kusomesha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. pablo5060

    Mfumo unatulazimisha kusomesha watoto shule binafsi au ni ujinga tu wa watu wachache kukwamisha shule za Serikali?

    Najiuliza maswali mengi kuhusu elimu yetu hapa Bongo, ni kwamba system inatulazimisha tusomeshe watoto wetu shule binafsi au ni upuuzi tu wa watu wachache kuna mambo yananishangaza sana kuhusiana na hizi shule za Serikali. (1) Hivi kama tunalipa tozo kwenye simu hadi umeme serikali inachukua...
  2. Equation x

    Kusomesha watoto sana, ni njia ya kujiongezea upweke huko uzeeni

    Wazazi wengi, wanajitahidi sana kusomesha watoto wao ili huko mbeleni wawe na maisha mazuri au wasiwe tegemezi. Watoto wakishahitimu, uanzisha maisha yao, kwa kujitegemea pamoja na kuwa mbali na wazazi wao; wakuoa wataoa, na wakuolewa wataolewa. Changamoto inayojitokeza, ni wazazi kubaki...
  3. Roving Journalist

    Serikali kusomesha chuo kikuu wanafunzi watakaofanya vizuri masomo ya sayansi

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda (Mb) amesema katika bajeti ya Mwaka wa Fedha 2022/23 Wizara imetenga fedha kwa ajili ya kutoa ufadhili wa elimu ya juu (scholarships) kwa wanafunzi watakaofanya vizuri katika masomo ya Sayansi. Waziri Mkenda amesema hayo Jijini Dodoma...
  4. sky soldier

    Ushuhuda: Kusomesha mtoto shule ya kiingereza yenye walimu wa Zambia/Malawi /Kenya /Uganda kuna afadhali zaidi kuliko walimu wa hapa kwetu

    Hiki kitu nimeshuhudia kuna mtoto wa ndugu yangu anasoma shule flani ya msingi darasa la nne, ni shule ya mtaala wa kiingereza ila walimu ni wa hapa kwetu, huwa anafaulu vizuri tu lakini kuna maswali aliniletea nimsaidie ya social studies (maarifa ya jamii) sasa nikawa namweleza swali...
  5. M

    Mikopo ya Elimu ya Juu: Je, watumishi wa Umma wana ruzuku ya kusomesha watoto wao tofauti na wengine?

    Nimefuatilia matokeo ya walioomba mikopo ya kugharamia masomo ya elimu ya juu tangu walipotoa awamu ya kwanza hadi ya mwisho juzi tarehe 4/11/2021. Kwanza idadi kubwa ya waombaji wa mikopo hiyo hawakupata. Pili, moja ya kundi kubwa la waombaji ambao hawakupangiwa mikopo kwa sababu mbalimbali...
  6. Meneja Wa Makampuni

    Acheni kusomesha watoto kozi za kustafia bali wasomesheni kozi ambazo zinaweza watengenezea bilions of money

    Acheni kusomesha watoto kozi za kustafia bali wasomesheni kozi ambazo zinaweza watengenezea bilioni of money. Kozi za kustafia VS Kozi za kutengeneza bilioni of money. Utanielewa tu jaribu kufanya access matajiri wakubwa duniani wamesomea nini, achana na matajiri hawa wakibongo na Afrika...
  7. R

    Tuliowahi kusomesha Wachumba na hatujawaoa. Tukutane hapa

    Wakuu, hili sakata la kuwasomesha wachumba naona linafukuta kwa sasa. Ninaamini tuko wengi tuliowahi kuwasomesha wachumba/girl friend na bado hatujawaoa sisi. Tukutane hapa!! Nitaanza na mimi binafsi. Nilipokuwa chuo mwaka wa nne - 2006! Nilikuwa na demu wangu yeye alikuwa anasoma kozi ya...
Back
Top Bottom