kutumia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ni sahihi kutumia ugaidi wakati unapopigania "uhuru?"

    Upo vitani. Unapigania "uhuru" au "Haki" yako. Adui unayepambana naye ni mwenye nguvu sana. Ukisema upambane naye hummudu. Ni sahihi kutumia ugaidi kupambana naye. Hapa ugaidi namaanisha kupiga watu na vitu vyake visivyo vya kijeshi? All is fair in war?
  2. Maafisa Serikali wa juu huenda wakazuia kutumia TikTok kwenye vifaa vya Serikali

    Maafisa wa serikali wa ngazi ya juu huenda hivi karibuni wakazuiliwa ku-share taarifa fulani au kutumia programu ya TikTok kwenye vifaa vya serikali. Waziri wa Baraza la Mawaziri wa Mambo ya Ndani Profesa Kithure Kindiki amesema suala hilo bado linajadiliwa kikamilifu katika Baraza la Usalama...
  3. Mlikuwa mna maana gani kwenye tahasusi ya elimu za dini kutumia Divinity?

    Kuna sehemu kama inaonekana wa kristo wamekosewa heshima kuwekwa kwenye kundi divinity maana yake ni uungu. Mean A divinity is a religious being, like a god or angel. It's also a word for the study of religion, which is studied at divinity school. If you know the word divine means holy or...
  4. Ni free VPN gani kwa sasa ni nzuri kutumia?

    Kuna App muhimu mahitaji kuinstall ila hila za wazungu wamezibana Kwa device IP za Africa. Nimeingia App store ili NI download VPN Kwa ajili ya kufunguwa zile App lakini kila nikisoma review naona malalamiko ni mengi, sasa nimekuja hapa Kwa Wataalam mnisaidie nipakuwe VPN ipi iko vizuri? bayankata
  5. T

    Hospitali za Serikali zimekuwa zikitumia vijana waliomaliza intern (post intern attachment) huku wakiwalipa hela kidogo sana

    Habari. Kuna rafiki yangu mmoja amemaliza internship ya udaktari mwaka jana katika hospitali ya rufaa ya Morogoro na kabla ya wao kumaliza hospitali iliomba watu kumi waandike barua kwa ajili ya kujitolea na wakaiita (post intern attachment). Kwa kawaida watu wanapochaguliwa kujitolea huwa...
  6. I Stopped Using Passwords. It’s Great—and a Total Mess

    For two years, my Netflix password has been: tricke22ry-notiLonal-freely-soSak-lice-slacken. Yes, really. It is a strong, unique password, and it ticked boxes to reduce the chances of me getting hacked. But for all its security protections, the password was a nightmare to type into an onscreen...
  7. Z

    Ummy Mwalimu: Wazazi na walezi wasimamie watoto kusoma dini

    Je ni busara kutumia handle ya wizara ya afya kutoa ujumbbe wa kidini? WAZAZI NA WALEZI WASIMAMIENI WATOTO KUSOMA DINI Na. WAF - Dar Es Salaam Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amewaasa wazazi na walezi nchini kuhakikisha watoto wao wanapata elimu ya Dini ikiwemo kuwasomesha Qur’an sambamba na...
  8. Kiongozi wa Houth atoa takwimu ya meli walizozipiga na kusema wanakusudia kupanua wigo wa kuzuia meli za Israel zisipite bahari ya hindi yote

    Abdel-Malik al-Houthi ambaye ni kiongozi wa juu wa wapiganaji wa Houth wa Yemen amesema mpaka sasa wamefanikiwa kuzishambulia meli zenye mafungamano na Israel zipatazo 73 tanguj waanze operesheni yao ya kuwatetea watu wa Palestina. Kupitia televisheni inayomilikwa na wanamgambo hao Abdel Malik...
  9. R

    Matumizi ya Ikulu mbili (Magogoni na Dodoma) siyo chanzo cha kutumia trilioni 33 kama OC huku 15Trln zikiwa za maendeleo?

    Mama Samia kwa vitendo hakubalini na Ikulu ya Chamwino. Kinadharia kwa mtu aliyewahi kukaa Dodoma siyo sehemu yakukaa ukafanya kazi za kuumiza kichwa kama kuongoza nchi. Hali ya hewa ya Dodoma ni nzito sana na usipokinbia kimbia kwenda mikoani lazima utababuka ngozi na kuondoa kunawiri. Ni mji...
  10. Serikali inatarajia kutumia Tsh. Trilioni 9.59 katika Mikopo kwenye Bajeti ya 2024/25

    Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. @mwigulunchemba (Mb), amesema kuwa Tanzania ni nchi ya mfano Afrika kwa kutimiza viashiria vya Malengo ya Milenia ambapo imefanya vizuri katika sekta za Afya, Elimu, Maji. Dkt. Nchemba alitoa ufafanuzi huo wa ukomo wa Bajeti kwa mwaka 2024/25, wakati alipokuwa akiweka...
  11. Msaada kufunguliwa kwa namba yangu kutumia WhatsApp business

    Wakuu Namba yangu imefungiwa kutumia WhatsApp business. Kuna taarifa nyingi za muhimu sana nazihitaji kutoka kule WhatsApp Business. Naomba msaada kwa anayejua namna ya kufanya ili namba yangu iweze kuruhusiwa kutumia tena WhatsApp Business. Ahsanteni
  12. M

    Serikali na mashirika binafsi zione umuhimu wa kuanza kutumia mifumo ya NFC kwa transaction

    Sahivi simu nyingi hapa bongo zina support NFC (Near-field communication) ambayo inaweza kurahisisha transaction kwenye mifumo kama ATM, vivuko, machine za uwakala, pia kulipia ushuru wa magari na vitu vingine vingi, ni salama ni rahisii na unahitaji Tu kuwa na simu yako basi na kama ilivyo...
  13. Hatua za kufuata unapofanya uhakiki wa Picha kwa kutumia Yandex

    Yandex ni njia nyingine ya utafutaji inayotumika sana kufanya uhakiki wa picha. JamiiCheck imekuandalia utaratibu wa hatua kwa hatua wa jinsi ya kutumia Nyenzo hii kufanya uhakiki wa picha. 1. Fungua Kivinjari Chako Anza kwa kufungua kivinjari chako kwenye kifaa chako cha mkononi au kompyuta...
  14. Baadhi ya Njia za kutumia ukiwa hujisikii kufanya kazi kazini

    Saa zingine unaenda kazini ila hujisikii kufanya kazi, hizi ni baadhi ya njia ambazo unaweza tumia ili kupata wasaha kidogo usukume siku iende ujafanya kitu. Unawaza jitafakari, kutumia muda wako kujua kwanini hujisijii kufanya kazi siku hio, Umechoka? unamsongo wa mawazo? kuna mazingira ya...
  15. Bila Kutumia Uchawi Chama Hawezi Kucheza Vizuri Kwenye Mechi Ngumu.

    Kuna ule msemo kuwa Chama ni mchezaji wa mechi ndogo, leo umeanza kuniingia kichwani. Inafika kipindi unawaza, hivi huenda labda kwenye mechi hizi za Ligi huwa hawatumii Uchawi ndio maana Chama anaonekana wa kawaida. Kwenye mechi kama hizi mchezaji tegemeo wa timu ndipo unapaswa kutokea na...
  16. P

    Ni katika hali gani Askari anaruhusiwa kutumia bunduki?

    Sijawai kuwa Askari ila naona kuna matumizi yasiyo sahihi ya nguvu na risasi kwa wahalifu au watuhumiwa. Kwa kisa hiki kilichomsababishia majeraha makubwa binti wa miaka 16 kwa kupigwa risasi na askari utaona kabisa hapa kuna kitu hakijakaa sawa. Risasi zinazopigwa hovyo hovyo zimegharimu...
  17. Je, ndio mwisho wa Paul Pogba kisoka? Afungiwa kutojihusisha na soka kwa miaka 4 kutokana na matumizi ya dawa za kusisimua misuli

    Paul Pogba ambaye atatimiza umri wa miaka 31 mwezi Machi mwaka huu amefungiwa kutojihusisha na soka kwa miaka minne kutokana na matumizi ya dawa za kusisimua misuli. Mpaka adhabu yake iishe atakuwa ametimiza umri wa miaka 35, umri ambao wachezaji wengi wanatundika daluga. Mchezaji huyo mwenye...
  18. Madereva kutumia mwanga mkali (Full Beam) katika mazingira yasiyo sahihi barabarani ni hatari kwa wengine

    Kweli, matumizi ya taa za gari ni muhimu sana kwa usalama barabarani. Kutumia mwanga mkali (full light) katika mazingira ya foleni au msongamano wa magari kunaweza kuwa hatari kwa sababu ya athari ya kumulika moja kwa moja kwa madereva wengine. Hii inaweza kusababisha kutopata mwelekeo mzuri wa...
  19. D

    Camera nzuri unayoweza kutumia kufuatilia matukio yanayoendelea ukiwa haupo nyumbani

    Shallom wakuu. Kutokana na maendeleo ya ukuaji wa sayans na teknolokojia zipo njia mbalimbal za kuzuia uhalifu nyumban kwako au eneo lako la biashara. Tumekuletea camera nzuri unayoweza kutumia kwa kuinstall nyumban kwako kwa Bei nafuu Sana. Camera hizi ni ndogo Sana ambazo sirahisi kwa mtu...
  20. Nimeshauriwa na daktari kuanza kutumia dawa za kushusha pressure

    Habari wataalamu wa tiba katika forums hii. Nimekwenda kituo cha afya ikigunduliwa ni pressure iliyojuu sana ambapo iko kwa kiwango cha 180/117 kutokana na kiwango hicho nimeshauriwa nianze kutumia dawa za kushusha. niombe kwenu wadau kama kuna yeyote hali hii ilishawahi mkuta na kutumia dawa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…