kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ninawataka NIDA na INEC kuwaomba watanzania MSAMAHA

    Inawezekana Tulikua tunahisia tu lakini Sasa Mambo yako Wazi, Mambo yako Wazi. Polepole Leo amekiri na Hivo MADAI YA LISSU DHIDI YA WIZI WA KURA kupitia Servers za Tume ni ya KWELI NA YANA MASHIKO NA CHADEMA WAKO SAHIHI 100% KUZUIA UCHAGUZI BILA MABADILIKO. NIDA mmetukosea sana Watanzania...
  2. JamiiForums Tanzania Mafunzo 10 ya kifedha kutoka kitabu cha Rich Dad, Poor Dad Cha Robert Kiyosaki (Toleo la kiswahili)

    Kitabu Rich Dad Poor Dad cha Robert Kiyosaki kinatoa masomo kadhaa ya msingi kuhusu pesa, uwekezaji, na mtazamo. Yafuatayo ni mambo makuu kumi tunayojifunza kutokana na kitabu hicho: --- 1. Matajiri Hawafanyi Kazi kwa Ajili ya Pesa Maelezo: Baba maskini anafundisha kufanya kazi kwa ajili ya...
  3. Y

    JamiiForums Tanzania RC Mwanamvua Hoza Mrindoko: Kipindi cha Rais Samia Katavi tunazalisha maziwa Lita milioni 23 kutoka Lita milioni 19 za 2021

    Sekta Kipengele / Mradi Kiasi / Idadi Mafanikio / Maelezo Mifugo Milipuko ya magonjwa ya wanyama 72% (2021) → 15% (2025) Kupungua kwa milipuko ya magonjwa Mifugo Viwanda vya vyakula vya mifugo Viwanda 2 Kuweka mazingira wezeshi ya uchakataji na kuanzisha viwanda vya maziwa (MSS...
  4. Y

    JamiiForums Tanzania RC KATAVI: Rais Samia amekarabati Reli ya MG kutoka Tabora -Katavi kilometa 210 kwa shilingi bilioni 379.40

    ==Ndugu Wananchi, katika kipindi cha miaka mitano, sekta ya usafiri wa anga na reli katika Mkoa wa Katavi imeimarika ambapo Mkoa ulipokea Shilingi 1,444,617,687.63 (Bilioni 1.444) kwa ajili ya ujenzi wa jengo la utawala na abiria la kipekee ambalo tayari limekamilika na linatumika, huku huduma...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Natamani kujua kodi ya Yutong ZK6110 kutoka China

    Wadau, kama kuna mtu anaweza kuwa na uwelewa kodi ya Used YUTONG ZK6110 12 meters viti 55 kutoka China ambayo bei yake ni USD 21,000 na kubadilisha steering kutoka kushoto kwenda kulia, battery mpya, marekebisho ya ndani chini (floor), dashboard mpya, mlango mpya, cover za viti, kwa jumla ya USD...
  6. JamiiForums Tanzania Taarifa kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)

    Tukutane tarehe 16 Septemba ni Simba SC vs Yanga SC
  7. JamiiForums Tanzania Natasfiri vitabu kutoka lugha Kiingereza kwenda Kiswahili bei 5000 Tsh

    Natasfiri vitabu kutoka lugha Kiingereza kwenda Kiswahili bei 5000 Tsh kwa kitabu kimoja , nicheki +255 0756704145
  8. JamiiForums Tanzania Natafsiri vitabu kutoka lugha Kiingereza kwenda Kiswahili bei 5000 Tsh

    Natasfiri vitabu kutoka lugha Kiingereza kwenda Kiswahili bei 5000 Tsh (kurasa 1 -> 100) na Bei 10,000 Tsh (kurasa 1 - 490), na Bei 15,000 Tsh (1 - 800) na ku ndelea kwa kitabu kimoja , nicheki +255 0756704145
  9. JamiiForums Tanzania Natasfiri vitabu kutoka lugha Kiingereza kwenda Kiswahili bei 5000 Tsh

    Natasfiri vitabu kutoka lugha Kiingereza kwenda Kiswahili bei 5000 Tsh kwa kitabu kimoja , nicheki +255 0756704145
  10. JamiiForums Tanzania Tunauza Khanga kubwa kutoka Zanzibar

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Material: Cotton Bei ya Khanga: sh 18,000/= Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery unalipia sh 2,000/= tu. Contact/Mawasiliano: 0784 829565...
  11. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mwauwasa Mwanza hamuyaoni maji haya?

    Hili ni bomba la maji lililosahaulika kutoka enzi za Zakhiem wakati wa ujenzi wa barabara. Liko maeneo ya Mkolani Nida. Limekuwa kero maana maji yanatiririka muda wote na kutuama kama bwawa.Inasemekana mamlaka inataarifa na hili lakini haijachukua hatua ya kulifunga bomba hilo labda kwa sababu...
  12. JamiiForums Tanzania Natafsiri vitabu kutoka lugha Kiingereza kwenda kiswahili

    Natafsiri vitabu nakala laini (softcopy) kutoka lugha Kiingereza kwenda kiswahili kwa gharama 5000 tsh kitabu kimoja. Nitumie kitabu whatsapp kwenda namba - 0756704145,, nikimaliza kazi nakutumia kitabu chako whatsapp, nipo mkoa wa dar es salaam, mbezi
  13. JamiiForums Tanzania Natafsiri vitabu kutoka lugha Kiingereza kwenda kiswahili

    Natafsiri vitabu nakala laini (softcopy) kutoka lugha Kiingereza kwenda kiswahili kwa gharama 5000 tsh kitabu kimoja. Nitumie kitabu whatsapp kwenda namba - 0756704145,, nikimaliza kazi nakutumia kitabu chako whatsapp, nipo mkoa wa dar es salaam, mbezi
  14. JamiiForums Tanzania Orodha ya Maadui wa CDM

    Mbowe KIGAILA MWALIMU CHAUMMA ZITTO SPIKA JAJI MKUU MAHAKAMA YANGA ENG HERSI ALI KAMWE Kwa ufupi kila mtu ni mbaya kwao.hii ni dalili ya kuchanganyikiwa kitaalamu inaitwa paranoia yaani ukichaa unaoogopa hadi ndugu au mwenza wako. Ongeza orodha
  15. J

    JamiiForums Tanzania Chini ya Rais Samia kiasi cha fedha za mishahara kwa mwezi kimeongezeka kutoka TZS608bn mwaka 2020 hadi 856bn mwaka 2025

    Rais Samia ameongeza thamani ya mishahara kutoka shilingi bilioni 608.4 hadi bilioni 856 kwa kila mwezi, watumishi wa umma wote yamefikia shilingi trilioni 10.2 sawa na shilingi bilioni 856 kwa mwezi, hatua inayoonesha ongezeko linalochochewa na ajira mpya, nyongeza za mishahara na madaraja...
  16. JamiiForums Tanzania GE2025 Siku zote mbeba maono hafi bali hupita kwenye tanuri la moto na kutoka akiwa mpya.

    Wasalaam. Hapo tarehe 06/09/2017 jasusi la mbinguni askofu gwajima alimtadharisha lissu na kumuonya kuwa asiende Dodoma kwani akienda atauwawa kwa kupigwa risasi lakini lissu kwa kujiamini kulikopitiliza alipuuza na kwenda ndipo Sept 7 akashushiwa mvua ya risasi na kupata kilema cha kudumu...
  17. JamiiForums Tanzania Short kutoka control box hadi gear box

    Wakuu Nina swali kwa wataalamu. Hivi inawezekana shoti ikatokea kwenye control box na ikapiga hadi kwenye gear box sehemu ya reverse peke yake na kutakiwa kubadilisha gear box mpya? Je, hii inawezekana? Gari ni Nissan note. Engine Hr 15
  18. JamiiForums Tanzania Barua ya Lissu kwenda kwa Dkt. William Leo

    Barua ya Lissu kwenda kwa Dr William Leo. Dr William habari, sitaweza kuandika mengi kwenye barua hii sababu sina karatasi za kutosha, ila kama ujumbe utafika naomba uwatumie na watanzania wote mimi nikiwa bado kwenye nondo za gereza. Siku ambayo nilisema nitasimama na taifa langu la Tanzania...
  19. C

    JamiiForums Tanzania Hivi Yanga na CCM wanapigania ukombozi kutoka kwa nani?

    Msemaji wa yanga akijieleza kwa mashabiki wake kuhusu mchango wa milioni 100 kwa ajili ya ccm,amesema kuwa timu yao ina historia ndefu ya kupigania ukombozi wa wananchi. Mimi nauliza tu,wanapigania ukombozi dhidi ya nani? Tunajua kuwa ninyi sio club ya mpira tu bali mnatumika sana kwa maslahi...
  20. JamiiForums Tanzania Hiki ndicho kilichotokea Baada ya kubadilisha uvaaji wangu wa saa kutoka mkono wa kushoto na sasa kuwa kulia

    Nimekuwa na Nguvu ya mamlaka, heshima, deal zangu za pesa zinaenda vizuri nikiongea na mtu ana kwa ana huwa ananisikiliza na kunielewa leo kuna mkuu mmoja niliambiwa ni kisiki ila leo kakubali kutia saini kuruhusu muamala. Nathibitisha kwa kusema kuwa kuna Nguvu katika uvaaji wa saa mkono wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…