Wazazi wa kisasa kwenye kusomesha watoto shule wanafanana na wauza maduka wa sinza.
Duka la sinza fremu kodi milioni, decorations za duka zinatumika milioni 10.
Halafu mtaji wa bidhaa za kuuzwa dukani thamani yake laki 7 tu.
Hivyo hivyo kwa wazazi. Mtoto primary analipiwa ada kwa mwaka...
Yuko wapi Polepole na yule kijana wa Mbeya ambae alipotea baada ya kulipiwa faini na wanaCHADEMA?
Vpi kuhusu Ufisadi unaoendelea sasa hivi hapa nchini?
Vipi kuhusu CCM mtandao kula keki ya taifa mpala kuvimbiwa?
Leo hii mnadhania kusomesha vijana Veta kuwq mama ntilie ndio CCM itakubalika?
UNRWA ikusanya zaidi ya dollar bilioni moja kila mwaka za pesa za misaada na pesa hizi zilipotea katika mifuko ya maofisa waliokuwa wamewekwa na hamas katika nafasi za shule hizo.
Pesa hizo zilitumika ku-fund vitendo vya kigaidi na machafuko.
Kuna kitu cha kujifunza nimeona nigawane nanyi
Unapoamua kusomesha watoto wa ndugu zako...hakikisha na wa kwako umewandalia mazingira mazuri kwa ajili ya mbelen
Kuna mdingi ametoa ushuhuda leo...kasomesha watot wa dada zake mpaka wamepata kazi wizarani huko....huku wanae akiwatenga kwa maneno...
Kupitia mahojiano yalofanywa na Milardayo na mtoto wa mwisho wa Hayati Magufuli, Jesca John Joseph Magufuli
Pamoja na mambo mengi aliyoyasema, amekiri kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan amebeba Jukumu la kosomesha watoto wote walokuwa wakisomeshwa na Marehemu...
Serekali kupitia afisi ya waziri mkuu imetoa Tangazo la vijana miaka 18- 35 kujiunga vyuo vya ufundi katika mikoa na wilaya zilizo karibu na wao huku Serekali ikigharimia mafunzo hayo 100%..
Nawashauri chadema na wao waombe pesa za wazungu wawasomeshe vijana ili iwe kivutio kwao.
Vyenginevyo...
Kwanza kabisa kama ulisoma boarding, ni kipi ulichomzidi mwenzako aliesoma day na mkafaulu wote mpaka mkahitimu chuo ?
Kwa hali ya sasa kuna maeneo yana shule kibao za day na zinafaulisha, Je tuendelee na ule utaratibu wa kupeleka watoto boarding kama zamani ?
Binafsi nakumbuka nilisoma...
Sikuwahi kuwambia watoto wangu kuwa nilikua nafanya kazi gani. Kamwe sikutaka wajihisi aibu kwasababu yangu, pindi binti yangu aliponiuliza nilikua naenda kufanya nini ninapotoka, nilitumia muda huo kumzuga na kumwambia kuwa mimi ni kibarua.
Kila siku kabla sijarudi nyumbani nilitumia muda...
Mimi nilidhani kwakuwa Taasisi yenu hiyo ya 'Makumbusho' nchini Tanzania ina Hela nyingi (huku zingine zikiwa hazina Kazi) ambazo kamwe na Kisheria hazihojiwi Kokote basi ingekuwa pia ina uwezo mkubwa sana wa Kuwasomesha Watendaji wake wa 'Kimakumbushomakumbusho' Elimu za juu kama za Masters na...
Ipo hivi, unakuta mtu anafanya kazi inayomuingizia kipato cha kutosha na anajuana na watu wengi wenye hadhi zao, lakini upande wa pili mwanamke aliyenaye anafanya kazi kwa mshahara usiozidi hata laki 3 mfano hawa walimu wa chekechea na hawa ma medical attendants
Kwa mantiki hiyo lazima...
Nimeona tabia hii imeshika Kasi sana ,akina mama au wazazi wenzetu wanatutambua kama wazazi pindi watoto wanapohitaji karo za shule na mahitaji yote! Wake zetu huwaambia watoto kupeleka mahitaji yao kwa baba ' iwe karo, mavazi, chakula, matibabu na kila kitu mhusika mkuu ni baba!! Lakini baadae...
Acha tuambizane ukweli kuhusu hali zilizopo ndani ya jamii zetu hata kama tusipopenda kusikia ukweli sawa tu.
Huu mtindo wa wazazi wa kitanzania kusomesha watoto kwenye shule zenye kuhitaji pesa nyingi na kuacha za kawaida huku hali ya maisha ikiwa haisomeki ni wa kishamba.
Mzazi anaye...
Tajiri unakuta ana mabilioni lakini suala la elimu ya mtoto kwake analifanya liwe la kuiga watanzania wanaosifia elimu nzuri ni mtoto akisoma shule hizi za Necta huko boarding awe anaamka saa 11 asubuhi, apate division 1 au 2 aende kusoma UDSM.
Kwa elimu ipi hapa bongo uendelee kumsomesha...
Mama ntilie wa kishua, Shilole jana ameonesha furaha yake baada ya mwanae Joyce kupata ufaulu wa Division 1 ya 7 akidai yeye aliishia darasa la 7b chini mti. Shilole amesema mwanae amemaliza shule ya emperial kidato cha sita huku akisema ukifika katika shule hiyo unakuta bendera za mataifa mengi...
watoto (wanafunzi) wanaendelea na story zao za hapa na pale huku wanasimuliana jinsi siku ilivyokuwa nzuri shuleni.
watoto hao wanaagana na kila mmoja anaenda nyumbani kwake, Huyu mmoja anakaribia kwake na anamkuta baba ake akiwa ana furaha sana.
baba anamuita mtoto wake na kumuambia jinsi...
Nadhani mmeona wenyewe mambo aliyofanya ASHRAF HAKIMI na wanaume pia baadhi ya wanawake wanavyofurahia alichokifanya.
Mwanaume anamdharau mwanamke anamthamini mama yake. Yaani anamthamini aliyemzaa anamdharau aliyemzalia, namaanisha anamdharau mama anamweshimu mama, nadhani mmenielewa.
Kiufupi...
Hello,
Acha mapenzi yaitwa wazimu wa hiari, ama Ibilisi asiye na akili rehani.
Huyu bodaboda kijana wa kinole morogoro vijijini, alikuwa na mchumba mtoto wa kirangi akasomesha toka O'level hadi chuo ahadi ni kumuoa baada ya kuhitimu chuo.
Baada ya kuhitimu chuo mrembo wa kirangi kapata...
Rais Samia Suluhu katika ufunguzi wa chuo cha ufundi mkoani Kagera leo ameongelea mambo mengi sana lakini lililonikosha ni hili la kusomesha vijana wanaotoka katika familia duni hii inaonyesha kua Rais Samia Suluhu anampango wa kuwainua vijana na kuondokana na Tatizo la ajira Tanzania kupitia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.