kutafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania TBC Watembelea Maktaba Kutafuta Historia ya Mwami Theresa Ntare

    https://youtu.be/-rxfkdYqDjM?si=xaqGeZoMg-LGLW6U
  2. JamiiForums Tanzania Somesheni watoto wenu Skills za Gas na mafuta ,sio kutafuta huruma za kujengewa Refinery..

    Eti Digrii ya histori ,au Digrii ya biashara hata kusimamia genge hawawezi hawa watoto wenu
  3. JamiiForums Tanzania Kadri mtu anavyozidi kuwa masikini ndipo anavyozidi kuingia gharama ya kutafuta sifa kuwa bado na yeye yumo

    Tazama harusi zetu sisi watu weusi hata bado tukiwa na maisha yetu ya chini alafu tazama harusi za watu waliondelea katika nchi tajiri. Tazama watu weusi wanapopata ustaa mapema namna anavyovaa na wanawake anaohudumia alafu tazama mastaa wenye asili ya kizungu au asia wako simple sana.
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini wanaoanzisha pubs mpya wengi lazima watinge Singida kutafuta mabinti wa kuziendesha/kuhudumia?

    Kuna siri gani juu ya mabinti wa Singida, are they good at hospitallity and homage?
  5. JamiiForums Tanzania TANZANIA Kutafuta Maridhiano ni Ujinga wa kisiasa! Elimu inaruhusu kuona ujinga huo

    Tume ya maridhiano iliyokuwa ya kutolea mfano ni ile ya Afrika ya kusini. Matatizo ya Afrika Kusini yalitokana na siasa za ubaguzi wa rangi. Baada ya siasa hizo kutoweka, Ndo ikaundwa Tume ya maridhiano. ilikuwa salama kwa sababu hakuna jinsi siasa hizo zinaweza kurudi nchini kwao. Kenya...
  6. JamiiForums Tanzania Tujifunze kutafuta pesa kwa jasho na damu

    Linapokuja suala la pesa unatakiwa uweke mambo mengine pembeni, HURUMA,DINI,HOFU leo nmemfunza kitu huyu bodaboda. Nilikua nataka nyama ya nguruwe kwa ajili ya kulia na pilau ya pasaka, nikamcall bodaboda akanifuatie nyama akadai yeye muislamu habebi kitimoto, nikamwambia sawa. Alivyokata...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi ni sehemu gani hapa Dar ni ambayo ni nzuri zaidi kwa kijana kuanzia maisha? Naona kama Goba ni eneo zuri sana

    Wakuu, Kama wewe ni kijana unataka kuondoka nyumbani kwenu uanze maisha ushauri wangu uende ukaishi Goba Kwanza Goba nyumba nyingi ni mpya na ni bei ndogo. Ukiwa na 100k unapata chumba na sebule na jiko na choo tofauti na eneo kama Sinza au Mwenge ambako utapata single room Lakini vilevile...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Nilipoona Mwigulu Nchemba ameanza kuongea kisukuma nikajua ni zile zile janja za Kamala Harris katika kutafuta urais

    Mwigulu alisema akipendwa na wanasingida imetosha na kwa muda mrefu amejitambulisha kama Mnyiramba. Sina tatizo na kuongea kisukuma ila yasije kuwa ya Kamala Harris kabla ya kugombea urais alijitambulisha mhindi kwenye mbio za urais ghafla akaanza kujitambulisha kama mweusi. Sitashaangaa huko...
  9. JamiiForums Tanzania Mfumo wa kutafuta hela kwa sasa umebadilika sana; kwa dunia ya leo maarifa yana nguvu kuliko juhudi

    Miaka ya nyuma tulilelewa kwenye dhana kwamba mafanikio yanategemea zaidi jasho, juhudi, na kufanya kazi kwa bidii bila kuchoka. Ilikuwa ni kweli kwa wakati huo, kwa sababu fursa zilikuwa chache na taarifa hazikupatikana kwa urahisi. Lakini kadri dunia ilivyobadilika, hasa kwa ujio wa...
  10. JamiiForums Tanzania Wameanza kulialia na kutafuta visingizio

    Russia is helping Iran target US military forces, officials say Middle East Russia has shared intelligence with Iran that could help Tehran strike US warships, aircraft and other American assets in the region, according to two officials familiar with US intelligence – the first indication Moscow...
  11. JamiiForums Tanzania Unamshauri nini mtu anayeenda kutafuta maisha jiji la Dar es Salaam?

    Unamshauri nini mtu anayeenda kutafuta maisha jiji la Dar es Salaam?
  12. JamiiForums Tanzania Mawaziri wafanya kikao Lushoto kutafuta suluhu ya migogoro ya Wananchi Mkoani Tanga

    Mawaziri saba wa kisekta wakiwa na mwenyeji wao ambaye ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu-TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe ambaye ni Mbunge wa Lushoto wamekutana wilayani hapo kujadili utatuzi wa changamoto na migogoro inayowakabili wananchi mkoani Tanga ikiwemo ya ardhi, ikiwa ni hatua ya...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Kutafuta fursa ya ajira

    Habari za leo ndugu zangu. Naitwa Farid Hussein Issa, mhitimu wa Shahada ya Business Administration (Entrepreneurship Development) kutoka Mzumbe University. Nina uzoefu wa kufanya kazi kama Assistant Accountant, pamoja na Sales & Marketing, nikiwa na ujuzi wa matumizi ya Tally Prime, data entry...
  14. JamiiForums Tanzania Hitler aliwekeza katika kutafuta nguvu za miujiza na uchawi kwa kuwatuma watu wake duniani kote wakazisake ila hawakuambalia chochote.

    Alifanya hivi ili iweze kumsaidia katika ambition yake ya kuitawala ulaya nzima. ila wewe 35+ bado unaaamini haujapata mganga mzuri na mafuta uliochukuwa kwa ben haukuyaambatanisha na sadaka nzuri ndio maana tabu hazijaisha
  15. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Ardhi, Kaspar Mmuya: Inakuwaje kupata Hati ya Kiwanja iwe kama kutafuta Tanzanite au Dhahabu?

    "Kupata hati ya kiwanja iwe kama kutafuta Tanzanite au Dhahabu nchi hi? Yaani mtu ambaye amekuja kuomba hati amefuata taratibu na kutimiza vigezo vyote vinavyotakiwa inakuwaje inamchukua miaka miwili kupata hati yake?" - Naibu Waziri wa Ardhi, Kaspar Mmuya...
  16. JamiiForums Tanzania Gwajima wataje watekaji badala ya kujibaraguza na kutafuta kiki kwa uchawa na utapeli

    Ukimsikiliza vizuri askofu uchwara wa kujipachika Josephat Gwajima, unashangaa. SIku hizi, amendandia hoja iliyotaka kumzamisha ya utekaji. Anasema hapendi utekaji kana kwamba kuna mtu mwenye akili zake anayeupenda ukiachi wauaji wetu . Kinachoshangaza ni kusema eti serikali na vyombo vya...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Baada ya mbinu ya kutumia waislam koko kulisema kanisa kugonga mwamba, sasa mmeamua kutafuta njia ya kutumia wakristo koko

    Njia sahihi na salama kabisa ya kurejesha utulivu nchini ni kutafuta mlipo jikwaa nakuondoa hicho kizingiti kilicho fanya mjikwae , Kuendelea kudhani kwamba amani na upendo wa taifa vitarejea kwa kuendelea kutafuta vilaza wa kuendelea kulisema na kulishambulia kanisa ni kujidanganya na...
  18. JamiiForums Tanzania Dunia ya sasa hauwezi kutafuta haki, hakuna haki bali ni janja janja za kisiasa

    Niwasalimu watu wa ukumbi huu, Kwanza niende moja kwa moja kwenye lengo la uzi huu ,hapa nataka kuongelea kuhusu kitu kinaitwa ''haki''. Je ,dunia ya leo kuna haki na watu wanaweza kudai haki. Kabla ya yote tutambua neno haki lina maana pana sana ,unaweza kusema ''ni kitu chochote / jambo...
  19. JamiiForums Tanzania Huu ndio msimu ambao bwana covax ataenda kutafuta vifungu ili atuhakikshie kuwa Yesu alikuwa ni mpalestina na itikadi kali

    Mimi sio nabii ili kabla ya tarehe 31 mtaona majaabu😄😄 Red black dosho12 Vincenzo Jr secretarybird Moisemusajiografii hamis77
  20. JamiiForums Tanzania Vijana haya mambo ya kutafuta wachumba mitandaoni na kwenye media mnatuzalilisha wakubwa zenu

    Vijana wa sasa sijajua au ndio kizazi chenu cha wakati. Ila sisi wakubwa wenu mnavyo jionesha kuwa mnashindwa kutafutana mtaani mpaka kwenda kwenye media yani niliona kijana mmoja kuna kipindi kimoja mpaka nika jisikia vibaya sana. Umfahamu wala hakufahamu mnaenda kuokotana kama madanguro...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…