📍DODOMA - Yohana Mathias, Mkazi wa Nzuguni B, amefariki dunia asubuhi ya leo baada ya kuugua kwa muda mrefu tatizo la tezi dume lililoambatana na kupooza kwa sehemu kubwa ya mwili wake.
Kifo cha Mathias kinatokea siku chache baada ya Jambo TV kuchapisha habari akiomba msaada wa matibabu, akiwa...
Maginjwa ya ebola, na marbug yamekuwa yakiitesa sana East afrika hasa DRC, kwa mbali Rwanda, Burundi na Uganda ila kituko tunasubiria huruma za nchi za magharibi watutengenezee dawa to be honest hiki ni kituko
Yaani tatizo lipo nyumbani kwako unamsubiria mtu wa mbali ambaye hata haishi hapo...
Jamani msaada mti gani unaweza kupambana na hawa wadudu, wanao sababisha homa ya tumbo ??
Kama kuna muhanga aliyetumia mti fulani ukamsaidia Tunaomba taarifa.
Kama unamiliki taasisi ya afya, maabara, kiwanda, chuo kikuu, au unahusika na huduma za matibabu ya maji(water treatment)— Alphacia Limited ni chaguo sahihi kwako
Tunahusika na usambazaji wa:
🧪 Reagents za Maabara (Lab Reagents)
🔬 Vifaa vya Maabara (Lab Equipment & Instruments)
⚗️ Kemikali za...
Mamlaka ya Chakula na Dawa ya Marekani (FDA) imeidhinisha dawa mpya iitwayo Lenacapavir ya kuzuia maambukizi ya Virusi vya UKIMWI, ambayo imeelezwa kupunguza hatari ya maambukizi kwa asilimia 99.9.
Dawa hiyo inayotolewa kwa sindano mara mbili kwa mwaka, itazinduliwa karibuni nchini humo na...
Ilianza kama utani suala la kujikuna ndani ya uke.
Ila hali ilizidi kuwa mbaya kwani ilikuwa kila nikiingiliwa basi napata maumivu sana na kuacha kufanya tendo.
Nilienda kwa wataalamu wa afya wakanipa dawa hizi
Hizi za buluu nakunywa kila siku kidonge 1 kwa siku 14 na nimemaliza ila hakuna...
Fangasi miguuni (nyungunyungu) au athlete's foot kwa jina la kitaalamu, ni tatizo linalowasumbua baadhi ya watu.
Watu wenye tatizo hili mara nyingi hujikuta wakitumia tiba mbalimbali za kisasa bila mafanikio.
Kama mchango kwa jamii nimeona leo nishiriki na watakaojaliwa kupitia post hii...
Ndugu wa Jf poleni sana Kwa mihangaiko yetu ya siku, natumaini tunaendelea vizuri kulingana na mapenzi ya muumba wetu.
Nirudi kwenye maada, Mimi nasumbuliwa na homa ya Scabbies, kiukweli hii homa inanifanya nikose amani, ngozi ina upele na inawasha sana. Naombeni msaada wetu wa dawa mzuri za...
Wanabodi
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi,TAAMULI HURU: 4R zitumike kuponya makovu ya Mapinduzi ya Zanzibar
Jumapili ya Tarehe 12 January 2025, imedondokea siku ile ile ya Mapinduzi ya Zanzibar, yaliyotokea Jumapili ya Januari 12, 1964. Tanzania imeadhimisha miaka 61 ya Mapinduzi...
Ngozi ni kiungo muhimu sana katika mwili wa binadamu. Ngozi husaidia kuulinda mwili, kutoa taka mwili, kuratibu joto, maji na chumvi, pamoja na kuhisi vichocheo kama vile joto, baridi, miguso na mkandamizo. Ngozi nzuri inaathiri pia mwonekano na uzuri wa mwili. Hata hivyo, ngozi kavu ni tatizo...
Mara baada ya Rais Samia kutangaza kumpigia debe Professor Janabi ili kuiwakilisha Tanzania kwenye kinyang'anyiro cha ukurugenzi mkuu wa WHO kanda ya Afrika, watu wenye akili kubwa ikabidi waingie chimbo kufukua file lenye kubeba wasifu mbali mbali kumhusu Profesa Mohamed Janabi ili kuona ana...
Miaka ya 2000's niliumwa malaria nikanywa amodiaquine ziko kama tatu hazizidi tano ila sitakaa nisahau ile experience ilikua unachungulia kaburi ile dawa iliongeza maumivu maradufu bora mchana usiku ndo maamuvi yaanapewa greenlight hulalali mwili ulichoka na nguvu zote ziliniishia
Week hii...
Kigugumizi ni tatizo la kushindwa kuongea vizur yaan mtu anakuwa anashindwa kujieleza au kutoa matamshi mpaka ajivute sana,ni changamoto ambayo inawakuta baadhi ya ndugu zetu
Sasa unaweza kuishinda hali hii kwa kufanya mazoezi ya kuongea zaidi,jitahidi kuongea kadri iwezekanavyo na baada ya mda...
Picha kama inavyoonekana hapo chini nimehangaika navyo sana,kuna kipindi vilipotea kama miaka 3 nyuma na sikumbuki tena nilitumia nini sababu pia nilihangaika sana lakini saivi naona vimerudi kwa kasi ya 5g.
Kumekuwa na ongezeko kubwa la wananchi mtaani wenye maradhi mbalimbali kulalamika kuwa wametumia dawa za hospitali kwa muda mrefu ila hawajapona na kuamua kugeukia tiba Asili.
Nini kinasababisha yote haya?
Tatizo liko kwa wananchi kushindwa kuzingatia ushauri wa kitaalamu?
Au kulea ugonjwa...
Maelfu ya wakazi wa mji wa ifakara na walio nje ya mji leo tarehe 30/06/2024 wameanza kupokea tiba ya macho toka kwa madaktari bingwa wa macho ambao wameweka kambi hapa kwenye hospitali ya Mtakatifu Fransis.
Huduma zinazotolewa ni pamoja na dawa, miwani, upasuaji mdogo na ushauri.
Kambi hii...
Natokakufungua ffb acc leo yaan kila mtu anauza dawa za kisukari
Funguaa acc nyingine hukoo ndio balaaa kaweka tangazo la kutibu bure bonyrxaa link
Manenoooo mengi mwishoo anakwambia tuma 170000 atii punguzo hili n kwa siku 7 tu
Nyooooo hivi mnatuonaje nyie kengee mshaona watanzania wajinga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.