Mawaidha ya leo kwenye moja ya misikiti yamenikera sana. Shehe alitumia sana neno mayatima, hili ni neno baya na nimemwambia akaanza kunionesha aya zinazotaja mayatima nikamwambia shehe acha UPUMBAVU hizo aya zimeandikwa na watu kama wewe na hazinabudi kurekebishwa.
Eti Wakuu mnafanyaje?
Nimefanya kila mbinu kuepuka mtego huu wa ku-bet bila kutumia pesa yangu ambayo nimeweka kama akiba ila nimeshindwa, umekuwa ugonjwa wangu karibu kila ninapo suka mikeka yangu.
Hali hii inaniumiza sana na sijui najinasuaje?
Serikali imependekeza hatua kadhaa za kodi kwa mwaka wa fedha 2026/27 ili kuchochea matumizi ya nishati ya umeme na gesi asilia nchini.
Hatua hizo ni pamoja na kusamehe Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) kwenye vifaa vya vituo vya kuchaji magari ya umeme vinavyoingizwa nchini, kupunguza ushuru...
Kando ya Tamasha la Asili la Utamaduni BULABO linalofanyika katika Viwanja vya Ngomeni-Kisesa, Ilemela Mkoani Mwanza, leo tarehe 11/06/2026 limefanyika Kongamano lililowakutanisha Wanafunzi wa Vyuo Vikuu na Vya Kati katika Chuo Cha Mipango kwa lengo la kukumbushana umuhimu wa kuenzi tamaduni za...
Msaada wana JF.
Nina siku ya pili mwenzenu nahanagika kupakua vitu kutoka youtube na kuvihifadhi kwenye PC yangu,nimehangaika sana lakini nimekwama kwa yeyote mwenye kujua namna na kupakua material kutoka youtube naomba msaada tafadhali.
Huwa nashangaa sana Watanzania wengi wanaokuja na rejea za Biblia au Quran katika kujenga hoja kwa mijadala ya kijamii/ umma inayobishaniwa au kujadiliwa.
Nafikiri hii ni mojawapo ya ishara ya akili ndogo na ujinga mwingi katika taifa.
Wakuu kwemeni na hamjamboni aisee nimekumbana na changamoto ya namna nzuri ya kutumia JF
1. Nashindwa kuwatag watu niwapendao mf.Seran
2. Nashindwa kudouble reply
3. Nashindwa kuquote uzi kama afanyavyo Mshana Jr na miamba wengine
Msaada
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imesema itaendelea kuunga mkono matumizi ya bidhaa zinazozalishwa na wazalishaji wa ndani, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kukuza uchumi wa taifa sambamba na kuimarisha upatikanaji wa vifaa vinavyosaidia utoaji wa huduma ya majisafi...
Gari ni Brevis
Kwa hali ya sasa ilivyo mafuta yapo juu sana, watu wengi wanayauza kwa bei ya kutupa hata milioni 5 lqkini kupata clean kidogo inaweza kuwa milioni 6
Makadirio ya kufunga gesi ni Milioni 2
Makadirio ya Service yanaweza kuwa milioni 1
Kwa hio gharama zote zinakuwa MILIONI 9
Is...
NI DAWA INAYOTIBU BAWASIRI BILA UPASUAJI
BAWASIRI FLUD & BAWASIRI POWDER
⚫ Ni dawa asili iliyofanyiwa utafiti wa hali ya juu yenye uwezo wa kutibu aina zote za bawasiri yaani bawasiri ya nje na dawasiri ya ndani(internal and External hemorrhoids).
FAIDA AMBAZO MTUMIAJI HUPATA BAADA YA...
Watu wengi wamekariri kutumia pasi kavu bila kujua zinachangia pakubwa kuharibu nguo zao
Pasi kavu huchosha kitambaa, huchosha nyuzi na fabrics, huondoa mwonekano mzuri wa nguo na kufanya zifubae mapema. Ndio maana mara nyingi utaona nguo za mtumba zimetumika miaka mingi huko zilipotoka lakini...
Kuna mambo mengine yapo wazi kabisa kwamba taifa linahitaji mabadiliko.
Kuwa na katiba ambayo ilitungwa na makada wa CCM ambao hawakushirikisha wananchi ni aibu kwa taifa kama hili na haifai
Watanganyika wanataka katiba ambayo kwanza itatambua taifa lao. Alafu katiba ambayo itawapa mamlaka...
Habari
Aisee hili suala ni zito sana, unakuta ofisi nzima anaejua kutumia computer ni mmoja tu
Walimu ndo takataka kabsa kati walimu 10 ni mmoja ndo anajua kutumia computer au unaweza kuta wote hawajui
Hii ni hatari kwa maendeleo ya taifa lolote lile linalojitambua
Bora Hawa watu wa afya...
Baada ya Ukraine kuwashambulia URUSI kwa drones na kwenda kupiga kwenye Shule ya Watoto wa Primary usiku wa kuamkia Jana, leo Rais Putin kaidhinisha vikosi vyote vya Nyuklia kuanza mazoezi na kujiandaa kumshambulia Adui yao atakayeivamia nchi yao lakini haijawekwa wazi Adui huyo ni nani...
Former England and Manchester United footballer Rio Ferdinand was widely criticised for a May 2026 trip to Tanzania, with campaigners accusing him of "sportswashing" for the government. [1]
The backlash centers on the following specifics:
The Host: Ferdinand's visit was hosted by Tanzania's...
Hili ni wazo tu,mamlaka zetu tukufu zione jinsi gani tutaweza kujiunga mitandaoni kwa kutumia NIDA namba,and then mtandao wenyewe uka translate jina la muhusika halisi hii itasaidia sana kuwabaini wale wote waovu wa taifa letu,bila shaka nchi nyingi sana zitaiga hili wazo kwetu Tanzania,
Thank...
Wanaopenda kuedit video, for fun au kwa biashara. Unatumia software gani? Free, paid au cracked? Natumia Windows Laptop sio Mac. 16 GB RAM inatosha au nipande juu?
Kwa sasa najifunza color grading, Natumia CapCut na LUT za watu najaribu kufanya mwenye mdogo mdogo, inafaa kwa kufanya manual...
Staa wa muziki wa Pop duniani, Dua Lipa, ameishtaki kampuni ya Samsung akidai fidia ya dola milioni 15 (takriban shilingi bilioni 40 za Kitanzania), akituhumu kampuni hiyo kutumia picha yake kwenye maboksi ya TV huko nchini Marekani bila ridhaa yake.
Katika kesi hiyo iliyofunguliwa kwenye...
kiasi gani cha pesa amnacho umewahi kukimaliza kwa siku moja kwenye burudani fulani?
Binafsi weekend iliyopita nimetumia arround 1800usd, hapo tunaongelea zaidi ya 4M kuitumia kwa siku moja!