kutumia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania TFF ikiruhusu baadhi ya timu kutumia uwanja wa Mkapa katika preliminary rounds itakuwa upendeleo

    Uwanja wa Mkapa upo katika ukarabati, jambo lililopelekea baadhi ya mechi hususan hizi mechi za hatua ya awali kutoruhusiwa kutumia uwanja wa Mkapa mpaka hatua ya makundi ambapo vilabu ndipo huruhusiwa kutumia uwanja wa mkapa. Tumeshuhudia vilabu kama Yanga na Azam vikitumia viwanja vingine...
  2. JamiiForums Tanzania Unapata changamoto kutumia WhatsApp?

    WhatsApp sijui wana shida gani na mimi? Mwanzo nilikuwa natumia Iphone, shemeji/wifi yenu akaninyang'anya akanipa simu yake aliyokuwa anatumia, simu yake aliyonipa nitumie ni aina ya Oppo, nilivyoinstall WhatsApp kwenye hii simu nilitumia kama wiki moja hivi, baada ya hapo wakaanza kufungia...
  3. JamiiForums Tanzania BURE; Jinsi Ya Kutumia GPS App Kwenye Simu Janja Kupata Vipimo Vya Shamba/Kiwanja

    GPS (Global Positioning System) ni teknolojia ya kisasa inayotumika kupima na kupata vipimo vya eneo au kiwanja kwa usahihi. Kwenye simu janja, unaweza kutumia programu za GPS ili kupata vipimo vya kiwanja chako. Hapa chini ni hatua kwa hatua jinsi ya kutumia GPS App kwenye simu yako janja...
  4. I

    JamiiForums Tanzania Mpango wa Korea Kaskazini kuendelea kutumia na kukuza silaha za nyuklia umekuwa suala lenye mvutano mkubwa kimataifa

    Mpango wa Korea Kaskazini kuendelea kutumia na kukuza silaha za nyuklia umekuwa suala lenye mvutano mkubwa kimataifa kwa zaidi ya miongo miwili. Nchi hiyo, chini ya uongozi wa Kim Jong-un na baba yake kabla yake, Kim Jong-il, imekuwa ikipuuza vikwazo vya kimataifa na kukataa juhudi za...
  5. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutumia Payoneer

    Naomba kuelekezwa jinsi ya kufungua account Hadi ntakavyotoa pesa kwenda kwenye bank account yangu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania wahimizwa kutumia Tume ya Mahakama ili kuthibiti maadili kwa wanasheria

    Mh Jaji Mkuu na Mtendaji Mkuu wa Makakama wamewahimiza Watanzania kutumia Tume ya Mahakama wanapotendewa vibaya na watendaji wa mahakama na wanasheria kwa ujumla. Hii nimeipenda maana kumekuwa na malalamiko ya kesi kutoamuliwa vyema na mahakama kuwa labda kuna rushwa au upendeleo, haya mambo...
  7. JamiiForums Tanzania Nina uhakika kila mmoja wetu hapa akiihoji na kuichunguza dini yake kwa kutumia akili yake binafsi mtambuka hakuna ataebaki kuwa mhanga wa doctrines

    Sisi ni nani, Kwanini tuwe sisi, Kwanini tuwe kama wao. Hivi kiundani ushajiuliza imekukuaje umekuwa wa dini hio? Kwa nini uamini kirahisi rahisi juu ya stori zao ambazo muda mwingine akili yako inazipa red flags (alerts) kwa maana ni somewhat controversial? Unaweza kuta kweli njia...
  8. JamiiForums Tanzania Je Mwanamke anajua kutumia pesa kuliko mwanaume

    Wanawake wanajua kunitumia pesa kuliko kunitafuta pesa kuliko kuitumia na hapa ndipo mahali AMBAPO MUNGU alifanya mwanaume kulazimika kuwa na mwanamke kwenye maisha yako ila pia KWENYE KUZALIANA mwanaume hupoteza pesa nyingi sana kwenye kutumia kuliko mwanamke na wakati mwanamke hupoteza pesa...
  9. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kutumia VPN Katika Nchi Zenye Udhibiti Mkali wa Mitandao na Uhuru wa Kujieleza

    Katika nchi nyingi zinazokabiliwa na udikteta au udhibiti mkubwa wa mitandao, uhuru wa kujieleza na kupata taarifa unazuiwa kwa kiasi kikubwa. Serikali huweka vizuizi kwa baadhi ya tovuti, mitandao ya kijamii, na huduma mbalimbali, ikilenga kudhibiti upatikanaji wa habari na maoni huru. Hapa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nina kipaji cha kuchora kwa kutumia computer, nawezaje kukitumia kutengeneza pesa?

    Naombeni mawazo yenu wadau nawezaje kutengeneza pesa kupitia kipaji changu.. nimeambatanisha sample za michoro
  11. JamiiForums Tanzania Big Up, TRA Kutumia Media Kuelimisha Umma Elimu ya Kodi na Umuhimu wa Kodi Kila Mtu Alipe Kodi. Je Wajua Viongozi Wetu Wakuu Hawalipi Kodi?. Kwanini?!

    Wanabodi Hii ni makala yangu kwenye gazeti la NIPASHE la leo 1/09/2024 Kama kawa kila nipatapo fursa huja na makala zangu elimishi za Kwa Maslahi ya Taifa ambazo huwa na swali, hoja kisha jibu utatoa wewe mwenyewe. Mada ya leo ni pongezi kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA kuwatumia wahariri...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Msaada: nahitaji router ya kuweza kuwabana watumiaji kwenye speed na MB.

    Speed - niweze kuseti speed ya juu kwa kila mtumiaji, mfano asivuke speed ya kudonload MB 1 kwa dakika MB - iwe kama tunavyonunua mabando ya MB kwenye mitandao ya simu, ukimaliza MB connection inakata.
  13. JamiiForums Tanzania Je, ni kosa Kisheria kutumia Starlink Kenya ndani ya Tanzania?

    Nauliza, Je nikosa kisheria kutumia mtandao wa internet wa Nchi nyingine ndani ya Tanzania Kwa matumizi binafsi?
  14. JamiiForums Tanzania Naomba kuelekezwa jinsi ya kutumia NBC APP kwa Account ya kikundi

    Habari, Wana JF naomba kufahamishwa namna ya kutumia NBC APP kwa account ya kikundi wote wenye access waweze ku access Taarifa through App.
  15. J

    JamiiForums Tanzania Majaliwa aingilia kati sakata la RC, DC, kutumia nguvu ya madaraka vibaya

    Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameingilia sakata la wakuu wa mikoa na wilaya kutumia nguvu na madaraka vibaya ambayo amesema kuwa ipo sheria ya viongozi hao inawaruhusu kuwakamata watu na kuwaweka ndani, hii ni kwasababu ya kulinda usalama wake au usalama wa huyo aliyewekwa ndani kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Kama una Pixel 9 Pro XL, na hauna chaja basi hizi ndio chaja inaweza kutumia zikafaa.

    Hata hivyo, ikiwa unatafuta chaja ya wahusika wengine ambayo inafanya kazi na Google Pixel 9 Pro XL, utahitaji kuhakikisha kwamba inatumia voltage inayohitajika. Baadhi ya chaguo ni pamoja na chaja ya Samsung ya 45W ambayo inatumia hadi 20V/2.25A kupitia PPS, au 45W Nano II ya Anker, ambayo pia...
  17. G

    JamiiForums Tanzania Hamas / hezbollah wanapenda kutumia raia kama ngao, kwa maksudi wanatunza na kurusha silaha kwenye makazi ya watu, Gaidi ni gaidi hata awe ndugu !!

    Siku chache zilizopita Israel imelipua ghala kuu la silaha wanazotumia Hezbollah kushambulia miji ya Israel, Ghala limejengwa kati kati ya mji wenye makazi ya watu wengine, Israel iliposhambulio kuna makombora yalianza kufyatuka bila mpangilio, Watu kadhaa wamefariki lakini hii imefichwa sababu...
  18. JamiiForums Tanzania Mama siwezi kukutumia hiyo elfu hamsini uliyoniomba kwasababu kesho natakiwa kulipa ada ya mtoto shuleni

    Hayo si maneno yangu, ni maneno ya kilaza mmoja aliechangamka ambae anaamini kwamba umasikini unasababishwa na kutojua lugha ya kiingereza utotoni. ( 😂😂😂 utoto raha nyie/ you can just think any how) Si yeye peke yake bali hadi ndugu zake (kaka zake) wengine wanne ( wa tumbo moja) wote...
  19. JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo wanatoa tamko kuhusu Polisi kutumia nguvu dhidi ya Raia

    ACT Wazalendo wanatoa tamko kuhusu Polisi kutumia nguvu dhidi ya Raia Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Taifa,Othman Masoud Othman Mfumo wa sasa hivi kwamba Polisi wanapokea amri hasa ngazi ya Mkoa na Wilaya wanapokea amri kutoka wanaojifanya ni Wanasiasa, kutoka kwa Wakuu Wa Mikoa. Tunajuwa kuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Hivi kama Serikali kutumia polisi wanataka matatizo ya wananchi wasikilizwe wapi?

    Vilio vya wananchi vimekuwa vingi sana mpaka wabunge wa CCM naona kama pale dodoma ni kujaza vyoo vya dodoma. wananchi ndio viongozi wao ila leo mpaka mawaziri wakiongea kwa kejeli kuwa wanajitka,hakuna kosa kwenye serikali kukosea,TRA siyo tatizo. ili litafikia mwisho kwa nchi zilizochoka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…