kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    Fundisho kutoka Iran

    Vyombo vya dola , naomba jifunze kutoka Iran, Mwanzo maandamano yalikuwa ya amani , wakaachwa wiki nzima yakiwa salama, Nilianza kulalamika kuwa Iran wanaanza kuwa wazembe , Baadae maandamano yakaanza na fujo kidogo kidogo na loeo yamesambaa nchi nzima majimbo 110 wakati kabla iyalikuwa...
  2. I

    Waajemi wanakaribia kujikomboa kutoka utawala wa wahuni wa Kiarabu

    Wakati waandamanaji wakijitokeza mitaani kila usiku nchini Iran, viongozi kutoka maeneo mbalimbali duniani wanakutana na hali ya kutokujua ikiwa Jamhuri ya Kiislamu inaweza kuangushwa — tukio muhimu ambalo litabadilisha siasa za kimataifa na masoko ya nishati. Utawala wa Kiongozi Mkuu Ayatollah...
  3. Majirani zako ni watu wa namna gani?

    Jirani kama jirani ni mtu muhimu sana kwenye maisha yetu ya kila siku hasa hasa kama ikitokea mkawa mnaelewana vizuri. Mnaweza kushirikiana katika shida na raha, wakati mwingine jirani yako anaweza kuwa msaada mkubwa kuliko hata ndugu yako wa damu. Pamoja na yote hayo wakati mwingine inaweza...
  4. JamiiForums tegemeeni tamko kutoka kwa Makonda muda sio mrefu.

    Ni suala la muda tu , makonda anakuja kutoa tamko kuhusu jamiiforums. Tutegemee zaidi uhuru wa habari ukiminywa chini ya uongozi wake.
  5. R

    Kichaa Trump kajitoa mashirika ya UN, akija mwingine say kutoka Democrats, anayarudisha!

    Let us wait and see baada ya miaka 3 iliyobaki ya Trump!
  6. Polisi wa doria mitandaoni, mlikuwa wapi wakati Wachina wanakwapua Bl 6 kutoka kwenye Akaunti za watu?

    Ilinishangaza kidogo wale wanaojiita Polisi wanaofanya doria mitandaoni walishindwa kabisa kujua hili wachina juzi walifikishwa mahakamani wakidaiwa kukutwa na minoti kwenye masandarusi huko MASAKI tena kwa washua kabisa. inadaiwa wachina hao walikuwa wakiiba pesa toka kwenye ATM usiku yaani...
  7. Nafuatilia hali ya Iran, sidhani kama Iranian regime inaweza ika-survive kwa saa 48 zijazo kutoka sasa. Polisi wamegoma kupokea orders

    Nafuatilia hali ya Iran, sidhani kama Iranian regime inaweza ika survive kwa masaa 48 yajayo kutoka sasa. Police wa Iran wamegoma kupokea orders za IRGC. Reza Pahlavi, ambaye ni crown prince wa Iran anayeishi nchini Marekani, ametuma ujumbe kwa majeshi ya Iran kufanya chagua la kihistoria kwa...
  8. Khanga kubwa kutoka Zanzibar zinapatikana

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Bei ya Khanga: sh 18,000/= Tunapatikana tabata kinyerezi/Msasani (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery unalipia sh 2,000/= tu. Mawasiliano: 0784 829565 @radhiyastore @prathrealestate...
  9. R

    Poppy H, ni mtu mwenye bahati sana kutibiwa hospitali Ile na kutoka salama

    Salaam! Kuna hospitali moja hapa mjini, hospitali hii hutibu watu special,wenye nguvu, Kuna baadhi wamewahi kuifananiasha hospitali hii na nyumba ya kuhifadhia wafu, sababu kuu ni kuwa, wachache sana waliingia humo kutibiwa wakiwa hai, hawakurudi wakiwa hai,bali wamekufa. Pongezi zimwendee...
  10. Salamu za mwaka mpya (2026) kutoka kwa askofu Mwanamapinduzi kwa watanzania akiwa ukimbizini

    Ndugu zangu Watanzania! Mvua ya Haki na Amani toka kwa Mungu wa Mbinguni iwe nanyi! Ashukuriwe Mungu kwa kutuwezesha kuuona mwaka mpya. Kwani siyo jambo rahisi kwetu sisi Watanzania tuliobaki. Maana tumeshuhudia maelfu ya wenzetu wakiuawa, kutekwa na hawajulikani walipo huko wengine wako...
  11. TRC yatangaza ratiba mpya za SGR kutoka Dar-Dodoma

    SHIRIKA la Reli Tanzania (TRC) limetangaza ratiba ya safari za treni ya SGR kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma kuanzia leo, Januari 3, 2026. Hatua hiyo inakuja baada ya shirika hilo kusitisha kwa siku chache safari zake ili kuepusha athari ambazo zingeweza kusababishwa na mvua zinazoendelea...
  12. Ungepewa nafasi ukutane na mtu mmoja kutoka kwenye BIBLIA na umuulize swali, ungependa ukutane na nani na umuulize swali gani?

    Nasoma Comment! Ungepewa nafasi ya kukutana na mtu mmoja tu kutoka kwenye BIBLIA na umuulize swali, ungependa ukutane na nani na umuulize swali gani? haya twende kazi
  13. Kuna mada inasema ukiweza kutoka kwenye sayari,nyota ukatafuta mwisho unaweza usipate na kama umepata mwisho wake umerudi nyuma

    Wanasayansi kujikita zaidi kwenye quantum technology za hesabau mpaka sasa kwenye nyota yetu solar system tumefikisha sayari zaidi ya 5900 na zengine zikiendelea kutambuliwa . Hii yote ni mapinduzi ya hesabu na teknolojia ambazo wagunduzi wamechangia. Kuna kitu mpaka sasa kina wapa maulizo...
  14. Jinsi nilivyotapeliwa kizembe na muuzaji wa ‘Simu used kutoka Dubai’

    Wakuu poleni na matatizo yanayoikumba nchi yetu. Poleni kwenu mliopoteza ndugu, jamaa, na marafiki kutokana na yaliyojiri oct29 Bila kuwachosha. Kuna msemo maarufu usemao """Wajinga ndiyo waliwao"""' Ilikuwa tarehe 20 mwezi wa 11 mwaka 2025 ndo siku ambayo kwa mara ya kwanza nilihisi...
  15. I

    Meli zilizobeba silaha kutoka DUBAI zashambuliwa Yemen

    Saudia imezishambulia meli 2 za Falme za Kiarabu zilizokuwa zimebeba silaha za kivita kwa ajili ya kugawia waasi ili wauwe watu wasiokuwa na hatia huko Yemen. Inaonekana hawa DUBAI wao maslahi mbele uhai wa watu nyuma. ===== The Coalition to Support Legitimacy in Yemen on Tuesday said it...
  16. Tafsiri ya ujumbe katika picha ya Lissu, Samia na Mahakama kutoka Kwa bondia Hassan Mwikinyo

    Bondia Mwikinyo Jana katika Pambano lake dhidi ya Mnigeria (jina nimelisahau) alivaa t-shirt yenye ujumbe mzito katika picha 1. Samia kuwa kifuani, mbele Ina tafsiri ni mtu aliyejiweka mbele na kuweka upinzani nyuma, akikandamiza haki, na kufanya mauaji ili abaki madarakani 2. Lissu kuwa...
  17. Hassan Mwakinyo ameibuka mshindi kwa knockout (KO) dhidi ya mpinzani wake, Eribo kutoka Nigeria, baada ya kumaliza pambano mapema raundi ya pili

    Wadau hivi hili pambano la mwakinyo ni kweli au kiini macho?
  18. Nimebarikiwa na mahubiri kutoka kwa mtumishi wa Mungu Dr. Alex G. Malasusa

    Namuona Mungu akinena ndani ya kinywa cha mtumishi wake Dr. Malasusa, hakika nimeponywa nafsi nimeuona utume wa Mungu ndani ya Malasusa. Ee! Mungu wetu Asante kwa kutuletea mtumishi huyu. Malasusa anasimama pamoja na watumishi wa Mungu wote wenye mapenzi mema na mioyo ya watanzania mfano wa...
  19. Kutoka kuwa jiji lenye watu wengi hadi kuwa ghost city kwa leo

    Leo jijini Mwanza kumekuwa kama ghost city yaani hakuna watu kbs na baadhi ya maeneo machache tu ndo utakuta watu. Sikutegemea kuona hili yaani jiji zama limetulia limepigwa baridi kinoma polisi wamejazana kila pahala. Maduka mengi yamefungwa jiji letu halikuwa hivi asee . NB: sikupiga picha...
  20. R

    Msikilize chawa kutoka kanisani

    Askofu mmoja amesema kuwa KKKT inasemwa vibaya. Msikilize huyu chawa kutoka Kanisani Kanisa limepatwa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…