kuvunja sheria

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suala la kukamata watu wa CHADEMA wasio tishio kivyovyote ni la kisiasa kwanini wameshusha na bendera inahusika vipi kuvunja sheria za nchi ?

    Suala la kukamata watu wa CHADEMA wasio tishio kivyovyote ni la kisiasa kwanini wameshusha na bendera inahusika vipi kuvunja sheria za nchi ? Nimesikia hizi takataka zinasema heti wamekamatwa kwa kukusanyika kwahiyo kukusanyika ni kosa tangu lini na vipi mshushe na bendera ya chama ilikuwa...
  2. C

    Jeshi la polisi ndio chombo kitacho ongoza kwa kuvunja sheria mambo mengi wanayafanya kienyeji na kimazoea tu na hawasikii

    Hiki chombo kwakweli nadhani ndio chombo ambacho baada ya rais kuwa juu ya sheria basi chombo kinacho fuata ni jeshi la polisi wakifuatiwa na usalama wa taifa lakini kinara wa kuvunja sheria za nchi na kukiuka katiba ya nchi ni jeshi la polisi. Hiki chombo kikifuatiwa na usalama wa taifa ndio...
  3. Dkt. Mollel: Hakuna aliyefunga Makanisa ya Gwajima ni yeye Mwenyewe kafunga Kwa kuvunja Sheria

    Kupitia Ukurasa wake wa Instagram, Dkt. Godwin Mollel ambaye ambaye pia ni Naibu Waziri wa Afya anayemaliza muda wake ameandika ujumbe huu kuhusu Askofu Josephat Gwajima: Hakuna aliyefunga Makanisa ya Gwajima ni yeye Mwenyewe Gwajima kafunga Kwa kuvunja Sheria alizo ridhia yeye mwenyewe na...
  4. Yanga kushitakiwa FIFA na wanaharakati kwa kuvunja Sheria za FIFA zinazikataza vilabu kushiriki siasa za vyama vya siasa

    Hiki ndio kinachoendelea hiko kwenye kurasa za wanaharakati Jamani tuwaandikie FIFA kuhusu ukiukwaji wa kanuni za maadili ya Yanga! Kanuni za FIFA na hata CAF zinakataza kabisa kujihusisha na siasa za vyama! Itume kwa barua pepe ethics@fifa.org Anwani andika: FIFA Ethics Committee...
  5. TFF yapigwa Rungu na CAF kulipa faini ya USD 10,000 kwa Kuvunja Taratibu za Usalama mechi dhidi ya Burkina Faso

    Bodi ya Nidhamu ya CAF imefungulia mashitaka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa kuvunja masharti ya Usalama na Ulinzi kama yalivyoainishwa katika Kanuni za Nidhamu za CAF, Ibara ya 82 na 83, pamoja na Ibara ya 24 na 28 za Kanuni za Usalama na Ulinzi za CAF. Mashitaka hayo...
  6. PreGE2025 Wasira: CCM inasimamia amani, iko tayari kukosolewa

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira, amesema chama hicho kinasimamia amani na kiko tayari kukosolewa ikiwa upizani watasema wanavunja kanuni ya utawala bora. Licha ya kauli hiyo pia amehadharisha kwamba yoyote atakayewakosoa ajipange kwakuwa watamhoji kwamba wamevunja...
  7. Waziri Mkuu, Majaliwa: Uhuru wa kuabudu si kuvunja sheria za nchi

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa waumini wa dini mbalimbali nchini kuzingatia Sheria ya uhuru wa kuabudu wanapotekeleza ibada zao, kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ili kuhakikisha ibada hazivunji amani wala sheria za nchi. "Tunapokuja kuabudu hapa, tuzingatie...
  8. Nachukizwa sana na baadhi ya nchi zinazoadhibu mitandao ya kijamii kwa kisingizio cha kuvunja Sheria, madhumuni ya nchi hizi ni kudhoofisha teknolojia

    Meta inatishia kufunga Facebook nchini Nigeria kutokana na kutozwa faini kubwa Watu nchini Nigeria wanaweza kupoteza ufikiaji wa Facebook na Instagram baada ya kampuni mama ya Meta kusema ilikabiliwa na faini kubwa na matakwa ya udhibiti "yasiyo halisi" kutoka kwa mamlaka ya Nigeria. Mwaka...
  9. Watanzania wanapaswa kutii amri za jeshi la polisi zinazo endana na katiba bila kuvunja sheria na sio kitu kingine

    Watu walio enda mahakamani hawakuwa na hatia na wala hawana historia yoyote ya uhalifu wala ugaidi kisheria hawakutakiwa kukamatwa. Ili tusiingilie uhuru wa mwengine mtu anapaswa kutii amri za polisi zinazo tokana na katiba bila kuvunja sheria na sio kutii mawazo yake binafsi kwa kufanya hivi...
  10. W

    PreGE2025 Mary Joseph: Kuwa CCM siyo kigezo cha kuvunja sheria

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana UVCCM Mkoa wa Mara, Mary Joseph amewataka vijana kuacha kujihusisha na vitendo vinavyochafua picha ya umoja huo, badala yake wawe sehemu ya ulinzi wa amani na mshikamano. Mary ametoa kauli hiyo leo Machi 24, 2025 alipokuwa akizungumza na vijana katika Wilaya ya...
  11. PreGE2025 Mwenyekiti wa UVCCM Mara: Kuwa kijana wa CCM siyo kigezo cha kuvunja sheria

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana UVCCM Mkoa wa Mara, Mary Joseph amewataka vijana kuacha kujihusisha na vitendo vinavyochafua picha ya umoja huo, badala yake wawe sehemu ya ulinzi wa amani na mshikamano. Mary ametoa kauli hiyo leo Machi 24, 2025 alipokuwa akizungumza na vijana katika Wilaya ya...
  12. Profesa au Dr. Akiiba,Ame-elimika huyu?

    Wakuu habari Mtu anayejiita msomi katika ngazi ya uprofesa au hata Udaktari,anaeaminiwa mabilioni ya pesa kwa ajili ya mradi fulani wa kufaa jamii kubwa ya watu kama kijiji au hata mkoa au nchi,akazitumia zote kwa maslahi yake kama kujenga bar,lodge,majumba ya kifahari nk...huyu ana vyeti au...
  13. J

    Mpina anastakiwa kwa kuvunja sheria gani Kamati ya Maadili ya Bunge

    NIMESOMA Maagizo ya Spika kwa Kamati inayokwenda kumhoji Mpina kwenye suala la tuhuma alizotoa dhidi ya Bashe kwenye skendo ya vibali vya sukari...watalaamu wa sheria tunaomba mtuletee mchanganuo wa Sheria alizotaja Spika kuwa Mpina amezivunja ili nasi tusiojua sheria tujue anakwenda kuhukumiwa...
  14. Majaji, Viongozi wa serikali, Magari ya Jeshi yanaongoza kwa kuvunja Sheria za Usalama barabarani

    Katika watu wanaopaswa kutii sheria za barabarani ni Watu hawa, Majaji, Jeshi, Viongozi wa serikali, ila katika nchi yetu hii ipo tofauti sana, yan wanaongoza kuvunja sheria mnoo, bila hata sababu za msingi, na hata zingekwepo hawakupaswa kuvunja sheria. Unakuta wanapita Njia ya magari ya...
  15. T

    Viongozi Serikalini wanaongoza kuvunja sheria za usalama barabarani

    Wanajamvi salaams Naomba kuuliza hivi viongozi wa serikali wao hawapaswi kufata sheria mara watumiapo barabara? Inasikitisha sana unapoona gari la kiongozi linavunja sheria ya usalama barabarani halafu na askari hana jeuri ya kumfanya chochote. Yani wao muda wote wanaharaka hata muda wa...
  16. Ghana: Wafanyabiashara 5 mbaroni kwa Kuvunja Sheria ya Ulinzi wa Data

    Wafanyabiashara watano huko Accra wamekamatwa na polisi kwa kushindwa kujiandikisha kwenye Tume ya Ulinzi wa Data (DPC) na kuvunja Sheria ya Ulinzi wa Data. Wafanyabiashara hao ni wawakilishi wa CareFlight Ghana, kampuni inayotoa huduma za kliniki na ambulensi, Embassy Gardens, kituo cha...
  17. Hivi green guard ni jeshi usu? Kwanini mnapigia saluti Makonda na kuvunja sheria za nchi?

    Eti mnapiga saluti kama askari wa majeshi yetu. Acheni uduanzi wa kuvunja sheria za nchi. Kifungu cha 8E cha sheria ya vyama vya siasa inazuia kuunda vikundi kama green guard.
  18. M

    Unatumia mbinu gani kuepuka kodi (tax avoidance) bila kuvunja sheria za nchi?

    Tuwe wakweli hakuna kinachouma kama kulipa kodi na unalipa huku unajua kabisa pesa hizi haziendi kuleta maendeleo ya nchi, wanaenda kunufaika familia flani ukibisha hili soma ripoti ya CAG na angalia kinachoendelea TANESCO na sisi tunaofanya biashara za mazao huwa tunapita vijijini utakubali...
  19. Kenya yavunja rekodi ya deni la Taifa mpaka kuvunja sheria, Tanzania tumejipangaje?

    Utawala wa William Ruto umeshutumiwa kutokana na mwenendo deni la Taifa nchini Kenya huku akiwa ndiye Rais aliekopa pesa nyingi zaidi ndani ya mwaka mmoja tangu Taifa la Kenya liumbwe. Deni hilo limeongezeka kwa $ bilioni 10.8 kufikia $ bilioni 70.75 kulingana na takwimu zilizotolewa Jumanne...
  20. Man City hatarini kukatwa pointi kwa kuvunja sheria ya fedha

    Inaelezwa wamevunja kanuni za Premier League kwa zaidi ya mara 100 ndani ya misimu tisa ya nyuma kuhusu wadhamini na masuala ya mikataba. Tamko la uongozi wa EPL limeeleza Klabu ya Man City imekiuka masharti kati ya Septemba 2009 hadi 2018, adhabu nyingine zinazoweza kutolewa kwa mujibu wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…