kuvaa

Karen Margrethe Kuvaas (born June 14, 1947) is a Norwegian politician for the Norwegian Labour Party and since 2007 mayor of Narvik.
Kuvaas took over as mayor succeeding her party colleague Olav Sigurd Alstad following the 2007 election. In November she was one of the four Nordland mayors who fronted the municipalities case in the Terra Securities scandal.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Star tv na tangazo lenu la corona na kuvaa barakoa leo hii siwaelewi.

    Star tv ina mambo ya kishamba sana sasa lile tangazo lenu la kuvaa barakoa leo hii linamaana gani?
  2. JamiiForums Tanzania Mtoko mpya wa Simba: Unaweza kuvaa ofisini

  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Wizara ya Afya ituambie tuendelee kuvaa barakoa au tupumzike

    Rais ameiagiza wizara hiyo kufanya tathmini ya hali ya ugonjwa wa UVIKO-19 nchini na kutoa utaratibu kama bado kuna haja ya wananchi kuendelea kutumia barakoa. Amesema “Inaonyesha watu wamechoka nazo, niwaombe sasa Wizara ya Afya waangalie mwenendo huu tunaokwenda nao, lakini watathmini hali...
  4. JamiiForums Tanzania SI KWELI Kuvaa nguo nyekundu kunasababisha kupigwa na radi

    Madai: Yapo madai kutoka katika jamii mbalimbali yakihusisha rangi nyekundu na radi. Baadhi ya jamii zinaamini kwamba kuvaa mavazi yenye rangi nyekundu wakati wa mvua ni hatari kwa sababu yanaweza kusababisha ukapigwa na radi. Sambamba na hilo jamii nyingine zinaamini Mjusi kafiri na Kondoo wana...
  5. JamiiForums Tanzania Unaweza kuvaa viatu vya aina hii?

    Kwangu mimi ni big no...sijui kwann?
  6. JamiiForums Tanzania Rwanda: Mwanamke akabiliwa na kifungo cha Miaka 2 kwa kuvaa nguo za Utupu

    Mwanamke mwenye umri wa miaka 24 ambaye alikamatwa kwa kuvaa mavazi ya "aibu" anakabiliwa na kifungo cha miaka miwili jela kwa kuvaa “uchafu hadharani” Wendesha mashtaka wameomba azuiwe rumande kwa siku 30 Liliane Mugabekazi alikamatwa Agosti 7 baada ya kuhudhuria tamasha la mwanamuziki maarufu...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Hivi ukiachana na skafu anayopenda kuvaa Mwigulu Nchemba ni sifa zipi Nyingine zilimfanya achukue form ya kugombea Urais 2015 ?

    Habari wana JF ,nimewaza sana kuhusu uthubutu wa kugombea kuwa Rais wa Nchi ,nimegundua cha kwanza lazima uwe na sifa . Nikajiuliza hivi Ukachana na Skafu anayopenda kuvaa Mwigulu Nchemba ya Rangi za bendera ya Taifa ni sifa zipi Nyingine zilimsukuma achukue form ya kugombea Urais 2015 kupitia...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa Viongozi kuvaa Barakoa kwa Kubagua maeneo ni Unafiki amueni moja mzivae muda Wote au msizivae tu kabisa sawa?

    Nachukia sana Unafiki na Upuuzi. Yaani Mtu huyo Saa 2 Asubuhi unaona Picha yake akiwa amejiachia kabisa bila Barakoa lakini ukija Kuiangalia tena Picha yake ya Saa 7 mchana unamkuta kavaa Barakoa tena inayotaka hata Kufunika Kichwa chake chote. Nawaulizeni nyie Viongozi Wanafiki hivi COVID-19...
  9. JamiiForums Tanzania Je, katika Biblia Takatifu kuna kifungu kinachoelezea ulazima wa Bibi Harusi kuvaa shela?

    Za ijumaa wana JF, Suala ya uvaaji shela limenilete changamoto kweli baada ya kutafuta Sana katika mtandaoni. Shela Ni like vazi analojifunika Bibi harusi siku akifunga ndoa. Katika Biblia tunaona mfano mmoja Rebeka alivaa shela alipo kutana na Isaka. Ila sijapata fungu lililosema Ni agizo...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Wanawake acheni ujinga. Kuvaa mipira hii ya makalio kuna madhara makubwa sana. Hizo kitu zinataka hewa

    Hata kama wahenga walisema ukitaka uzuri sharti udhurike lkn siyo kwa kuvaa mipira hii ya kukuza na kuonesha makalio. Ni hatari sana. Maumbile ya kike yanahitaji sana hewa. Ndiyo maana kwa enzi na enzi mwanamke amekuwa akivaa mavazi yenye kuruhusu hewa kufika kwa wingi kwenye sehemu zake za...
  11. JamiiForums Tanzania Bunge limeahirishwa ili wabunge wakajifunze kuvaa na table manners?

  12. JamiiForums Tanzania Arusha: Wanakijiji Arumeru walazimika kuvaa Ndoo na Helmets vichwani kujikinga na Mawe ya ajabu yanayorushwa hewani

    Wanakijiji wa kijiji cha kiwawa kilichopo Arumeru wamelazimika kuvaa ndoo na kofia ngumu vichwani kufuatia mawe yanayorushwa usiku na mchana pasipo kujua mawe hayo Yanatokea wap. Aidha wanakijiji hao wameshindwa kufanya shughuli zao za Kila siku zikiwemo za kujiingiza kipato kutokana na hofu...
  13. JamiiForums Tanzania Epuka kuvaa / kumvalisha mwanao nguo zenye rangi hizi unaweza kuta unasapoti ushoga bila wewe kujua

    Mapema leo wachezaji wa Norwich city wakati wakicheza mchezo wao wa mwisho, england premier league dhidi ya totenham. Wamevaa tishert zenye rangi za kishoga wakimsapoti mchezaji wa Blackpool fc inayoshiriki ligi ya daraja la tatu huko wingereza aliyejitangaza kuwa ni shoga. Wapo wengi tu...
  14. JamiiForums Tanzania Pesa ni Shetani; Mchezaji aliyekataa kuvaa jezi ya kuunga ushoga alazimishwa kuchagua kati ya mshahara wa milioni 200 kila wiki ama kurudi Afrika

    Katika hali kama hii ndipo unapoona wazi wazi bila kificho kwamba pesa zina elements kubwa sana za ushetani. Mchezaji wa PSG (timu hii inamilikiwa na shehe tajiri) wiki iliyopita alikataa kuvaa jezi yenye rangi za kuunga mkono ushoga, usagaji na kubadili jinsia, sababu yake kuu ni kwamba ni...
  15. JamiiForums Tanzania Namuunga mkono mchezaji aliekataa kuvaa jezi za kuhamasisha ushoga licha ya wenzake kuzivaa

    Hapo majuzi, timu kubwa ufaransa ya PSG ilienda kucheza mechi huku wachezaji maarufu wa dini kuu mbili wakiwa wamevaa jezi za kuhamasisha na kuutetea ushoga na usagaji lakini kuna mchezaji moja Idrissa Gueye alikataa kuvaa hizo jezi akilalamika ni kinyume na anachoamini Hili suala si la kidini...
  16. JamiiForums Tanzania Utaratibu wa askari wetu kuvaa au kutokuvaa uniform wanapotekeleza majukumu yao ukoje?

    Wasalaam, Kwanza kabisa niwapongeze na kuwashukuru askari wetu wa jeshi la polisi kwa KUTEKELEZA MAJUKUMU yao, watu mengi huwabeza askari wetu lakini ukweli ni kwamba bila wao hata kaugali tusingeweza kulala kwa amani huku mitaani. Jambo ninaloomba ufafanuzi ni kwamba ukoje utaratibu wa askari...
  17. JamiiForums Tanzania Tuweka ushabiki pembeni: Staa gani anajua kuvaa na kupendeza hapa Bongo?

    Jux Ommy Ali Kiba Diamond Kamikaze
  18. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la uume kusinyaa baada ya kuvaa kondom limekua sugu

    Wanaume wengi wanalalamika sana mtu unapata shoo na unaingia gesti ili unachezea mtoto na ngoma inasimama ile unavaaa kondomu ngoma inasinyaa. Hili limekuwa tatizo kubwa sana. Hizi kondomu za siku hizi zina matatizo?
  19. JamiiForums Tanzania Mwanasoka Raia wa Uturuki Aykut Demir alikataa kuvaa tisheti maalumu zilizoandikwa "No To War" Sababu?

    Mwanasoka raia wa Uturuki Aykut Demir alikataa kuvaa tisheti maalumu zilizoandikwa "No To War" katika mechi ya Jumapili iliyoikutanisha timu yake ya BB Erzurumspor dhidi ya vinara wa Turkish Second Division timu ya Ancaragucu Aykut alipohojiwa kuhusiana na tukio hilo, alisema "Maelfu ya watu...
  20. JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz, hujui kuvaa

    Kubali kataa hujui kuvaa, siku nyingi nilikuwa na jiuliza kuhusu hilo jana nimeprove, hujui kuvaa, cheki Jux na Kiba wanavyotupia,najua chawa wake wamo humu kumtetea niueni ila hajui kuvaa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…