kutumia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ukiona nyanya ikiwa hivi usipende kula mbichi au kutumia kabisa.

    Ukiona nyanya ikiwa hivi usipende kula mbichi au kutumia kabisa ,Kuna wakati inakuwa imezuliwa na Nyoka,Popo au aina ya wadudu fulani Follow magical power
  2. LGE2024 Baada ya kuvuga uchaguzi, Mtendaji wa Kata akimbizwa kwa kutumia gari la Serikali, Mwalimu ambako masundukù ya kura za wizi yalifichwa, atoroka

    Huko Kata ya Ruhuhu, wilayani Ludewa, mkoani Njombe, karatasi za kupigia kura hazikuwa na majina ya wagombea kupitia CHADEMA. Wananchi waliweza kuzuia uchaguzi usifanyike. Mtendaji kata bwana Yusufu Lukuwi (mtoto wa Kidulile), alipoona wananchi wamechachamaa, alitoa taarifa Wilayani, na...
  3. Faida na hasara za kutumia mafundi maiko kwenye ujenzi

    Tuanze na faida kwanza 1. Bei rahisi, uzuri bei zao mchekea sana na kama ukiwa mbishimbishi au mtu wa kukomaa kubargain sana unapata punguzo kubwa kabisa la bei bila kujali ugumu au ukubwa wa kazi yenyewe. 2. wanatumia vizuri rasilimali zilizopo, ukitaka fundi maiko akujengee ukuta...
  4. Mbinu mpya ya CCM kuingiza kura fake vituoni ni kutumia Plice na magari yao.

    CCM ni sawa na yale magenge ya Madawa za kulevya kule Mexco, ambako kila mbinu ikijulikana huingia chimbo na baadae kuja na mbinu mpya ya kusafirisha Dawa za kulevya. CCM baad ya kugundua mbinu nyingi za wao kuiba kura hasa kura fake zinajulikana now day sana wanatumia police hao hao kuiba...
  5. LGE2024 Ni Kichekesho Kutumia Sifa za Utendaji wa Rais Kumnadi Mgombea Uenyekiti wa Mtaa

    Hivi unakuja kunipigia kelele za kumchagua mwenyekiti wa mtaa kwa sifa za Royal Tour? Au kukaribishwa kuhudhuria mkutano wa G20? Na awali nilidhani ni huyu tuu aliyekuja kuzindua kampeni huku kwetu, kumbe ndio style yao wote nchi nzima wakiongozwa na Makalla kila aendapo. Utendaji wa...
  6. LGE2024 Kiongozi wa CCM aahidi "kupoteza" wapinzani wao kwa kutumia jeshi la Police

    Hawa Vijana wa hovyo wa CCM natamani wangeonywa juu ya haya matamshi Yao! Imagine huyu ni kiongozi wa CCM na anaongea haya publicly, kama ana uwezo wa kusema hivi hadharani, je huko sirini Wanaongea na kupanga mabaya Kiasi Gani?.
  7. Kanuni (principles) na masharti (conditions) ya kutumia ushahidi wa mazingira (circumstantial evidence) Mahakamani

    Ushahidi wa mazingira (circumstantial evidence) - huu ni ushahidi ambao hautoi uthibitisho wa moja kwa moja wa ukweli wa jambo fulani, bali unategemea mazingira yanayozunguka tukio husika ili kutoa hitimisho. Ushahidi wa kimazingira mara nyingi hutegemea matendo ya mtuhumiwa na mazingira ya...
  8. US na UK zitaizuia tena Ukraine kutumia ATACMS na Storm shadow kupiga ndani ya Russia?

    US na UK zilikuwa zimeizuia Ukraine kutotumia makombora ya ATACMS ya USA na Storm Shadow ya UK kupiga ndani ya Russia. Juzi kati wakairuhusu na Ukraine ikayatumia kupiga ndani ya Russia. Putin amechafukwa sana baada ya kitendo hicho. Kwanza kasema kuwa hatasita kupiga target za kijeshi za nchi...
  9. ACT: Kutumia Tsh. Bilioni 27.8 kurekebisha Viwanja vya Amani na Gombani ni matumizi mabaya ya fedha

    ACT Wazalendo, kupitia taarifa yetu kwa umma ya tarehe: 08/11/2024, tuliitaka Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuweka, hadharani gharama zote za matengenezo ya Viwanja vya Amani na Gombani ambavyo vimetangaazwa kufungwa ili kufanyiwa matengenezo, kutokana na taarifa yetu hiyo, Wizara ya Habari...
  10. Tetesi: Google inaachana na Chromebook na laptop zao zitaanza kutumia Android

    Hii ni kushindana vizuri zaidi na iPad za Apple ambazo inatawala soko la tablet na kuongeza ufanisi kwa kuwa na OS moja ambayo inafanya kazi kote simu, tablet, laptop, tv, magari etc. Kazi hii itachukia miaka kadhaa na Chrome itabadilika pole pole kuwa Android...
  11. Banned kwa kutumia what'sapp

    Habari za muda huu JF members, kwa walio wahi kupitia hii kadhia mlijinasua vipi pia naomba kujua kwa undani kwanini tunakua banned as a spam ilihali hatupo hivo sababu hasa hua ni ni asante karibuni kwa michango yenu.
  12. LGE2024 ACT Wazalendo: Khamis Mbeto Khamis hana haki ya kutupangia njia ya kutumia kupinga Sheria mbovu

    MBETO HANA HAKI YA KUTUPANGIA, NJIA YA KUTUMIA KUPINGA SHERIA MBOVU. Ndugu Wanahabari, awali ya yote nichukue fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu, kwa kutujaalia uhai na uzima, na ukimya katika nchi hii, pia kuwashukuru nyinyi wanahabari, kwa kuitikia wito wetu, kila pale ambapo tumewaita kuja...
  13. Naombeni muongozo jinsi ya kutumia mitandao ya kijamii kama FB,Instagram na Whatsup ili kuwafikia watu wengi zaidi kibiashara

    Naamini miongoni mwenu kuna wanaotumia mitandao ya kijamii kibiashara nami nahitaji kuwa miongoni mwao.Nahitaji kuwafikia watu zaidi kupitia mitandao hii kwa ajili kuwafanya wawe aware na uwepo wangu kwenye biashara fulani.Nimeilenga mitandao 3.Insta,FB na Whatsup.Pia kama kuna yeyote mwenye...
  14. Moja ya vitu vya kijinga kabisa mwanaume anaweza kufanya, ni kutumia pesa ili kumvutia mwanamke

    Moja ya vitu vya kijinga kabisa mwanaume anaweza kufanya, ni kutumia pesa ili kumvutia mwanamke. Matumizi yako ni kiherehere kitakachosahaulika dakika chache baada ya senti zako kukauka. Badala ya kufanya upuuzi huo ni bora utumie kila senti unayoingiza, kuvutia pesa nyingine upande wako. Kama...
  15. G

    Epuka kuuziwa mbuzi kwenye gunia, Google pixel hairuhusu nchi za Africa kutumia 5g, Tafuta simu nyingine ukitaka ku-enjoy internet

    Yani umejipinda kununua simu kali halafu uanze tena kutumia 4g wakati eneo lina 5g ya kutosha, Ahh wapi aisee !! miyeyusho hio !! Ni tahadhari ya mapema kabisa naitoa, kama unataka kununua google pixel jifikirie mara 2, ukiachana na uadimu na bei pasua kichwa kwenye vioo kusababisha wengi...
  16. Gaming PCs zunaweza kutumika kwa matumizi mengine kama kutumia software ya Photoshop?

    Swali langu lipo juu ya kichwa cha thread.
  17. Katika kosa kubwa ambalo Biden atalifanya ni kuhusu uamuzi wa kuiruhusu Ukraine kutumia silaha za masafa marefu

    Biden ameondoa marufuku kwa Ukraine kutumia makombora ya Marekani kushambulia ndani ya Urusi Joe Biden ameiruhusu Ukraine kushambulia ndani ya Urusi kwa makombora ya masafa marefu ya Marekani. Rais Biden ameidhinisha Ukraine kutumia silaha za masafa marefu zinazotolewa na Marekani ndani ya...
  18. Newton's First law of Motion inakataa kutumia mitambo kufukua kifusi Ajali ya Kariakoo

    Newton First law of Motion..... An object at rest remains at rest, and an object in motion remains in motion at constant speed and in a straight line unless acted on by an unbalanced force!! kwa kukufafanulia kwa muktadha wa kwa nini grader halitakiwi sasa.... #kitu chochote kilichotulia...
  19. W

    Matokeo ya Serikali kukataza kutumia vifaa vya plastiki kununulia mafuta kutoka Petrol Station

    Ni takribani miezi miwili sasa tangu serikali ipige marufuku matumizi ya vifaa vya plastiki (vidumu vya lita tano au madumu ya lita 20) kuchukulia mafuta kutoka vituo vya mafuta. Leo katika pita pita zangu nikakutana na hili jambo ambalo sasa watu wengi ambao wana uhitaji wa mafuta wanatumia...
  20. Simba kutumia mechi dhidi ya Pamba kumuaga Ayoub Lakred?

    Naona dalili za Simba kutumia mechi ijayo dhidi ya Pamba kumuaga rasmi golikipa wake Ayoub Lakred. Ni basi tu ila ungekuwa uamuzi wangu ningebaki na Lakred hadi mwishoni mwa msimu ndiyo nifanye tathmini ya kina ya kipa gani wa kuachana naye. Kipaumbele changu kingekuwa kumpunguza kwanza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…