kuu

Kullu–Manali Airport (IATA: KUU, ICAO: VIBR) (informally also called Bhuntar Airport) is an airport located in Bhuntar, Kullu in the Indian state of Himachal Pradesh. The airport is located 11 km from Kullu and 52 km from Manali.
Bhuntar is considered a challenging airport for pilots because of its single runway set in a deep valley whose peaks rise several thousand feet higher than the runway. Also, the airport is located on the banks of the river Beas, and in 1995, its flash floods posed a threat to the runway. The new air terminal at Bhuntar was inaugurated in 2008, and the airport apron enlarged to park two aircraft at a time. Kingfisher Airlines ceased operations in September 2012 while Air India Regional resumed its operations to Kullu in May 2013. Himalayan Bulls in collaboration with Deccan Charters has commenced Kullu-Chandigarh-Kullu flights thrice a day from 2 April 2014.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Posho za marefa Ligi kuu ni huzuni

    Mwamuzi wa Ligi Kuu anapokuwa kwenye mechi, inaelezwa analipwa kati ya Sh 300,000 hadi 350,000 kwa mechi, pesa ambayo inajumlisha nauli ya kutoka anakoishi kufika kwenye kituo cha kazi na gharama za malazi na chakula. 🗣 Ukipiga hesabu kwa haraka haraka, pesa ya posho kwa mwamuzi wa Ligi Kuu...
  2. JamiiForums Tanzania Kagame ni kiongozi mwenye nguvu sana! Na nguvu zake kuu ni uwezo wake wa kijasusi!

    Paul Kagame, rais wa Rwanda anayetunishiana misuli na Felix Tshisekedi wa Congo, wakitupiana maneno, ambayo yanaendelea kudhoofisha mahusiano ya majirani hao! Kwa haya yanayoendelea kubainika kuhusu utawala wa Rwanda ambayo sio mazuri kidiplomasia, lakini mimi yananidhihirishia kwamba nguvu na...
  3. JamiiForums Tanzania Canal+ inapigwa vita kwa sababu inaonesha ligi kuu ya Uingereza kwa bei nafuu

    Tayari kuna tangazo la TCRA kuashiria kuanza kwa mileage dhidi ya matumizi ya decoder ya CANAL+ Nchini tanzania na hiyo ni kwa sababu inaleta ushindani kwa dstv. Badala ya kufikiria kuipiga marufuku decoder hiyo iwape utaratibu wa kufanya ili nayo ilete changamoto chanya kwa wapenzi wa soka...
  4. JamiiForums Tanzania Picha: Mwili wa Papa Benedict XVI umewekwa ndani ya Kanisa Kuu la Mtakatifu Petro, Vatican

    Mwili wa Papa Mstaafu Benedict wa 16, na kichwa chake kikiwa juu ya mito ya rangi nyekundu, umelazwa katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Petro huku maelfu ya watu wakiwasilisha maombi ya kutoa heshima za mwisho kwa Papa huyo ambaye aliishangaza dunia kwa kustaafu. Kulipopambazuka, Walinzi 10 wa Papa...
  5. JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yapinga Wafungwa kupimwa UKIMWI bila ridhaa yao

    Mahakama Kuu imesema kitendo cha maofisa wa magereza kuwalazimisha wafungwa kupima Virusi vya Ukimwi (VVU) bila ridhaa yao na kutangaza majibu ya vipimo vyao hadharani ni kinyume cha sheria. Majaji, Elinaza Luvanda, Edwin Kakolaki na Sedekia Kisanya wamekubaliana na ombi la kikatiba...
  6. JamiiForums Tanzania Nostradamus alitabiri mwaka 2023 kutakuwa na Vita Kuu ya III

    Nostradamus predictions 2023 Huyu jamaa anaitwa Nostradamus alizaliwa mwaka 1503. Kati ya mambo alyowahi kutabirina yaka tokea Kujitokeza kwa Adolf Hitler, Vita Kuu ya II, World trade Centre na September 11 ya wale jamaa wa siasa kali Alitabiri kujitokeza kwa CORONA, coronavirus pandemic...
  7. JamiiForums Tanzania Biriani na pilau wako ligi mbili tofauti, pilau yuko ligi kuu biriani anacheza daraja la nne

    Kwa kipindi Cha miaka minne nimekuwa nikifanya utafiti mdogo na muhimu, ambapo nilifanikiwa kuhoji watu 500. Pamoja na mahojiano hayo pia nilikula sehemu 100 tofauti tofauti. Katika hitimisho, nimefanikiwa kukubali kabisa pasipo shaka kuwa pilau na biriani misifa wako ligi mbili tofauti, pilau...
  8. JamiiForums Tanzania Azam wameamua kuwa wahuni kama kaka zao sasa ligi kuu itanoga

    Kalimangonga Ongara ni mtoto wa mjini,tangu aichukue timu kuna mabadiliko nayaona. Timu imeamua kuwa ya kihuni kama wahuni wa jangwani na msimbazi. Azam sasa kuna viashiria vya kununua mechi kama wanajangwani Azam sasa kuna viashiria vya ndumba kama msimbazi Azam sasa wanafanya uhuni kwenye...
  9. JamiiForums Tanzania Bajaji hazipaswi kabisa kusafirisha abiria barabara kuu

    Bajaji zililetwa kama usafiri wa walemavu. Baadaye zikaruhusiwa kusafirisha abiria kutoka maeneo ya pembezoni kuja barabara kuu. Leo hii sehemu nyingi zimegeuka usafiri barabara kuu. Na hili ni baada ya wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya na wakuu wa polisi kuona ni biashara nzuri na kuianza...
  10. JamiiForums Tanzania Kati ya Rais Samia na Hayati Magufuli nani aliona vizuri kuhusu idadi ya wajumbe wa Halmashauri kuu ya CCM?

    Hayati Magu alipunguza wajumbe wa NEC wa CCM, Samia kaongeza idadi, nani aliyeona kwa jicho la makengeza kati ya hawa Wenyeviti wawili?
  11. JamiiForums Tanzania FT: Ligi Kuu: Yanga 3-0 Coastal Union, Uwanja wa Mkapa, 20/12/2022

    Mchezo huu wa Ligi Kuu Tanzania Bara Kikosi cha Yanga kinachoanza katika mchezo wa leo Mchezo umeanza 5' Coastal wanaonekana kuwa makini 10' Kasi ya mchezo siyo kubwa 12' Matokeo bado ni 0-0 15' Yanga wanamiliki mpira muda mwingi 27 Azizi Ki anapiga shuti kutoka nje ya 18, linapaa juu 28'...
  12. JamiiForums Tanzania Katiba mpya iongeze Mamlaka ya Kamati Kuu ya Chama

    Ili kudhibiti wanaotaka kupingana na maamuzi ya Chama kilichokupa dhamana ya uongozi. Katiba mpya iseme wazi kuwa KAMATI KUU ndio kiwe chombo cha juu kabisa cha kudhibiti wakaidi
  13. JamiiForums Tanzania Je, Simba kuukosa ubingwa wa Ligi Kuu 22-2023?

    Sare anazopata Simba zinamuweka katika hali ngumu ya kurejesha ubingwa pale Msimbazi. Mpaka sasa inabidi Yanga ipoteze angalau michezo miwili ndipo Simba ipate ahueni. Lakini pamoja na yote, swali la Msingi ni kwamba Simba imefikaje katika hali hii? Hapa ndipo kwenye tatizo la msingi. Simba...
  14. JamiiForums Tanzania Mambo yaliyoleta Vita KUU Ulaya, ni Dhuluma na unfairness!

    Hata Ulaya ilikuwa hivyo, watu binafsi wanakopa fedha kwa manufaa yao binafsi halafu nchi au Serikali ina guarantee hiyo mikopo kwa kodi za Wananchi, maana yake ni kwamba kama akishindwa kulipa deni atakayedaiwa ni Serikali kwa maan ndiye alidhamini na siyo mtu binafsi aliyekopa. Hivyo Serikali...
  15. JamiiForums Tanzania Tukiachana na simba kunusurika kushuka ligi kuu mara nyingi, Je Yanga imewahi kumaliza ligi kuu chini ya nafasi ya tatu ?

    Ok, Nadhani kila mtu anajua kwamba Simba tayari wamewahi kumaliza ligi kwa kushika nafasi za chini na hata kunusurika mara nyingi kushuka daraja huku Yanga ikiwaokoa zaidi ya mara moja wasishuke . Kuhusu Yanga hivi imewahi kutokea wamemaliza ligi wakiwa nje ya top three ?
  16. JamiiForums Tanzania Tatizo la umeme ndilo litakuwa janga kuu la kura za CCM 2025. Mabadiliko ya haraka ya sekta hii ni muhimu

    CCM imekamilisha kupanga timu ya kusaka kura kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Mabadiliko ya watendaji serikalini yanatarajiwa kufanyika hivi punde kwa lengo hilo hilo la kuvutia kura za wananchi. Katika harakati zao hizo ni vyema wakazingatia ushauri ufuatao: - Janga namba moja kuu...
  17. JamiiForums Tanzania Ijue Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa na Wajumbe wake

    Leo katika kujifunza masuala ya siasa, ningepeda kuwaelezea kuhusu NEC ya CCM. Kuna watu wengi hawaijui na hawawajui wajumbe wake. Baada ya marekebisho madogo ya katiba ya CCM kumekuwa na ongezeko la viti. Ngoja nianze kulingana na KATIBA YA CHAMA CHA MAPINDUZI Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa...
  18. JamiiForums Tanzania Kuna tetesi ligi kuu yetu wapo wachezaji wa nje wanakunja mpaka milioni 10 kila mwezi. Je, kuna mzawa yeyote anealipwa hata milioni 5 ?

    Kwa wachezaji wa nje wa hapa bongo wapo wanaokunja hadi milioni 10 lakini kwa wazawa wetu kuna utata. Tukija kwa wachezaji wetu wa hapa bongo, kunaweza kuwa na yeyote anaelamba walau dola elf 3 kwa mwezi takribani shilingi za kitanzanha milioni 7 kila mwezi? Kuna tetesi zipo kwamba Feisal...
  19. JamiiForums Tanzania FT: Namungo FC 0-2 Yanga, Ligi Kuu, Uwanja wa Majaliwa (Lindi), 07/12/2022

    90' Mwamuzi anamaliza mchezo 90' Zinaongezwa dakika 4 za nyongeza 85' Yanga wanaendelea kufanya mashambulizi Tuisila Kisinda anafunga goli la pili kwa Yanga 82' GOOOOOOOOOOO 75' Namungo FC wamepata nafasi kadhaa za kupiga mashuti langoni kwa Yanga 66' Bado mambo ni magumu kwa Namungo, wapo nyuma...
  20. JamiiForums Tanzania Picha yenye maelezo: Wabara milioni 59 kupata wawakilishi 20 na Wazanzibari milioni 1.8 kupata idadi sawa haijakaa sawa

    Kwa common sense ya kawaida kabisa ukitazama hii picha unapata jibu. watu milion 2 wanawakilishwa na watu 20 na watu milioni 58 nao wanawakilishwa na watu 20.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…