Kumekuwa na utani mwingi juu ya walio na hela na wasiokuwa nazo. Sasa hapa huu uzi utakuwa maalumu kwa wenye hela kuwa motivate wasiokuwa nazo wazitafute kupitia quotes (nadhani ni misemo kwa kiswahili).
Mfano.
1. Tafuta hela gas inaivisha maharage
2. Tafuta hela pisi kali zinalika na kila...