Meli inayopeperusha bendera ya Tanzania kukamatwa El Salvador 06.02.2025 ikiwa na shehena ya tani 6.6 ya dawa za kulevya. Mlikuwa mnasubiri upepo upite, au mlikuwa mnapiga hesabu za jinsi cocaine tani 6.6 zilivyoweza kutosha katika meli inayopeperusha utambulisho wetu bila ninyi kufahamu
Je...
Utashangaa mtu kaoa mke mzuri unamposti, unataka sisi tufanyaje mwisho WA siku tuna mwinda na tuna MLA unakuja kushituka kumbe ulioa Malaya, tatizo ni wewe ulieamua kututangazia kuwa Kuna chombo kizuli pahali fulani. Huyo ni mkeo au mumeo wako picha yake weka chumbani kwenu au sebuleni hapo uwe...
Ukitembea miji na majiji karibia yote sasa hivi kuanzia Dar es Salaam na kwingine mabango ya matangazo barabarani bado yamejaa matangazo ya CCM ya uchaguzi ya Chagua Samia, October Tunatiki n.k Hii ni baada ya miezi matatu ya kile CCM walichojiaminisha ni uchaguzi.
Uwepo wa matangazo ya CCM ya...
Wahitimu wa chuo cha Tanzania institute of accountacy waliomaliza 2022 Taharifa zao hazipo TCU wala NACTE na wanashindwa fanya maombi ya kazi uhamiaji.
Wakituma details zao kama namba za registaration na cheti hakitambuliki na deadline inakaribia january 11/2026 watu wengi watakosa fursa kwa...
Anonymous
Thread
kutangaza
maombi
nacte
tanzania
tcu
uhamiaji
wahitimu
Wenye nchi (wananchi) hawakwenda wala kujitokeza kupiga kura kwa sababu tulisema toka mwanzo NO REFORMS NO ELECTION na mlitubeza na kudharau...
Sasa hayo mnayoyaita "matokeo ya kura za udiwani, ubunge na Rais mmeyatoa wapi...?
Bado mnaamini kuwa mtaendelea kututawala kwa uongo na udanganyifu...
Serikali na makundi ya kiimani kuelekea uchaguzi mkuu october 29 ambao asilimia kubwa ya watanzania wanapinga kwa nguvu kubwa uchaguzi huo usifanyike bila kufanya reform nimeona viongozi wa serikali na makundi ya kiimani yakitangaza amani huku watu wengi wakilia ndugu zao kutekwa na kupotezwa...
Kuna watu hovyo wamekazana kusimulia nchi jilani zina vita, machafuko, Oooh Kongo wanateseka, nk. Hadithi kama hizo hujitokeza wakati wa uchaguzi. Mbona hata sisi watu wanatekwa na kupotea?
Jana jeshi la Madagascar limechukua uongozi wa nchi. kama kawaida ya BBC Swahili ikawa ni habari kuu. Eti...
Wasalaam ,
Ikumbukwe kwamba Mwaka 2022 TASAC iliachana na waliokuwa wafanyakazi wake wa vibarya (casual labor) kutokana na kubadilishwa majukumu yake kisheria na Mkurugenzi alitolea ufafanuzi suala hilo, vvyo hivyo, Mwaka 2023 iliamua kuachana na Wafanyakazi wake waliokuwa wameajiriwa na...
Anonymous
Thread
ajira
ajira mpya
bila
kutangaza
meli
mpya
nafasi
sawa
shirika
taasisi
taasisi ya umma
tasac
umma
uwakala
vigezo
waajiri
wafanyakazi
wake
waliokuwa
wenye
Jinsi ya Kutangaza Biashara Yako
Tatizo kubwa linalowakumba wengi ni hili: wana bidhaa au huduma nzuri, lakini hakuna anayejua inapatikana.
Siku hizi kelele ni nyingi sana unahitaji visibility. Hakikisha jina lako linaonekana popote mitandaoni, mitaani, na kwenye vinywa vya wateja wako. Hizi...
https://www.youtube.com/live/G7yv_AM6JAA?si=n0iy7ZZrOM3x13x-
Mwenyekiti wa Tume huru ya Uchaguzi Tanzania: Tume imekamilisha uboreshwaji wa daftari la wapiga kura kwa awamu mbili, awamu ya kwanza ilianza tarehe July 20 2024 na kukamilika March 25, 2025, na awamu ya pili ilianza May 1...
Mwanamieleka maarufu Hulk Hogan amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 71, WWE imethibitisha.
-
Hulk Hogan alikuwa miongoni mwa nyota maarufu zaidi katika historia ya mieleka lakini pia alikuwa mmoja wa watu waliowagawa sana mashabiki.
-
Tukio lake la kumbwaga Andre the Giant litasalia katika...
Abtali Mwerevu ni member Mkongwe Ila tapeli .
Anakuja JF anatangaza ajira ambazo zimejaa utapeli mkubwa kuna ajira katangaza juzi watu wamemfata WhatsApp kawafanyia utapeli.
Kuweni nae makini au apewe life ban
Hatimaye kila kitendawili cha hatma ya kisiasa ya Majaliwa katika nafasi ya waziri mkuu kimehitimishwa rasmi leo baada ya Mheshimiwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, kwa 'masikitiko' makubwa kutangaza rasmi kuwa hatachukua tena fomu za kugombea ubunge wa jimbo la Ruangwa, na hivyo kufuta ndoto zote...
Nchi hii bwana inaendeshwa kinyume sana, yaani vurugu tupu.
Sasa Raisi wa Zanzibar anatangaza kusogeza mbele kuvunjwa kwa Baraza la Wawakilishi kabla ya Raisi wa Tanzania Samia kutangaza kusogezwa mbele kuvunjwa kwa Bunge hadi August. Hivi nani hasa ni Raisi wa Tanzania hapa, au ipi ni mamlaka...
Nimezaliwa na kukulia Tanzania, lakini kwa sasa ninasoma Computer Science huku Marekani. Nimekuwa nikijifunza mambo ya software development kwa muda, na baada ya kufanya majaribio kadhaa, niliona nianzishe kitu ambacho kinaweza kusaidia nyumbani.
App ninayoileta inaitwa Nuru. Ni jukwaa...
Hii mada sitaki kuunganishwa mods wa JF.
Mnapenda kuhamisha mada ili kukosa nguvu ya ukweli.
Wanayofanya serikali ya Tanzania kupitia CCM ni kama akili za watu wenye upeo mdogo sana.
Wanafanya hivi ni kwamba mtandao wa X una nguvu kubwa ili mambo yao ya wasiojulikana ili wasijulikane.
Mbona...
Je kuna mabadiliko yoyote hasi baada ya Trump kutangaza kuondoa pesa ya msaada.
Inajulikana madhara ya haraka ni wenzetu wengi kusitishiwa ajira zao.
Je kwa upande wa utoaji huduma hali ikoje huko uliko?
Naskia kuna wanaoambiwa watapewa dawa za mwezi kwa mwezi badala ya miezi 3 au 6.
Hali...
Kuna jambo linafanyika katika mikutano ya CHADEMA ambalo kama CHADEMA haitolifanyia kazi litageuka msumari wa kisiasa kwa chama hicho.
Ninatambua kuwa CHADEMA siku hizi imekuwa ikiweka viongozi wa dini mbele katika mikutano yao.
Lakini kitendo cha kuleta wachungaji na kuanza kuhutubia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.