kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kauli tata kutoka kwa "Mwananzengo"

    Anamaanisha anachosema? Amevunja sheria? Kauli yake inaashiria nini? Kama nimemwelewa, anasema waliomwua Magufuli ni Samia na Kikwete! Amemaanisha nini hasa?
  2. JamiiForums Tanzania Kwa anaye hitaji kitu chochote kutoka Dar kimfikie alipo

    Wapendwa Habarini!! Leo nipo mbele yenu kwa wote ambao mpo mikoani na mnauhitaji wa bidhaa au mzigo wowote kama (Sim, electronics parts eg tv/redio, spare parts za magari na n.k) chakufanya wasasiliana nami utapata gharama zote za mzigo unao uhitaji mbaka pale ulipo kwa uaminifu mkubwa...
  3. JamiiForums Tanzania Nipigwe ban Simba Leo asipo pata ushindi wa goli moja au kutoka moja moja

    Ndio ivyo
  4. JamiiForums Tanzania Urafiki wa Ajabu wa Samir na Mohammed: Hadithi ya Upendo, Msaada na Maumivu kutoka Damascus ya Kale

    Taswira ya kweli ya wanaume wawili waliopigwa picha kutoka Damascus mwaka 1889: Mkristo Samir alikuwa mlemavu wa kupooza na pia alikuwa mfupi. Na Mohammed, Mwislamu kipofu aliyekuwa akimbeba Samir mgongoni. Samir aliyekuwa mlemavu wa kupooza alimtegemea Mohammed katika safari zake mitaani...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri Jerry Silaa: Watumiaji wa Intaneti wamefikia Milioni 49.3 kutoka Milioni 37

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari , Jerry Silaa amesema Watumiaji wa intaneti nchini wameongezeka kutoka milioni 37.3 April, 2024 hadi milioni 49.3 April, 2025 sawa na ongezeko la asilimia 32.3. Waziri Silaa amesema hayo leo May 16,2025 wakati akiwasilisha Bungeni Jijini Dodoma...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Lissu hawezi kutoka wala kutolewa Magereza kwa mashinikizo. Ni lazima ajibu mashtaka yanayomkabili na Sheria ichukue mkondo wake

    Ndugu zangu Watanzania, Kupiga makelele, kupaza Sauti au kuzungumza vyovyote vile kwa lengo la kushinikiza na kulazimisha lissu aachiwe huru bila Masharti ni kujidanganya ,ni kupoteza muda ni kupiga makelele yasiyo na msingi ,ni kuwasumbua watu tu na kujitia ujinga tu usio na msingi...
  7. JamiiForums Tanzania GOOD MORNING KUTOKA SITE ...SISI NI WATAALAMU WA UJENZI UKIHITAJI KUJENGEWA KWA VIWANGO VYA UHAKIKA CALL US 0624004650

    TUNAMALIZIA KAZI YA UJENZI WA MSINGI KATIKA MOJA YA SITE YETU KARIBU TUKUHUDUMIE OFISI ZETU ZINAPATIKANA SINZA DAR ES SALAM CALL/WHATSAP +255624004650 INSTAGRAM mkuzibuilders
  8. JamiiForums Tanzania Naomba kujua gharama ya kusafirisha tani (1000kgs)ya mchele kutoka Mbeya kwenda Kampala(Uganda)

    Habari wadau, Wakubwa shikamoni, wengine habari zenu! Naomba kujua gharama ya kusafirisha tani( 1000kgs) ya mchele kutoka Mbeya kwenda Kampala. Na pia kama kuna mtu anafanya hii biashara genuinely na anatafuta soko nchini Uganda, tunaweza kuzungumza na kushauriana. Asanteni.
  9. JamiiForums Tanzania Mfikishieni Kihongosi Ujumbe huu haraka sana - Kutoka kwa Heche

    ANAANDIKA Mh Heche makamu mwenyekiti CHADEMA TAIFA Huyu kijana Kenani Kehongosi ni Sabaya mwingine.. Huyu ni kijana amedhuru watu wengi sana. Ameruhusu madaraka yamvae na kwasababu hana uwezo anafikiri kujipendekeza kufanya hujuma kwa wapinzani kunampa sifa kwa boss wake.. namkumbusha tu...
  10. JamiiForums Tanzania G 55 Acheni Drama za kutoka CHADEMA, anzisheni chama chenu msonge mbele!

    Tangu waliokuwa wanachama wa CHADEMA waanze kutoka Baada ya uchaguzi wa tarehe 21,22/01/2025, sasa limekuwa kama ni igizo lisilo na mwisho. Kwa Sasa kwa wao kutoka CHADEMA imekuwa siyo habari tena maana watanzania washajua wapo watakaotoka CHADEMA na sehemu kubwa ya watanzania washajua kuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Khanga kubwa kutoka Zanzibar zipo

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Material: Cotton Bei ya Khanga: sh 20,000/= Bei ya jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga 3 kila moja. Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery unalipia sh...
  12. JamiiForums Tanzania Hela ya Mwanaume ni ngumu, usiwe na mazoea ya kuomba msaada kutoka kwa Wanaume wenzio, wengine watarudisha kupitia mke wako

    Hela ya Mwanaume ni ngumu, usiwe na mazoea ya kuomba msaada kutoka kwa Wanaume wenzio, wengine watarudisha kupitia mke wako Binadamu wanatofautiana sana, wema ni wachache, jinsia yetu ya kiume inatofautiana sana kifikra, wapo baadhi ya wenzetu fikra zao zimejikita sana kwenye ngono kwa maana...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Bado Wengine Wazito kutoka ndani ya Sekretarieti Ya CHADEMA Wataondoka. CHADEMA itabakia Kama Pagala.

    Ndugu zangu Watanzania, Mimi nimejaliwa macho ya Kuona Mbali sana kabla ya jambo kutokea. Na wakati mwingine hutoa tahadhali Kwa muhusika au wahusika ili wachukue hatua. Niliwatahadhalisha sana CHADEMA,niliwasihi sana wana CHADEMA kuwa msithubutu hata siku moja wala kurogwa mkamchagua Lissu...
  14. JamiiForums Tanzania Kuruhusu wachina kuuza bidhaa kutoka China kunaweza kusababisha matumizi ya dolla kuongezeka (Import itakuwa kubwa)

    Kuruhusu Wachina au makampuni ya kigeni kuuza bidhaa kutoka nchini mwao moja kwa moja katika soko la Tanzania, kunaweza kuwa na athari kadhaa kiuchumi mojawapo ikiwa ni kuongezeka kwa matumizi ya dola za Kimarekani (USD). Hii hutokana na mambo haya: 1. Kuongezeka kwa uagizaji (imports); Bidhaa...
  15. JamiiForums Tanzania Mtu mwngine amepandikiziwa kifaa cha akili bandia kwenye ubongo kutoka kampuni ya Elon Musk imeleta faraja kubwa

    Los Angeles, Mei 7, 2025 – Mr. Smith ameweka historia kwa kuwa miongoni mwa watu wachache waliopokea upandikizaji wa kifaa cha Neuralink – teknolojia ya hali ya juu inayowezesha mawasiliano ya moja kwa moja kati ya ubongo na kompyuta. Operesheni hiyo ilifanyika kwa mafanikio katika kituo cha...
  16. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutoka kwenye kifungo cha madeni

    JINSI YA KUTOKA KWENYE KIFUNGO CHA MADENI Hii ni kwa wale walioko kwenye madeni tayari. 01.ONGEZA KIPATO CHAKO Hakikisha unaongeza uzalishaji wa kipato chako, tafuta somo linaloeleza Jinsi ya kuongeza kipato chako hapa Darasani.Hakikisha matumizi huongezi. 02.PUNGUZA MATUMIZI YAKO Lengo ni...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Je, Tanzania ipo tayari kukabilian na vikwazo kutoka umoja wa Ulaya?

    Kwa jinsi hali ya hewa ya kisiasa ilivyo nchini ni wazi kuwa kuna vikwazo vinakuja huko mbele. Je, Tanzania inaweza kukabiliana navyo? Pia soma > Pre GE2025 - Bunge la Ulaya kufanya kikao cha dharura Mei 7, 2025 kujadili suala la Tundu Lissu, baadae kupiga kura Mei 8, 2025
  18. JamiiForums Tanzania Baraza la mawaziri la usalama la Israel liliidhinisha mpango wa Kuitwaa Gaza kutoka mikono ya Magaidi wa Hamas

    Baraza la mawaziri la usalama la Israel liliidhinisha mpango wa kupanua mashambulizi ya kijeshi huko Gaza, kwa lengo la kuishinda Hamas, kudhibiti eneo na kuwaachilia mateka. Mpango huo ni pamoja na kuwahamisha raia, kuwazuia Hamas kuchukua misaada, na kudhoofisha udhibiti wake. Utekelezaji...
  19. JamiiForums Tanzania Mpango wa Rwanda kupokea wahamiaji kutoka Marekani (kwa Trump) si tishio kwa usalama wa Afrika Mashariki?

    Serikali ya Rwanda imetangaza kwamba iko katika mazungumzo ya awali na serikali ya Rais Donald Trump kuhusu kuwapeleka nchini Rwanda wahalifu waliokamilisha adhabu zao magerezani nchini Marekani. Kauli hii imezua maoni mseto nchini Rwanda na hata kwa africa mashariki watu wenye historia ya...
  20. JamiiForums Tanzania JINSI PESA INAVYOIBWA KWENYE SIMU ILIYOPOTEA KUTOKA KWENYE MTANDAO AU BANK

    Unapo poteza simu na kuacha ku block ile line kinachofanyika yule aliechukua simu iliyopotea anatoa line kisha anaenda kwa mtu anae sajili line ambao tumewaona wengi sana mtaani na mashine zao, anampa ile line ya simu ili waweze kupata taarifa za usajili wa NIDA wa line husika. Kisha baada ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…