kuvuta bangi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. adriz

    Kama kuvuta bangi ni "ujanja" na kunaongeza "akili " kwa nini wavuta bangi hawawafundishi watoto bangi na hawapendi kuitwa wavuta bange ?

    Moja kwa moja. Wavuta bange wengi wanadai mtu ukivuta bange unawaza vitu mbali akili inakuwa kubwa hata uwezo wako wa kufikiri na kupanga mipango chanya unaongezeka. Na wengine wanadai hata kwenye madoma darasani bangi inasaidia na wavuta bange wengi wanajiona wao maIntelligent kama Isac...
  2. N

    Nahisi ndugu yangu kaanza kuvuta bangi, Leo kataka kusimamisha gari kwa mikono, naanzaje kumshauri aache,

    Tulifikia sehemu nikamwambia apaki gari upenuni mwa barabara, nikashuka kwenda kununua makubwa. Yeye naye akashuka, sijui kupunga upepo au ku-scan anga Ghafla nageuka naiona gari inatembea yenyewe, Alienda mbele ya gari akaweka mikono akaanza kusukumana nayo, kakaza uso, mishipa imemtoka...
  3. K

    Tabia ya Warembo kuvuta bangi imetokea wapi?

    Huu utamaduni wa watoto wa kike kuvuta bangi umetokea wapi? Siku za hivi karibuni nimekuwa nikikutana na wadada warembo wa vyuo, wengine watumishi katika ofisi za umma na binafsi wanavuta sana bangi. Zamani tulizoea vijana wa kiume ndio walikuwa watumiaji wa bangi lakini hawa nao walionekana...
  4. mdukuzi

    Ezi za Lucky Dube

  5. A

    KERO Hatma ya Vijana Wetu na Juhudi za Kukomesha Uvutaji Bangi Hadharani: Hili Ni Tatizo la Nani?

    Kama mkazi wa mtaa wa Msisiri A, nyuma ya Mahakama ya Kinondoni, nimesikitishwa mno kuona idadi kubwa ya vijana wadogo wakijihusisha na uvutaji wa bangi maeneo ya wazi. Wanavuta bila hofu, bila kujali athari za kiafya kwao binafsi na kwa wakazi wengine wa mtaa huu. Hii ni hali inayotufanya...
  6. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    KISA CHANGU: Mara ya kwanza kuvuta bangi nilienda kumuomba ushauri mwalimu kuwa nataka kujiua

    JF salaam, Ni miaka takribani 17 tangu kituko hiki nikifanye nikiwa O Level kweli bangi inawenyewe. Nikiwa na marafiki zangu watano mi nikiwa 6 kati yao wa3 walikuwa wanakula bangi na darasani wanafanya vyema sana yaani tano bora muhimu wawemo. Hili lilitufanya tuwaze sana na jamaangu wa...
  7. Papaa Mobimba

    KWELI Tofauti na tamaduni iliyozoeleka ya Rastafarians, Lucky Dube hakuwahi kuvuta bangi

    Kama ilivyozoeleka kwenye jamii nyingi kuwa ukiwa Rastafarian basi kwa asilimia kubwa utakuwa unatumia bangi/marijuana na majina mengine lukuki kama inavyojulikana. Leo kwenye mitandao ya kijamii kulikuwa kuna meme inasambaa ikiwa na ujumbe "Wakati Lucky Dube anaimba "Born to Suffer" me...
  8. Hance Mtanashati

    Burna Boy agomea zaidi ya bilioni 12 kufanya show Dubai kisa kunyimwa kibali Cha kuvuta bangi. Huyu jamaa bila shaka ndiye aliyemuharibu ndugu yetu wa

    Katika hali iliyowaacha wengi mdomo wazi ni suala la African giant Burna boy kugoma kufanya show Dubai yenye thamani ya zaidi ya dola za kimarekani milioni 5 kisa tu kanyimwa kibali cha kuvuta bangi . Ukisikia bangi nibangue ndio hii sasa 🤣🤣🤣🤣🤣 Nikiangali ushikaji wa kimtindo uliopo kati yake...
  9. MFALME WETU

    Mpenzi wangu ni mjamzito ila kagoma kuacha kuvuta bangi

    Habari za sahizi keyboard masters.. Ni muda sasa nimekuwa kwenye mahusiano na huyu mrembo kutoka huko kaskazini, tulikutana chuo tukiwa classmates ila rasmi mahusiano yetu yalianza tukiwa mwaka wa pili semester ya kwanza. Kipindi chote hicho sikuwahi kugundua kuwa anatumia sigara wala bangi...
  10. enzo1988

    Siku ya kwanza kuvuta bangi

    Niliona milima na mabonde wewe je?
  11. O

    Naweza kumbadilisha aache kuvuta bangi?

    Kuna mwanaume ananipenda sana naona tuna match dini na umri japo umri tumepishana mwaka 1 Mimi nimemzidi. Shida anavuta bhangi sijui ni mkumbo ila ni mpole mstaarabu. Naweza kumrekebisha au niachane nae tu? Inafika muda najikuta kama namuogopa hivi. Hakuwahi nambia kama anavuta ila nilizikuta...
Back
Top Bottom