kuu

Kullu–Manali Airport (IATA: KUU, ICAO: VIBR) (informally also called Bhuntar Airport) is an airport located in Bhuntar, Kullu in the Indian state of Himachal Pradesh. The airport is located 11 km from Kullu and 52 km from Manali.
Bhuntar is considered a challenging airport for pilots because of its single runway set in a deep valley whose peaks rise several thousand feet higher than the runway. Also, the airport is located on the banks of the river Beas, and in 1995, its flash floods posed a threat to the runway. The new air terminal at Bhuntar was inaugurated in 2008, and the airport apron enlarged to park two aircraft at a time. Kingfisher Airlines ceased operations in September 2012 while Air India Regional resumed its operations to Kullu in May 2013. Himalayan Bulls in collaboration with Deccan Charters has commenced Kullu-Chandigarh-Kullu flights thrice a day from 2 April 2014.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tanzania yachaguliwa katika Baraza Kuu la ITU 2023 – 2026

    Na Innocent Mungy, Bucharest Tanzania imechaguliwa miongoni mwa nchi 48 kati ya nchi 193 wanachama wa ITU kuwa katika Baraza la Shirika la Mawasiliano duniani - International Telecommunication Union (ITU) kwa mwaka 2023 hadi 2026. Tanzania ni miongoni mwa nchi 13 zinazowakilisha Bara la Afrika...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Nini kimemsibu Mulamula?

    Mulamula ametumbuliwa. Maswali ni Mengi lkn yapo mawili makubwa yaliyoaibisha nchi yetu kimataifa, yamkini yamesabishwa na makosa ya balozi zetu (zilikuwa chini ya Mulamula) kushindwa kuratibu mambo vizuri? 1. Je, ni ile kadhia ya mama kupandishwa school bus kwenye mazishi ya malkia? 2. Je...
  3. JamiiForums Tanzania Rushwa na mizengwe kwenye chaguzi za CCM ni dhahiri kuwa hata kwa chaguzi kuu CCM hupita kwa rushwa

    Chama kilicho safi huwa kinakuwa na taswira nzuri kwenye jamii. Na huwa kinakuwa ndio kielelezo cha namna gani viongozi wanapaswa kupatikana na namna viongozi safi wanatakiwa kuwa. Sasa kama Chama tawala kwenye chaguzi zake viongozi wanapatikana kwa rushwa. Vipi kwenye uchaguzi mkuu?
  4. JamiiForums Tanzania FT: Prison 1 - 0 Azam, Ligi Kuu ya NBC

    FT: TANZANIA PRISONS 1-0 AZAM FC 46’—⚽️ Jeremiah Juma NB: Azam hawakupiga Shuti lolote lililolenga lango la Prisons.
  5. JamiiForums Tanzania Ligi kuu ya NBC itasimama wakati Okrah atakapokuwa kwenye kombe la dunia?

    Ligi kuu huwa inasimama kupisha mechi za timu za taifa. Je! Wakati Augustine Okrah atakapokuwa anaiwakilisha Ghana itabidi ligi kuu Tanzania bara isimame?
  6. JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi ateua Mrajis wa Mahakama Kuu Zanzibar

  7. JamiiForums Tanzania DODOMA: Halmashauri kuu ya CCM yaongeza muda wa kuchukua na kurejesha fomu kutokana na Utitiri wa Wagombea

  8. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM Rais Samia Suluhu Hassan aongoza kikao cha Kamati Kuu, Ikulu

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan ameongoza Kikao maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichokutana Ikulu ya Chamwino, Jijini Dodoma leo Jumatatu tarehe 26 Septemba, 2022. Rais wa Zanzibar na Mjumbe wa...
  9. JamiiForums Tanzania Najuta kujirahisisha kwa jimama la benki kuu

    Nina umri wa miaka 29, tangu nimalize chuo miaka mitano nyuma sijapata kazi, nikajiegesha kwa maza mmoja anafanya kazi benki kuu, anaishi maghorofa ya Mbezi Beach, aisee najuta, simu yangu iko tracked muda wote. Ikifika tu muda wake wa kutoka anataka niwepo getini kwake namngoja, baada ya hapo...
  10. JamiiForums Tanzania Chadema: Wabunge 19 wa viti maalumu waondolewe Bungeni kabla ya mwezi Novemba, 2022

    Mzungumzaji kuu ni Mhe. Salimu Mwalimu, Naibu Katibu Mkuu wa Chama hicho ambaye anaelezea maamuzi ya kamati kuu iliyoketi Septemba 17-18, 2022 Kamati kuu imeitaka Serikali kupeleka muswada wa kufuta sheria mpya ya tozo ambayo imekuwa mzigo mkubwa kwa watanzania. Serikali ije na mpango madhubuti...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Ruto kuhutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa leo

    Kwa mujibu wa Mkurugenzi wake wa Mawasiliano Hussein Mohamed, Rais William Ruto atatoa hotuba yake ya kwanza baada ya kuapishwa kwenye Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA) leo Jumatano saa 3 usiku katika Jiji la New York, Marekani. Katika hotuba yake ya kwanza kwa Umoja wa Mataifa, Ruto...
  12. JamiiForums Tanzania Kamati Kuu ya CCM fanyeni maamuzi magumu. Mpumzisheni Rais Samia, Serikali yake ni kigeugeu!

    Alianza kwa kasi Sana na tuhuma za ugaidi Hadi nchi yetu ikaanza kujulikana kwa tishio la ugaidi kwa mataifa ya nje, na kesi akamfungulia mtuhumiwa Mwisho wa siku kesi ikayeyuka na mtuhumiwa hatari wa ugaidi KILA siku anakaribishwa ikulu Sasa unajiuliza Mbowe aliyekuwa Gaidi Ndio huyu wa...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Kishindo Kamati Kuu Chadema, Serikali imefuta Tozo ghafla

    Kama kawaida ya chama makini cha watu na watanzania kila kinapokohoa tu lazima asubuhi au usiku huo huo tushuhudie matamko ya serikali. Ni juzi tu Mh Mbowe alikohoa kuhusu tozo basi baraza la mawaziri halikulala. Juzi na jana Kamati kuu ya Chadema ikideal na maswala mtambuka ya Nchi ikiwemo...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Sababu kuu za Mwakinyo kufungiwa kupigana tena Uingereza

    Habari za ndani kabisa nimepenyezewa kutoka kwa mdau wa masumbwi huko Uingereza! Uchunguzi uliofanywa na bodi ya ngumi kutoka Uingereza umebaini kwamba; 1. Mwakinyo Alidanganya "cheat" . uchunguzi umebaini kwamba kiatu alichopewa hakikuwa na madhara yoyote, hata hivyo alipatiwa kabla ya siku...
  15. JamiiForums Tanzania Tetesi: Moto wafukuta ndani ya kikao cha kamati kuu ya CHADEMA

    Baada ya uchaguzi mkuu wa 2020 uongozi wa Chadema ulitangaza kususia kupokea ruzuku kutoka Serikalini ikiwemo ruzuku ambayo walistahili kupata kupitia Wabunge 19 wa viti maalum wa chama hicho kwa madai kuwa uchaguzi huo haukuwa huru na wa haki pamoja na kudai kuwa mchakato wa upatikanaji wa...
  16. E

    JamiiForums Tanzania SoC02 Sekta ya Kilimo Tanzania katika uchumi kabla ya ujio wa wakoloni Tanzania, kilimo ndio ilikuwa shughuli kuu ya kiuchumi

    SEKTA YA KILiMO TANZANI KATIKA KUKUZA UCHUMI. Kabla ya ujio wa wakoloni Tanzania, kilimo ndio ilikuwa shughuli kuu ya kiuchumi, pia biashara ambayo ilihusisha mabadilishano ya bidhaa kwa bidhaa ambapo asilimia kubwa ya bidhaa hizo zilihusiana na kilimo mfano majembe na mapanga, ambayo...
  17. JamiiForums Tanzania Msimamo wa ligi kuu NBC baada ya mizunguko minne

  18. JamiiForums Tanzania SoC02 Visa vya watu kujiua: Sababu kuu na ushauri wa nini kifanyike

    Utangulizi Kwa mujibu wa taarifa ya WHO (2019) ni kwamba kila baada ya sekunde 40 kuna mtu anajiua kwa sababu kadha wa kadha. Tatizo la watu kujiua limekua kwa kasi na linaongezeka kila kukicha na sababu zinazokusanywa za waliojiua hutofautiana kati ya mtu mmoja na mtu mwingine. Nina rafiki...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali kurudisha Ligi ya Muungano ili kuupa afya Muungano, yaunda kamati kutathmini gharama

    Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Pauline Gekul akijibu swali Bungeni amesema Kamati imeundwa kufanya tathimini ya kurejesha Ligi ya Muungano ambayo inajumuisha timu kutoka Tanzania Bara na Zanzibar. Waziri Gekul amesema “Tumekuwa na mazungumzo kati ya TFF, BMT na ZFF kwa...
  20. C

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mjadala wa wachezaji 12 wa kigeni kwenye ligi kuu Tanzania bara; bado hatui tulipojikwaa?

    Kama kuna biashara inayolipa sasa hivi ni biashara ya mpira wa miguu na vyote vinavyohusiana navyo,hapa nazungumzia biashara kama kuuza na kununua wachezaji,kuuza jezi na vifaa vya klabu,kuonyesha mpira,vituo vya runinga vinalipa fedha ili kupata haki za kurusha matangazo,udhamini mbalimbali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…