetu ila sina uhakika 100%.
Nyie vijana acheni dharau...
Kumekuwa na hili swala la kupokea sms mfululizo kutoka kwa namba zisizojulikana, yaani ukikaa kidogo utaona mara "iyo hela tuma kwa namba hii" mara "mzee nani nani anatibu mvuto, pete ya nini sijui" hujakaa sawa mara "jiunge na chama chetu" mara " mimi mwenye nyumba wako" na nyingine nyingi...
Habari mara nyingi Watu wengi wanajikuta wamezaa nje ya ndoa na mwenzie kuolewa Na mnamtoto tayari.
Mtoto anahitaji malezi ya baba na mama.
Sasa njia gani unatumia kuwasiliana na mzazi wenzio aliyeolewa tayari afu utakuta huko anaishi na mtoto wako au mtoto unaishi naye sometimes mtoto atataka...
Rais wangu ni vema utusaidie jinsi ya kukufikishia maoni ya mtaani kwetu ! Mtaani kwetu mambo yamechacha ! Nahisi watu wako wakaribu hawakwambii ukweli kabisa ! Ni wapi sisi vijana wa mtaani tutakupatia maoni yetu ?
Mpendwa Steve Nyerere,
Kwa heshima kubwa, napenda kukushukuru kwa kazi zako nzuri na mchango wako wa kipekee katika kuleta maelewano ndani ya jamii yetu. Kama mmoja wa viongozi wenye ushawishi mkubwa, nina imani kuwa unaweza kuwa kiungo muhimu katika kutatua suala la Niffer na Diva kwa njia ya...
Mtu akikupenda swala la kuonana naye na kuwasiliana hamtabembelezani kabisa ila rafiki ukimpenda mtu asiyekupenda mnaweza kukaa mtaa moja au sehemu moja, swala la kuonana mtihani kila siku pruu pruuu wala hana hamasa ya kuonana na wewe na mawasiliano umuanze
Akikupenda swala la kuonana na...
Hapa natoa madokezo (hints) kuhusu kujiunganisha na mizimu ya kwenu ili kuweka mambo yako sawa.
Tunaanza.
1. Tafuta eneo safi na tulivu
Hakikisha Una eneo safi na tulivu ambalo utalitumia Kama madhabu yako kuongea na mizimu ya kwenu ili kupata msaada eneo linaweza kuwa hata chumbani kwako...
Katika Tanzania tunayoipenda, uhuru wa kuwasiliana na kutoa habari ni nguzo muhimu kwa maendeleo ya jamii yetu. Hata hivyo, sheria ya serikali ya kutoza leseni kwa vyombo vidogo vya habari na burudani kama vile blogi, YouTube, na mitandao ya kijamii imeleta changamoto kubwa kwa wananchi na...
Wakuu,
Kuna watu mpaka unafikiria mtu kama huyu kafikaje bungeni, maana ni zaidi ya weupe kichwani, watupu kabisa!
Kodi zote hizi mnazotuumiza nazo wananchi bado unataka ziongezwe nyingine kwenye line za simu?
Hii siyo ya kukalia kimya!
Dunia inapiga kasi kwenye digidali lakini Viongozi wetu...
MKEO AU MCHUMBAAKO AKITAKA KUWASILIANA NA MICHEPUKO YAKE HUTUMIA ZAIDI SIMU YA RAFIKI YAKE.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Kuna wale wanaume wenye tabia ya kuzikagua simu za Wake au wachumba zao. Mbaya zaidi huzikagua waziwazi. Hilo ni kosa. Unapoishi na mwenza iwe mumeo au mkeo usifanye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.