Wakuu wangu habari za wakati huu..
Naombeni msaada wa haya madude. Hapa chini
Nataka niwe na kunywa chai ya star anise na nimeenda sokoni kununua star anise. Cha kushangaza wakati na peruzi peruzi kabla sijanywa nikakutana na hili tishio huku lisemalo star anise za kichina ndiyo salama...
Kumekuwa na huu utaratibu wa kuweka mashine ambapo mteja anatakiwa kuchukua coupon na kusubiri kuitwa ndio apate huduma; Naomba kupata maoni yako
1. Kama unazipenda au kama huzipendi na kwa nini?
2. Je zinapunguza muda wa kusubiri huduma ya Bank au Zinaongeza?
3. Nini kiboreshwe?
Kataa ndoa, mwanenu Makabila yamemshinda sasa anajuta
==
Nyota wa muziki wa Singeli nchini Dulla Makabila ameweka wazi leo kuwa moja ya maamuzi anayoyajutia kwenye mahusiano yake na aliyekuwa mke wake Zaiylissa ni kutoa talaka.
Pia, Soma: Couple ya Manara na ZaiyLissa ni couple yenye mvuto...
Wana JF kuna Kero moja ambayo imekuwa ikitutafuna sisi wakazi wa Kijiji cha Mshikamano, Kata ya Rusumo ambayo ni wahudumu wa Kituo cha Afya cha Rusumo kilichopo Wilayani Ngara mkoani Kagera.
Hiki kituo kilijengwa mahususi kwaajili ya kurahisisha huduma za afya kwa wakazi wa kijiji hicho na...
Nimeishi na Watanzania kwa muda mrefu nimegundua idadi kubwa ina tatizo la (non sequitur), tatizo la kutoa majibu yasiyoendana na maswali yaliyoulizwa
Hili tatizo linawasumbua sana Watanzania wenzangu inawezekana hawajafundishwa shuleni namna ya kujibu maswali kama sivyo wamejawa na dhihaka...
Wataalamu wa uchumi mkuje mutuelezee Kwa sababu gani Bank kuu wameacha Kutoa sarafu mpya Yani 50, 100 na 200 na kufanya ziadimike katika mzunguko wa biashara
Ni kwamba Kuna ishu yoyote ya kiuchumi imewalazimu kufanya hivi au Kuna kigogo tu Fulani ameshiba ugali wake na maharage akasema sitaki...
Karibuni wateja na wahasibu, Tunatoa mafunzo ya Accounting package kama Tally na Quickbooks, Pograms cracks pia tunazo Karibuni sana..
Email: hybridprojectmanagement@gmail.com
Whatsapp: 0693300971
Kufuatia kuidhinishwa kwa mipango ya utendaji kazi na Mkuu wa Majeshi Mkuu, Waziri wa Ulinzi na Waziri Mkuu, ndege za kivita za IAF zilifanya mashambulizi ya kiintelejensia dhidi ya malengo ya kijeshi ya utawala wa kigaidi wa Houthi kwenye pwani ya magharibi na ndani ya Yemen kwa muda mfupi...
Tuko hapa Machame, wilayani Hai mkoani Kilimanjaro na hivi, ndivyo tunavyozitumia pesa za kikoba cha mjomba.
Asitokee mtu wa kutaka kukipora kikoba chetu, labda akaanzishe chakwake.
Makamanda piiiipoooz (kwa sauti ya mjomba)
Ilikuwa ni kama utamaduni wa jumba jeupe kufanya hivyo kwa mahospitali, vituo via yatima au wazee.
Labda mnikulu yuko bize, amesahau kufanya hivyo krismas hii
Habari wakuu,
Ni jambo la kushangaza mtu anahack website yetu anaanza kufuta vitu vyetu.
Sio uungwana kabisa lakini tuna mshukuru sana ametuongezea uwezo wa ziada na leo tunatangaza kwamba tutaanza kutoa huduma ya cyber security.
Mimi ni katibu wa kikundi fulani nimejafibu kuanziaha hatua za kufanya muamala M Mkoba lakini imeshindikana tangu Jumamosi.
Nimejaribu kuongea na watoa huduma voda lkn majibu yao hayaeleweki
Kama ni suala la mtandao mbona ela ya kutumwa Mkoba inakubali lakini ya kutoka haifanikiwi!!?
Toeni...
Wakuu,
Hivi kuna ulazima gani wa Tulia kwenda na media kila sehemu anapoenda kutoa misaada?
Kwenye hii video anasema anaita vyombo vya habari kila anapotoa misaada ili awape motisha mwingine.
Hivi kweli kuna mtanzania wa kawaida unayemjua ambaye ataenda kutoa misaada kwa sababu ya motivation...
watanzania eeeeh embu tuelimike hapa,kweli sisi ni maskini kweli kweli lakini kuna suala linaloendelea katika jiji letu la Dar es salaam mmmh hapana,wataalamu wa afya especially mabwana afya embu badilisheni namna ya kufanya kazi,
kuna wafanyabiashara wa chakula barabarani mazingira si rafiki...
Mpo wazima!
Awe Chawa wa CHADEMA!
Awe Chawa wa CCM au chama chochote. Awe Chawa wa mtu yeyote Yule.
Karibu wote ukiwafuatilia ni Low battery. Huwezi ukawa Chawa kama kichwa chako kinachaji ya kutosha. Hiyo haiwezekani.
Fuatilia machawa wote alafu waambie wakupe matokeo Yao ya shuleni...
Zijue Furushi za Baraka Zinazotokana na Kutoa Sadaka
Sadaka ni nini
Sadaka ni kitu au fedha ambazo hutolewa na mtu kwa kuwapa wale aliowakusudia kama ishara ya kuwathamini na kuwapenda. Ni shukrani na maombi yetu kwa Mungu wetu. Sadaka inatolewa kwa ajili ya kushukru jambo fulani au inatolewa...
Usichangie uzi kama una mihemuko. Katulizeeee ukoo ikishuka njoo na kichwa chenye akili.
Kujua hili lazima tujue serikali hii ya iran iliingiaje madarakani
✅1979 Kundi lenye itikadi kali lilipindua serikali ya kifalme ya shaa
✅Komeni muanzilishi wa itikadi kali alikua akipitisha mahubiri yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.