Wana Jamvi nahope mko poa.
Hivi hawa itel wanawachukuliaje wateja wao. Aisee nimeletewa itel mpya na mtu nimsetie aanze kuitumia, ile kila kitu tayari akaweka memory card a play music, ebana simu si haina music player. Yaan file la mp3 haiwezi kusoma inaweka alama ya ?. Nkajua labda kapigwa...