kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. H

    Kwanini wanafunzi kutoka bara wanalazimika kulipia mafunzo kwa vitendo Zanzibar?

    Mimi kama mdau nahoji kwa nini vijana kutoka Tanzania bara wanapokuja kufanya mafunzo kwa njia ya vitendo ZANZIBAR wanalazimika kulipia kiasi kisichopungua shilingi laki moja na nusu kama gharama ya mafunzo kwa njia ya vitendo? Je ikitokea wakutoka zanzibar nao wameenda bara kufanya mafunzo je...
  2. Shule za michepuo ya Elimu ya Ufundi zilizoboreshwa zimeongezeka kutoka shule 9 mwaka 2020 kufikia shule 27 mwaka 2024

    Shule za michepuo ya Elimu ya Ufundi zilizoboreshwa zimeongezeka kutoka shule 9 mwaka 2020 kufikia shule 27 mwaka 2024. Hii ni katika kuhakikisha elimu ya ufundi inafundishwa katika hatua za mwanzo za mwanafunzi akiwa shuleni. Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store. #samiaapp...
  3. Usikatae urithi wa asili kutoka kwa wahenga

    L Kila kitu kizuri nyuma yake kina ubaya Tunza hekima ya wahenga uliyorithishwa kusaidia watu nasio kuwaaumiza wengine Sheria ya uchawi inasema 👇👇 Fanya uwezavyo kwa kutumia uchawi ila usimdhuru mtu 🚶Tenda wema nenda zako 🚶 BRAZA CHOGO BICHWA KOMWE - Nikifa MkeWangu Asiolewe Tumwesige senior
  4. Shehena za mizigo zaongezeka bandarini kutoka tani milioni 17.1 mwaka 2020 hadi kufikia tani milioni 28.75 Desemba 2024. Vile vile idadi ya meli

    Shehena za mizigo zaongezeka bandarini kutoka tani milioni 17.1 mwaka 2020 hadi kufikia tani milioni 28.75 Desemba 2024. Vile vile idadi ya meli zilizohudumiwa katika Bandari ya Dar es Salaam, Tanga na Mtwara imeongezeka kutoka meli 1,547 mwaka 2020 hadi meli 4,487 mwaka 2024. Pakua Samia App...
  5. Tujifunze Kutoka kwa Mafarao

    Habari za jukumu wakuu Ili nisiwachoshe naomba niandike kwa ufupi, hiki ambacho nimeona ni vyema kuwashirikisha Kiasili asilimia 96% ya nchi ya Misri ni jangwa hali inayopelekea Misri kukumbwa na changamoto za kimazingira kama vile upungufu wa maji, ukame, joto kupita kiasi na changamoto...
  6. Magaidi wa Hezbollah wanaendelea kupata kichapo kutoka majeshi ya Israel

    Majeshi ya Israel IDF bado yanaendelea kushusha kipondo ki Takatifu kwa magaidi wa Hezboullah baada ya magaidi hao kukiuka masharti ya kusitisha mapigano huko kusin mwa Lebanon.
  7. Moja baada ya mambo yaliyomgharimu Tsishekedi baada ya kuchukua uongozi kutoka kwa Kabila, ni kuiamini Kenya, akaiacha Tanzania

    Mara baada ya kuchukua madaraka kutoka kwa Kabila mtoto, Tsishekedi alikuwa na mahaba makubwa kwa Kenya, akaitelekeza Tanzania. Tanzania ni moja kati ya "watu wa kazi" Walioidhibiti amani ya Congo Mashariki. In fact, Tanzania ni Godfather wa ulinzi na usalama wa ukanda huu. Kosa hilo...
  8. D

    Wazee wa miaka ya 90, huu wimbo wa Shambani kutoka - RTD unakukumbusha wapi?

    https://www.youtube.com/watch?v=_PCe60hMfms Mimi unanikumbusha redio ya cassette ya panasonic mida ya menu mchana RTD nikiwa na mama na marehemu babangu. Kweli muda unakimbia sana. Mshana Jr
  9. Ipi rahisi, nafuu na salama zaidi kati ya kununua gari showrooms na kuagiza kutoka ng'ambo?

    Hebu mshauri mTanzania huyu anaekusudia kununua usafiri wake wa gari dogo sasa hivi. Ipi njia rahisi kwake kununua gari kwa urahisi, kwa unafuu wa fedha na muda na kwa usalama zaidi kati ya kuagiza kutoka ng'ambo na kwenda kuchagua tu sehemu mbalimbali yanapuuzwa magari nchini? Kwa niaba ya...
  10. Nimepokea ujumbe huu kutoka kwa mpenzi wangu wa utotoni..nimjibu nini?

    Habari zenu walipa kodi wenzangu. Nanukuu nilichoandikiwq na huyu mrembo wa kisambaa. "To you the love of my life" You are just what I dreamed,my sweetheart would you be my valentine? Nimjibu nini asa hapa?
  11. B

    Wawekezaji 30 kutoka Saudi Arabia wafanya ziara maalum nchini Tanzania

    13 February 2025 Unguja Zanzibar, Tanzania Wawekezaji 30 kutoka Saudi Arabia wafanya ziara maalum nchini Tanzania - SADC https://m.youtube.com/watch?v=M0oksDu6e44 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi mheshimiwa Dk Hussein Ali Mwinyi...
  12. Uzalishaji wa zao la Pamba umeongezeka kutoka tani 350,000 mwaka 2020 hadi tani 632,510 mwaka 2024 sawa na asilimia 63.25 ya lengo la kuzalisha tani

    Uzalishaji wa zao la Pamba umeongezeka kutoka tani 350,000 mwaka 2020 hadi tani 632,510 mwaka 2024 sawa na asilimia 63.25 ya lengo la kuzalisha tani 1,000,000 ifikapo mwaka 2025 kama ambavyo ilani ya uchaguzi ya CCM ilivyoelekeza. Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store. #samiaapp...
  13. Kwanini Congo haiwapigii kelele Waarabu na Wachina waache kununua madini kutoka Rwanda?

    Wateja wakubwa wa bidhaa zote za Rwanda kuanzia madini, kahawa hadi chai kwa nje ya Waafrika ni Waarabu wa UAE na China. Katika kelele zote za Congo kutaka watu wasitishe kununua bidhaa za Rwanda wanazipigia nchi za Ulaya na Marekani! Huu mbona kama ni mkanganyiko! Kwa nini Congo isiwabane UAE...
  14. R

    Naomba maoni/majibu kutoka kwa wakristo na wanatheolojia kuhusu mafundisho ya mwalimu ( Rabi) Thovia Singer (sehemu ya 1)

    Amani kwenu. Naomba tusikilize video hii ambayo nimeweka link hapo chini. Tovia Singer ni mwalimu wa dini ( Rabi) mwenye asili ya uyahudi na mwenye kufuata imani ya kiyahudi ( Judaism). Hapa anakanusha kwamba Yesu hakuzaliwa na bikira na wala jina Imannueli (Mungu pamoja nasi) siyo jina la Yesu...
  15. Zifahamu Nchi za Afrika zinazopokea misaada mikubwa zaidi kutoka Marekani

    Marekani imekuwa mfadhili mkubwa wa misaada ya kifedha kwa mataifa mbalimbali barani Afrika, ikilenga sekta za afya, elimu, usalama na maendeleo ya kiuchumi. Kwa mwaka wa fedha wa 2023, nchi zifuatazo zilipokea msaada mkubwa zaidi kutoka Marekani: 1️⃣ Misri – Dola bilioni 1.5 (nafasi ya 4...
  16. F

    Kutoka Mwanza jiji hadi kutua DSM - Mbagala

    Wakuu habari zenu na poleni na majukumu . Mimi ni msukuma wa mwanza nimeishi mwanza - Nyashishi takribani maisha yangu yote lakini kwa miezi minne sasa nimetua hapa Dar na sina mpango wa kuhama kabisa. Kwa sasa naishi maeneo ya Tabata Mwananchi - nimepanga. Hata hivyo katika tembea tembea...
  17. Elon Musk amepata majibu murua kutoka kwa Julius Malema

    Wanakumbi. Vikwazo vya mara moja kwa Malema na kutangazwa kwake kama mhalifu wa kimataifa! Elon Musk. Majibu ya Julius Sello Malema. Nadhani umepoteza kabisa ubongo wako wa kushoto: shujaa wa kawaida aliyeharibiwa na mnufaika wa moja kwa moja wa weupe wa ubaguzi wa rangi. Najua watu weusi...
  18. Media za Tanzania zijifunze kutoka Kenya

    Kama umekuwa mfuatiliaji mzuri wa maudhui kutoka media mbalimbali utakubaliana nami kuwa media nyingi za Tanzania zimekuwa za kikasuku na burudani kuliko kazi nyingine za media nawashauri medias, wadau wa media na watangazaji kujifunza kutoka kwa ndugu zetu kenya, kuazia mpangilio wa vipindi...
  19. Iba SIRI Hizi 7 Za MAFANIKIO Kutoka Kwa Billionaire Mkinga Fred Vunjabei...(Ambazo Zitaenda Kubadisha Maisha Yako 10X) .

    23,April, 2021... . ....Fred Vunjabei akiwa XXL ya Clouds FM... Alivujisha Siri Kibao za Mafanikio ILA... Hizi 7 ndio Siri Konki Zaidi . ...na Zitaenda Kubadisha Maisha 10X Zaidi Guaranteed . Well...nisikuchoshe Ingia Mgodini Hapa Chini... . 1). Huwezi Kuwakamata Samaki Wakubwa (Papa)...
  20. Wakati mwingine, wengine huchukulia wema na matendo mema kuwa ni haki yao na sio ukarimu kutoka kwako

    Mwanaume alikuwa na kawaida ya kumpa ombaomba mmoja Shilingi milion moja kila mwezi. Mtu huyo aliendelea kufanya hivyo kwa muda Sana.. Sasa Siku moja, akampa ombaomba shilingi laki saba na nusu pekee. Ombaomba yule alishangazwa na hilo, lakini akajisemea, 750,000 ni bora kuliko kukosa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…