Naomba Fundi / Mfanyabiasha mwenye uzoefu wa kutengeneza matofali ya ujenzi pamoja na pavement unipe ushauri wa hiyo biashara, mtaji wa kuanzia, maeneo lengwa pamoja na chagamoto zake Asanteni
Hivi Pakistan Taifa masikini la Waislamu wengi sana wenye msimamo mkali na hadi magaidi wengi tu waliwezaje kufanikisha kutengeneza silaha zao za nuclear bila kibali na kelele za US?
Wadau Salaam!
Ninahitaji mashine ya kutengeneza sabuni za miche pamoja na mixer angalau ya lite 200. Mwenye nayo au mwenye uelewa naweza ipata wapi naomba anisaidie kwa kunitumia ujume PM. Asanteni sana.
Moja ya sekta kubwa inayochangia GDP na kutoa ajira nyingi ni ujenzi. Nchi yetu, miji na majiji mengi yana barabara mbaya za mitaa.
Tunaweza kuboresha barabara hizo kwa kutumia mafundi wa ndani, materials zote za ndani, bila kugusa forex yetu kwa kulipa wakandarasi wa nje na kununua vitu kama...
Je, ulijua kwamba ukiwa na akaunti moja ya Gmail, kwa kweli una uwezo wa kuwa na anuani za barua pepe zisizo na kikomo? Mbinu hii inaweza kuwa na matumizi mengi muhimu sana.
Unaweza kufanya hivyo kupitia mbinu inayoitwa “plus addressing.”
Plus Addressing ni nini?
Plus addressing ni njia...
Wakuu habari,
Nahitaji sehemu kama workshop nikajifunza kutengeneza Furniture za kisasa.
Kama kuna sehemu ama mtu ana ofisi nitafurahi nikajitolea.
Ikiwa kuna malipo kidogo naweza kulipia nifikie lengo.
Asanteni.
Mawasiliano: 0759226857
Nipo Mbezi ya Kimara.
Habari wakuu, fundi wa kutengeneza sauna , hyu niliingia nae makubaliano anitengenezee sauna na nikamlipa tzs 3,500,000 lakini toka wakati huo mwaka Jana mwezi October anapiga chenga na hajawahi kufanya lolote.
Nimetumia njia nyingi kudai pesa yangu lakini haijawahi kuleta mafanikio Zaid ya...
Ninaona madogo wengi wanamaliza course ya computer au ICT, au course yoyote Ile ambayo iko related na mambo ya computer lakini kichwani hakuna kitu kabisa, ata wachache wanaojua ambao Wana uwezo wakutengeneza website, (wanaitwa madeveloper) wanakuta kazi zao hazipo, kampuni zikitaka website au...
Dunia sasa hivi imeenda digital (AI) hivyo naomba tupeane michongo ya jinsi ya kutengeneza hela ndogo ndogo online (genuine website); BILA kujumuisha betting
Hata ukiwa na mchongo tofauti ila unao uelewa vizuri sio ule wa kusema tu; nenda kalime matikiti/ Nyanya wakati hata mahindi hujawahi...
Wadhulumu haki na wauaji wanaumia sana na kufadhaika wakisikia yeyote ama akiongelea au kulaani udhulumati na ushetani wao walioufanya ile Oktoba 29. Kila anayechukizwa na dhuluma zao, huwa ni adui yao mkubwa. Na hasa kama wanaamini kuwa huyo anayechukizwa na uovu wao ana influence. Na kwenye...
Mfanyabiashara wa Tanzania Mohammed Kiluwa ambaye ndiye Mwenyekiti/Mmiliki wa Makampuni ya Kiluwa Group Tanzania ( KG), amesema yupo tayari kuyaleta Jijini Dar es salaam Mabasi ya Abiria ya MAZ kutoka Ulaya kwa ajili ya kubeba Abiria wa ‘Mwendokasi’.
Kiluwa ameyasema haya leo January 19 Jijini...
Ndugu zangu Waislam
Quran 16 : 67
"Na kutokana na matunda ya mitende na mizabibu mnatengeneza ulevi na riziki nzuri. Hakika katika hayo ipo Ishara kwa wanao tumia akili."
Tumeruhusia kutengeneza kunywa na kuuza vilevi.
Tumswalie mtume.
Jagina gallow bird adriz Ertugrul Bey Wazolee
Cc...
❌ Tatizo la Watu Wengi:
Watu wengi wanataka kutengeneza pesa mtandaoni lakini wanaamini bila mtaji haiwezekani.
Ukweli ni kwamba… mtaji mkubwa si pesa, ni maarifa + muda +uvumilivu .
Njia 3 za kutengeneza pesa mtandaoni ambazo unaweza kuanza Bila Mtaji
1️⃣ Kuuza Ujuzi (Hata Kama Unaona Ni...
Najaribu kuwaza tu, unaweza kugharimu shilingi Ngapi kuanzisha...vijiji vya incubation center kwa ajili ya vijana ambao pale watajifunza mambo kadha wakadha..km vile Technolojia za kisasa...Kilimo, viwanda...mafunzo ya Vocational training km VETA, Uchimbaji wa madini, uchakataji wa Vito...
Mara kadhaa kwenye hili jukwaa na la tech nimekuwa na mijadala na watu wa Pro-Americanism.
Huwa nawaambia Marekani ina uhaba wa skilled personnel hasa katika kutengeneza bidhaa ambazo ni complex au za high tech wengi hubisha.
Uzuri ni kuwa Trump ni kama saa mbovu kuna wakati huwa inasema...
Na sasa watu wanampongeza ndugu aliyeshinda Marathon na kuleta medali nchini. Miaka kadhaa iliyopita Ramadhani Brother walifanya maajabu, Mwakinyo naye alileta ushindi na watu wengine mbalimbali.
Hawa watu wakihojiwa wanaweka wazi kuwa hawajapata msaada mkubwa kutoka kwa serikali na mara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.