kuteseka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Malaika wa Misukosuko

    Nasumbuliwa na tatizo la "Sinus Tachycardia" anayejua tiba yake aniambie nimechoka kuteseka

    Habari zenu, kwa mwaka sasa nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la Sinus tachycardia, nimetumia propranolol miezi kibao ila zimenisaidia kupunguza maumivu tu ila sijapona. Mwenye tiba ya huu ugonjwa anipe suluhishi maana doctor aliniambia hiyo hali ukitumia dawa itatoweka ila hakuna kilichosaidia...
  2. mwehu ndama

    GE2025 Tundu Lissu tafadhali acha kuteseka kwa ajili yetu sisi wajinga

    Ukweli, sisi unaotupigania hatujui tunataka nini; wengi wetu ni keyboard warriors, tunahamasishana mitandaoni. Lakini, on the ground, wengi wetu ni watumwa wa huu mfumo wa fisiemu. Tunakukumbuka siku za kesi pekee, lakini shauri likihairishwa tunarudi kujifungia kwenye vibanda vyetu kuendelea na...
  3. jamaikatz

    Maisha magumu, Dunia haina huruma, duniani unaishi kwa mateso na bado ukifa unaenda kuteseka, bora kuwa tajiri wa ushirikina

    Sisi binadamu tunaishi maisha yenye dhambi sana duniani, bado ni maskini lakini tunazidi kufanya maovu unafikiri siku ukifa je utaenda peponi hilo ni jambo gumu sana, ni bora uishi maisha ya raha yenye utajiri, yenye dhambi na hata kwa kutoa kafara ila tu umeifaidi dunia, kuliko kuishi maisha...
  4. Yoda

    Sijawahi kuelewa kwa nini Mungu anaruhusu watoto wadogo kuteseka

    Katika mambo ya imani ambayo kwangu yamekuwa ni magumu mno kuyaelewa ni kuhusu mungu kuruhusu kuteseka kwa watoto. Watu wazima wakiteseka unaweza kusema labda wamestahili kwa sababu hadi mtu afikie kuwa mtu mzima lazima kuna maovu na dhambi atakuwa ametenda mahali fulani tu, wengine wanasema...
  5. haszu

    Wenye ajira za ujira mdogo wanaishi maisha magumu/ kuteseka zaidi kuliko wasioajiriwa kabisa

    Ukishakua una ajira, haijalishi unalipwa kiasi gani, jamii inategemea unapata hela, hivyo, kuna kuandamwa na ndugu jamaa na marafiki. kwa upande wasio na ajira, wao jamii haitegemei makubwa kutokwa kwao, ingawa wanaweza kua wanapata hela kubwa zaidi ya waioajiriwa. Sasa fikiria, mtumish...
  6. R

    IDM ni software muhimu, kwanini watu wengi hata wenye uwezo kiuchumi hawataki kuinunua wapo tayari kuteseka na matoleo ya kuchakachua yanayosumbua

    Unaweza kuwaelewa watumiaji kama wanafunzi kutumia matoleo ya kuchakachua ila inakuwa too much mtu anaitumia idm miaka zaidi ya 10 na uwezo anao bado hataki kuinunua anakomaa na matoleo ya crack yenye changamoto nyingi kuanzia virus, ujumbe kutokea mara kwa mara wa kuinunua, ku expire, n.k.
  7. Abby Uladu

    Mwanamke akishaanza kuona hastaili kuteseka umalaya ndio unaanzia hapo

    Narrative kama.. "Sitaki nioelewe nimtegemee mume tu" "Nataka niolewe angalau na pesa zangu au kazi" "Niolewe bila ata kazi mume akifa ntateseka" "Sitaki niolewe then nipelekeshwe" Zimetengeneza single mothers wengi na wanawake wasomi wasiolewa mpaka miaka 30+..... Plus umalaya wa kutosha...
  8. Mparee2

    Acha kuteseka na Usafiri wa mikoani jaribu kusearch BUS BORA...yapo mengi unajichagulia....

    Wiki iliyopita baada ya shule na vyuo vingi kufungwa nilikosa kabisa usafiri wa kunitoa Dodoma kwenda Arusha kwani mabasi yale yenye majina makubwa yote yalikuwa yamejaa. Jioni kabisa nikakumbuka huduma ya kubook online hivyo nika jaribu Ikatokea; www.busbora.co.tz
  9. Robert Heriel Mtibeli

    Dalili zifuatazo zinaonyesha utakapoolewa utateswa au kuteseka

    DALILI ZINAZOONYESHA UKIOLEWA UTATESEKA AU KUTESWA SANA Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kwa Wanawake wengi Ndoa ni Kaburi, Ndoa ni Gereza la Guantanamo. Nikiwa sitaki Leo kuleta Fujo Sana na kugombana na Mtu yeyote naomba niandike kifupi Sana. Dalili zifuatazo zinaonyesha utakapoolewa...
  10. chamilo nicolous

    Huna haja ya kuteseka: Ni mtazamo tu!

    Huna haja ya Kuteseka: Ni mtazamo tu! Watu wako bize kusaka nguvu za ki.....maji ya.... Nimtazamo tu, tulia! Mtazamo (attitude) ulionao ndio unaokufanya uishi hivyo ulivyo. Hapo ulipo upo mahali ambapo ni matokeo ya mtazamo wako! Huwezi kuwa zaidi ya unachofikiri. Tulia, acha ubinafsi, saidia...
  11. Waufukweni

    Wachezaji Nigeria watishia kususia mechi baada ya Saa 12 za Kuteseka Uwanja wa Ndege Libya

    Libya kama kawaida yao, wamewalaza wachezaji wa timu ya taifa, Nigeria Uwanja wa Ndege kwa zaidi ya saa 12 bila chakula wala vinywaji, wakaona haitoshi wamewapa Hiace (basi dogo) kuchukua timu nzima kuwapeleka Hotelini. Wachezaji wa Super Eagles wamejawa hasira kutokana na hali hii, wakitishia...
  12. Mi mi

    Tuje na mpango mkakati wa kukuza IQ zetu bila hivyo tutaendelea kuteseka

    Tunapigwa kwenye mikataba kwa sababu IQ zetu bado ndogo. Huwezi mzidi ujanja mwenye IQ kubwa kuliko wewe lazima akulambe tu. Juzi mchina Xi katukusanya kama kumbi kumbi huko mitaa ya Beijing haya sasa subiri mipigo mirefu ya wachina kwa miaka mingi ijayo. Hatuwezi shindana na watu wenye IQ za...
  13. M

    Unaendelea kuteseka kwasababu kuna ukweli hutaki kuukubali

    UNATESEKA KWA SABABU KUNA UKWELI HUTAKI KUUKUBALI. 1. Kakuacha ila hutaki kukubali kuachwa 2. Hawana muda na wewe ila unalazimisha wawe nao 3. Njia siyo yenyewe ila unalazimisha iwe yenyewe. 4.Wameamua kwenda bila wewe ila unalazimisha uwe safari nao moja. KUNA UKWELI NI MGUMU KUUPOKEA...
  14. Brain Kingdom

    Tunayaona Mtaani: Mwanaume Bora kuzeeka ukiwa single kuliko kuteseka uzeeni kwa kuoa mafisi ama tumbili

    Fisi na tumbili hawana huruma nyakati za mavuno. Mwanaume ukiamua kukataa kuoa uwe na msimamo. Usije ukajichanganya uzeeni ama jua la jioni ukatepeta ukataka kuoa hawa wanawake, mabinti, ama wadada aina ya fisi na tumbili. Bora ya chawa kuliko Hawa viumbe wanafanya vituko vya maumivu bila...
  15. D

    Story za Mayele kuteseka Pyramids FC. Sababu ni hii

    alot of financial drama.
  16. Zee la madawa

    Hii nchi ina mambo ya ajabu sana! Eti wanapima uzalendo kwa mtu kuteseka

    Kuna picha moja inatend ya mmoja wapo wa mtumishi wa Afya akiwa amebeba vaccine carrier kwa maana chanjo akivuka mto kwenda kutoa chanjo. Ile picha imenifikirisha sana kwanza yule mtumishi wa Afya ni mpumbavu,mjinga na hajielewi yaani unavuka kwenye mto ili iweje? Je, haoni hatari ilioje? Na...
  17. comte

    Mzee Butiku kwa upenda haki unaojaribu kuonyesha huyu mzee anaweza kuteseka hivi ukiwepo?

    https://www.youtube.com/watch?v=6oSnH_by-7U
  18. K

    Rais Samia usiongee lolote juu ya suala la DP World kwa sasa. Ukimya wake unawatesa mno, acha waendelee kuteseka huku ujasiri na matokeo vikikubeba

    Kwa kuwa kuna pande mbili zinazotofautiana kwenye uwekezaji wa bandari na pande hizi zimeonesha wazi ni pande za kisiasa. Upande wa wanaopinga uwekezaji wakiongozwa na CHADEMA na upande unaokubaliana na uwekezaji wakiongozwa na CCM. Pande zote mbili zinapenda kusikia lolote kutoka kwako hasa...
  19. Hyrax

    Mwanaume ukioa Mwanamke aliyekuzidi umri utajuta na kuteseka sana

    Kwa utafiti nilioufanya kwa miaka zaidi ya mitano japo utafiti huu si rasmi nimegundua wanaume wengi wanaoteseka kwenye ndoa ni wale waliozidiwa kiumri na wake zao. Yaani wanaume waliozidiwa umri na wake zao kiuhalisi hawana kauli ya utiisho mbele ya wake zao, hawana maamuzi ya peke yao...
  20. F

    UDSM kuteseka na mgao wa maji ni aibu kwa Maprofesa na wasomi waliojaa UDSM

    Habari wadau Ninajiuliza why chuo kikuu chenye wasomi wengi.. cream of the nation kinashindwa kutatua tatizo la maji hata kwa matumizi yao tu ya chuo kikuu Udsm wanategemea dawasco.. yaani dawasco wakikosa maji.. na chuo kikuu nacho kinateseka sawa sawa na mitaa yetu ambayo imejaa la 7b...
Back
Top Bottom