kutumia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kuendelea kulinda Amani ya Taifa la Tanzania, Matatizo yanayotokea ni mkono unateleza bahati mbaya na kupelekea chupa ya Taifa kupasuka

    Kuna haja ya kuendelea kulinda Amani ya Taifa la Tanzania, Matatizo yanayotokea ni mkono unateleza bahati mbaya na kupelekea chupa ya Taifa kupasuka Tanzania ni Taifa bora sana duniani hasa pale linapolinganishwa kinidhamu, watu wake ni wapole na wakaribu na hii ndiyo sifa kubwa tuliyo nayo...
  2. JamiiForums Tanzania Kilimo hai,bora na cha kisasa kwa kutumia mkojo wa sungura.

    HABARI NJEMA KWA WAKULIMA Hakuna tena kuumiza kichwa kuhusu kutibu magonjwa nyemelezi kwenye mazao yako kama vile manjano, fangasi, na kudhoofika kwa mazao. Tumia mkojo wa sungura pia kuongeza mazao na uzito kwenye mazao kama mpunga, mahindi, maharage, ulezi na mtama. Mkojo wa sungura pia...
  3. JamiiForums Tanzania Vita ya Polisi na Raia imeanza Arusha. Askari ajeruhiwa vibaya kichwani kwa mawe, waamua kutumia risasi

    Habarini Wakuu, Arusha yameanza matukio ya vita ya mawe kwa risasi kati ya Raia na Polisi. Asubuhi ya leo katika hospitali ya Kaloleni amekuja askari anayevuja damu akiwa ameumia vibaya sana kichwani. Sambamba na hilo, maeneo ya Tengeru kuja mjini askari wamekuwa wakipiga risasi ovyo ila...
  4. JamiiForums Tanzania Changamoto zilizoikumba Tanzania zitatuliwe kwa kutumia Busara na Utamaduni wa Watanzania. Njia ya lawama itateketeza Taifa

    Nawapa pole Wananchi wote wa Tanzania, pamoja na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kufuatia mshtuko, simanzi na sintofahamu iliyotokana na matukio ya Oktoba 29, 2025. Tukio lile lilileta majeraha kwa nyoyo za Watanzania, likaibua hofu, maumivu na maswali mengi kuhusu mwelekeo wa...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Kwa ramani hii naweza kutumia bati na tofali ngapi. Nina Milioni 3 hapa

    Habari wakuu Hii ramani naweza kutumia bati ngapi na tofali ngapi? Kwa ujumla naweza kutumia tsh ngapi maana Nina million 3 hapa kibindoni
  6. JamiiForums Tanzania Aliyewahi kutumia hii dawa kutibu Genital warts je alipona?

  7. R

    JamiiForums Tanzania Bora tuwe na serikali mseto kuliko kutumia mbinu za kijima,kishamba kwenye chaguzi zetu hizi!

    Wakati mwingine natamani nichukue fimbo niwachape viboko makada wazee wa chama changu ccm mpaka basi! Hivi kilichofanya Hadi mkachelewesha katiba Hadi Leo tunakosa option ya ushindi Hadi tumwage damu kiasi hiki ni nini!!? We mzee kikwete kilichokufanya usisimamie katiba mapema ipatikane na...
  8. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Eti Mwanajeshi wa Marekani kaacha kutumia pourus border aende kutumia mpaka rasmi akiwa na mabomu! Acha watingishe Meza yenye Vinywaji vya bei mbaya

    Kwa wazoefu wa maeneo ya sirari kwenye mpaka wa Kenya na Tanzania, ni kichekesho cha hali ya juu kuuziwa propaganda eti Mwanajeshi wa Marekani amekamatwa akivuka mpaka rasmi wa Tanzania na Kenya akiwa na mabomu. Yaaani Mwanajeshi wa Marekani aache kutumia porous border ambayo unaweza kuvusha...
  9. JamiiForums Tanzania Kilimo hai, bora na cha kisiasa kwa kutumia mkojo wa sungura.

    HABARI NJEMA KWA WAKULIMA Hakuna tena kuumiza kichwa kuhusu kutibu magonjwa nyemelezi kwenye mazao yako kama vile manjano, fangasi, na kudhoofika kwa mazao. Tumia mkojo wa sungura pia kuongeza mazao na uzito kwenye mazao kama mpunga, mahindi, maharage, ulezi na mtama. Mkojo wa sungura pia...
  10. JamiiForums Tanzania Kilimo hai, bora na cha kisasa kwa kutumia mkojo wa sungura.

    HABARI NJEMA KWA WAKULIMA. Hakuna tena kuumiza kichwa kuhusu kutibu magonjwa nyemelezi kwenye mazao yako kama vile manjano, fangasi, na kudhoofika kwa mazao. Tumia mkojo wa sungura pia kuongeza mazao na uzito kwenye mazao kama mpunga, mahindi, maharage, ulezi na mtama. Mkojo wa sungura pia...
  11. JamiiForums Tanzania Extortion au a protection racket kwa kutumia mgongo wa Shetani, ni mbinu wanayotumia Wachungaji kujipatia fedha

    Extortion au a protection racket kwa kutumia mgongo wa Shetani, ni mbinu wanayotumia Wachungaji kujipatia fedha kutoka kwa Waumini wao Je wanafanyaje? Kwasababu imeshazoeleka kuwa Shetani ni mbaya na wakutisha basi wanapita kwenye mgongo huo wa hofu kujipatia fedha Wanapokuwa katika Ibada...
  12. JamiiForums Tanzania Tiktok yafungiwa Tanzania, bila VPN uwezi kutumia

    Tiktok imeungana na X (Twitter) na JamiiForums, rasmi hii mitandao uwezi kutumia bila VPN
  13. JamiiForums Tanzania Mwachiluwi Kwenye pishi hili la vitafunwa naweza kutumia maji badala ya maziwa? Sipendi maziwa mimi

    Mwachiluwi Karibuni wale wote wapenda mapishi mimi napenda sana kujifunza kila leo. Changamoto yangu maziwa situmii japo hata nikitumia huwa hayana madhara yoyote. Je naweza kutumia maji mbadala wa maziwa na ladha ikabaki vilevile?
  14. JamiiForums Tanzania Ipi ni Vpn nzuri kutumia kwenye PC

    Wakuu Ipi ni vpn ipi nzuri kutumia kwenye PC ila iwe ya free nitakuwa na Iboost na bando
  15. JamiiForums Tanzania DPP epuka kushitaki ovyo kesi za Uhaini na Ugaidi Kisiasa, Waharifu wanaweza kutumia mwanya huo kuyatenda kweli

    DPP nakuonya mno Kwa uzalendo wangu na ujuzi wangu kidogo kwenye mambo ya usalama Kumezuka tabia ya kushitaki ovyo mahakamani haya makesi ya Uhaini na Ugaidi na kuutangaza kwenye media ili hali ni mambo ya Kisiasa na yapo wazi hivo Haya matendo ni mabaya mno hakuna nchi inayataka hata...
  16. JamiiForums Tanzania Damu Imenyesha Juu ya Katiba: Watanzania Wameuawa Kwa Kutumia Haki Zao

    Watanzania wanalia. Uchungu umefika kilele. Wale waliotoka majumbani kwao kwa amani, wakiwa na matumaini ya kutumia haki yao ya kikatiba ya kukusanyika na kutoa maoni, leo wametoweka katika kaburi la ukimya. Wameuawa kwa risasi, kwa mabavu, kwa amri za dola iliyopaswa kuwalinda. Ni aibu ya...
  17. JamiiForums Tanzania Hivi unawezaje kutumia risasi za moto dhidi ya waandamanaji?

    Haya yalikuwa ni mauaji ya makusudi kabisa, Hakuna nchi yeyote duniani ambapo polisi hutumia risasi na bunduki wanapokuwa wanakabiliana na waandamanaji. Wengi wa waandamanaji mara nyingi ni raia wa kawaida tena wasio na mafunzo kabisa ya kijeshi unawezaje kutumia bunduki dhidi yao? Katika...
  18. JamiiForums Tanzania GE2025 Sio kwa Ubaya, ila Kutumia JWTZ kwenye mambo ya Kisiasa ni Jambo ambalo sioni kama Lina mwisho Mzuri Mbeleni

    Kumekuepo na tabia ukifika Uchaguzi au yakitangazwa Maadamno basi Utaona JWTZ mara wanafagia na Kusafisha mitaro. Sioni kama ili jambo lina afya mbeleni. Tumeona baada ya Kelele lukuki za kuhusu maandamano heti JWTZ nayo inafanya mazoezi na Askari kuweka Utayari wa mwili. Nitawashangaa sana...
  19. JamiiForums Tanzania GE2025 Factum probandum imeyeyuka . Wanaona aibu kufuta kesi. Kutumia Mahakama kunyanyasa wanasiasa ni aibu

    Ushahidi ambao waliutegemea kuwa msingi wa kumtia hatiani Lissu umekataliwa na mahakama. Factum probandum. How can they prove then? Hata mashahidi waliofuafa walitegemea kukazia huu ushahidi uliokataliwa. Ndio maana leo wametoka nduki Kutumia mahakama kunyanyasa Wazalendo kama Tundu Antipasi...
  20. JamiiForums Tanzania Waya wa Display port unatoa picha kali kuliko waya wa HDMI

    Kama sio mchunguzi na mdadisi huwezi kuelewa hizi picha hapa chini mwanzo nilidhani nimepigwa au kioo kibovu maana haiwezekani monitor ya mwaka 2011 Hp ya kushoto iizidi quality monitor ya mwaka 2022 Dell ya kulia
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…