kutengeneza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Kutengeneza content inayohusiana na pombe za kienyeji inaweza kuwa idea nzuri kwenye digital platform.

    Jambo la msingi ni kutengeneza content yenye quality ya level za kimataifa mtiririko unakuwa kuangazia production process ya hicho kinywaji from scratch mfano pombe kama ulanzi unaangazia jinsi inavyotengenezwa mpaka kuwa tayari kwa matumizi. Pia kunywa pombe yenyewe na kutoa mtazamo juu ya...
  2. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Hyundai na TVS waungana kutengeneza "Bajaji" za umeme. Zimekaa Unyama sana!

    Kampuni ya magari kutoka Korea Hyundai, wameungana na Muhindi TVS kuleta "bajaji" za umeme ambazo unaweza ukazitumia kwa business au usafiri private. Hyundai yeye atatoa engineering na technology wakati TVS atafanya assembly na marketing. Bei na specifications zaidi bado hazijawekwa wazi.
  3. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni ujinga na upuuzi kwa viongozi CHADEMA kutengeneza mkakati wa kuwarejesha Dkt. Slaa, Msigwa au wabunge 19

    Kama kuna vitu vya kipuuzi, kijinga na kipumbavu basi ni uwepo wa mikakati madhubuti kutoka kambi zote mbili zinazovutana sasa (Mbowe na Lissu) kutengeneza mikakati tofauti tofauti wa kuwarejesha wasaliti wa Chadema (Dr. Slaa, Msigwa, Covid 19). Upande wa kambi ya Mbowe wao wanatengeneza...
  4. Logikos

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali Ikope Kuendesha Miradi, Wakati inaweza Kutengeneza Pesa ?

    Kabla hatujaitana vichaa, kwanza kabisa tukubaliane kwamba ndicho kinachotokea sasa hivi duniani (creating money from thin Air) ingawa ni Benki ndio zinafanya hivyo... Pesa inavyotengezwa na kuongezwa kwenye Mzunguko na Benki Wewe ukienda kuomba mkopo Benki unapewa pesa ambayo Benki haina wala...
  5. Alubati

    JamiiForums Tanzania Kwanini watengeneza magari waliacha kutengeneza bodi zenge bati gumu kama zamani

    Miaka ya nyuma gari zilitengenezwa kwa bodi ngumu za material ya bati,hali ambayo gari ikipata ajali linabonyea na kuacha athari kidogo kwa wahanga wa ajali. Tofauti na hivi sasa mtu ananunua gari milioni 500 lakini bodi ni kama aina fulani ya plastiki gumu. Ikitokea ajali gari inakwisha kila...
  6. COLTAN

    JamiiForums Tanzania Inawezakan kutengeneza Posters,Logo,Video,Card za Mualiko kwa Kutumia A.I(AKILIMNEMBA?)

    Habari Members. Inawezekana Kutengeza Posters Logo Ku edit video na photos Kwa Kutumia A.I Akili Mnemba??
  7. youngkato

    JamiiForums Tanzania Platform za Uhakika za online za Kutengeneza Pesa Mtandaoni (Ushuhuda wangu)

    Freelancing ni njia maarufu inayowezesha watu kufanya kazi kutoka popote walipo. Kuna majukwaa kadhaa yanayotoa fursa za freelancing ambapo unaweza kujiandikisha kama freelancer na kuanza kutoa huduma zako kwa wateja mbalimbali. Mifano ya majukwaa hayo ni: Upwork: Hii ni platform maarufu...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Ni kwamba imeshindikana kutengeneza miziki, comedy, n.k. bila vionjo vya Ngono, Vilevi, n.k. ? Tunapata taabu sana kuangalia tv na watoto

    Imekuwa too much sasa, Kitu pekee cha kuangalia na watoto ni katuni na mpira Mambo mengine kama miziki, Muviz, Comedy, n.k. uwe na remote ipo mkononi, kuna uwezekano wa 90% kutakuwa na maudhui ya ngono, vilevi, lugha chafu, n.k.
  9. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Wasanii wa Muziki wa kizazi kipya Mabantu waendelea kuchafua tasnia ya Muziki wa Bongo Flava kwa kutengeneza maudhui yasiyofaa katika jamii

    Wasanii wa Bongo Flava Mabantu waendelea kuchafua tasnia ya Muziki wa Bongo Flava kwa kutengeneza maudhui yasiyofaa katika jamii Wasanii hawa wanaendelea kutengeneza maudhui machafu yanayozidi kusambaratisha maadili ya Watanzania na Waafrika kwa ujumla kwa kupandikiza vishawishi vya ngono...
  10. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania AFCON 2027 NI kutengeneza pesa!

    Wenye akili wameanza kujenga apartments, restaurants na sehemu za starehe (night clubs etc.). Wengine huko Lindi na Mtwara muendelee kulaumu tu
  11. G

    JamiiForums Tanzania Kampuni za Bima zinasaidia au magumashi? Umewahi kufidiwa pesa, kutengenezewa au kubadilishiwa gari baada ya ajali

    Kampuni za Bima hujinadi kumsaidia muhanga pale mali zake zinapopatwa na uharibifu kumfidia aidha kwa kumpa pesa, kumrekebishia au kumbadilishia mali nyingine. Je, mali yako uliyoikatia bima ilipoharibika walikusaidia kweli au ni uswahili? Kwenye fidia Matengenezo yalikuwa ya kiwango...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa kutengeneza NIDA. Na mfumo wa kutengeneza kitambulisho cha mpiga kura tofauti yake ni kidogo ila mbona NIDA ni Kero?

    Ukiangalia mfumo wa kupata kadi ya mpiga kura na Mfumo wa kupata kitambulusho Cha NIDA ni uleule yaani tofauti zilizipo ni ndogo sana especially kwenye taarifa za Mtu.. Ila NIDA imekuwa Kero kubwa sana mtu kuja kupata Kitambuisho chale.
  13. Abby The Rider

    JamiiForums Tanzania Wakatisha Ticket za Treni TRC kwenda Moshi Arusha, Muache kutengeneza Mazingira ya kupokea Rushwa.

    Wakuu Kwema Hii nchi tunakoelekea Sasa hivi hali sio nzuri kwa watumishi wetu wa uma. Kila mtu Kwenye nafasi yake anafanya anachojisikia. Bora nchi iuzwe tugawane Nimefika kituo Cha Treni, kukata ticket kwenda Moshi safari ya ijumaa, ticket zimeanza kukatwa saa2 Cha Ajabu saa2 hiyo hiyo...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kongole Chadema! Kiongozi ni yule anayejua njia, anaonyesha njia, kutengeneza njia pale hakuna njia!

    Uongozi, hufafanuliwa kama uwezo wa mtu binafsi, kikundi, au shirika wa kushawishi njia mbadala na si kufuata tu njia aliyoikuta hata kama njia hiyo inaelekea kuzimu. Hatua ya Mbowe naye kutangaza kutetea nafasi yake, mimi naipongeza kwani itakiwezesha Chadema kuitafsiri falsafa yake ya...
  15. I

    JamiiForums Tanzania Israel ilivyo angamiza uwezo wa Iran kutengeneza makombora

    Mkuu wa majeshi ya Uingereza amesema katika shambulio lake la Oktoba 26 dhidi ya Iran, Israel ilizima karibu mfumo wote wa ulinzi wa anga wa Iran na ndege za kijeshi za kizazi cha tano mia moja na kuharibu uwezo wa Iran wa kutengeneza makombora ya masafa marefu kwa mwaka mmoja. Ndege za...
  16. Lupweko

    JamiiForums Tanzania Israel yasambaratisha kituo kikubwa zaidi cha kutengeneza makombora cha Hezbollah

    Jeshi la Israel limesema limeharibu kituo kikubwa zaidi cha kutengeneza makombora cha Hezbollah huku ikiwa wameingia makubaliano ya usitishwaji wa mapigano kati yao Hii hapa animation ya kituo hicho chenye eneo la upana wa kilomita 1.4 na kina cha mita 70 kwenda ardhini: SOURCE...
  17. Aaliyyah

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutengeneza Juisi ya tikiti maji(watermelon juice)

    Natumaini mkopoa na mna afya njema na wagonjwa Mungu awape shufaa Leo nashare na nyinyi jinsi ya kutengeneza juis tamu ya tikiti maji nzuri na yenye faida nyingi kiafya Mahitaji Tikitimaji kias inategemea na kias unachotaka Vipande vya barafu(ice cubes) Hatua Kata tikiti maji vipande...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Fundi Welding mwenye uwezo wa kutengeneza spiral stair cases

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Natafuta fundi welding mwenye uzoefu wa kutengeneza Spiral staircase. Material kwa maana ya chuma, welding sticks, grinder discs kulingana na size grinder size atakayo kuwa nayo. Fundi atachaji gharama ya fundi tu. Kazi itafanyika nyumbani kwangu. Kama...
  19. Brojust

    JamiiForums Tanzania Punguzeni pombe vijana, Ukipata nafasi ya kuacha acha kabisa

    Yaani mtu ana degree na masters logic ndogo tu anashindwa kujibu. Punguzeni pombe vijana, Ukipata nafasi ya kuacha Acha kabisa. Najua nyie TISS mna majukumu makubwa sana ya kiserikali, Fanyeni vetting ya hivi viwanda vya pombe kali zote. Taifa linapotea sana jamani Kuna hazina za wasomi hapo...
  20. ward41

    JamiiForums Tanzania Kwanini Brazil walifanikiwa mapema kutengeneza ndege kabla ya China?

    Technology ya ndege ni ngumu Sana. Mataifa mengi duniani Yameshindwa kuunda ndege. Mataifa kama Japan, Korea, Russia, UK tulitegemea wangekuwa wanatengeneza ndege lakini wapi Cha ajabu Brazil wanatengeneza ndege za embrear. Hii ikoje. Kwanini Wamefanikiwa kuunda ndege zao from the scratch
Back
Top Bottom