kusoma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    JamiiForums Tanzania Kusoma kama private candidate ( PC)

    Kijana wangu ana ufaulu wa div 3. Ufaulu wa masomo yake ni History B na Geography C. Masomo yote yaliyo baki ni D. Je anaweza jiendeleza kama private candidate.
  2. JamiiForums Tanzania Ushauri Course ya Kusoma Masters. Kwa Mtumishi idara ya msingi.

    Wakuu habarini. Mimi ni mtumishi wa umma. Idara ya Elimu msingi. Nimesoma BAED. Naomba ushauri course ya kusoma Masters, lengo ni kutoka kufundisha. Pendeleo langu ni MASTER OF EDUCATION IN QUALITY MANAGEMENT. Je, ni best option over MASTER OF EDUCATION IN ADMINISTRATION, PLANNING ANF...
  3. B

    JamiiForums Tanzania "Asilimia kubwa ya vijana kutoka Tanzania na Afrika nzima ujumla wanaoletwa na wazazi kusoma Marekani na Canada wamegeuka kuwa machoko ".. Elli David

    Elly David m Tanzania anaeishi nchini Canada anasema asilimia kubwa ya vijana wa ki Tanzania na kutoka sehemu mbalimbali barani Africa wanaopelekwa na wazazi wao kusoma Marekani, Canada na Ulaya wengi wao huishia my wa machoko na mateja... Du kama ndo hivyo Bora wasome Kayumba na waishi hapa...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Je, kusoma chuo kama MUHAS kuna advantage kwenye career nzima ya medicine?

    Kwa nyakati tofauti nimeona wanafunzi wanaosoma Muhas na alumni waliomaliza chuo Cha muhas CV zao zimesheheni activities nyingi out of elimu ya darasani Kuna walionzisha NGOs,Wana hudhuria Health summit,wanahudhuria masterclass na hii inakua ni tofauti kwenye vyuo vingine vya afya Je changamoto...
  5. JamiiForums Tanzania HOJA Serikali kupitia wizara ya elimu tunaomba mkatizame upya vigezo ya kusoma kozi za afya

    Inasikitisha kijana mwenye ufaulu hafifu D nne anaenda kusoma clinical medicine awe daktari akatibu watu kweli? Vigezo vya D vifutwe wenye sifa za kusoma iwe kuanzia angalau C
  6. JamiiForums Tanzania Degree ngumu kusoma hapa Tanzania

    Na hizi ndo bachelor degrees zinazohitaji uwezo mkubwa wa kufikiri na akili nyingi zaidi duniani 1. Bachelor of Medicine and Bachelor of Surgery (MBBS) – Udaktari Masomo mengi, muda mrefu wa kusoma, na mafunzo ya hospitali. 2. Bachelor of Aerospace Engineering – Uhandisi wa Anga Inahitaji...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini waumini masikini wasitibiwe au kusoma bure kwenye hospitali na shule za dini

    Habarini, Yaani waumini wa kiafrika waliowengi ni maskini lakini wanajitoa kwa sadaka ili kujenga hospital8 na zhule za makanisa na miskiti ila wanalipia juduma zote kwa 100%. Kwanini watu wa Mungu hao wasio na uwezo wasitibiwe bure wakati makanisa na miskiti hailipi kodi? Wajinga ndiyo waliwao!!
  8. JamiiForums Tanzania Hali yangu baada ya kujibiidisha na kusoma na kufuatilia makala za kifalsafa

    Habari wanajf. Najihisi kuwa na furaha na amani tele.Nimejikuta ninaOVERCONFIDENCE hatari mbaya kabisa😀😀😀. Sielewi ni kwanini ila nametokea kuwa mpenzi wa makala na maandiko ya wanafalsafa wale watukutu,RADICALS. Baada ya kukutana na vitu ambavyo nimekuwa najiuliza maswali na kukosa majibu...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Ni chuo gani hapa Tanzania naweza kusoma course ya National Examination Board in Occupational Safety and Health (NEBOSH)?

    Wadau natafuta taasisi ambayo inatoa course ya National Examination Board in Occupational Safety and Health (NEBOSH) kwa hapa Tanzania. Ningependelea zaidi kusoma darasani sio online. Ila ikishindikana nitafanya hata online.
  10. M

    JamiiForums Tanzania kuna kifurushi kisichozidi elf 2 kwa mwezi cheny mb chache kwajili ya Gps Tracking, Kusoma email, Ving'amuzi, mashine za wakala, n.k. ?

    kuna vifaa au shughuli za mitandaoni zinahitaji mb chache sana, mfano gps ya gari inahitaji mb 60 tu kwa mwezi, kusoma emails maybe mb 80 tu kama hakuna attachments, kuna vingamuzi navyo vinahitaji mb chache kwajili ya updates, mashine za pos za miamala huhitaji kiasi kidogo cha data, n.k. ? je...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Baba Levo: Umeishi na Mwanamke ndani anakusingizia Ujauzito, wapo Wanawake amesomeshwa akishamaliza kusoma anamuona yule mwanaume hafai

    Mbunge wa Kigoma Mjini Clayton Revocatus (Baba Levo) akichangia hoja bajeti ya Wizara ya maendeleo ya jamii leo Juni 1, 2026 Bungeni Dodoma "Huwezi kuwa umeishi na mwanamke ndani, anakusingizia ujauzito unalea miezi tisa, anazaa mtoto unamlea mtoto anafikisha miaka kumi, baadaye mnakosana...
  12. JamiiForums Tanzania Msaada: Ni taratibu gani huwa zinafuatwa ioi mtumishi wa umma ili mtumishi wa umma kwenda kusoma nje ya nchi?

    Kuomba ruhusa kwa muajiri wako. Basi.
  13. JamiiForums Tanzania Usifuge Nguruwe bila Kusoma Uzi huu

    Wafugaji wengi hununua nguruwe bila mpango, wakidhani wote ni sawa — matokeo yake hujikuta wakifanya kazi kubwa bila faida ya kutosha. Kitaalamu, tofauti ya breed ndiyo huamua: 👉 kasi ya ukuaji 👉 gharama ya chakula 👉 ubora wa nyama 👉 na mwisho wake… faida au hasara Kama unataka ufugaji wa...
  14. JamiiForums Tanzania Mimi Napenda mno kusoma

    Starehe ya ubongo wangu na kilevi Cha kwanza ni kusoma.cha pili ni kulakula Cha tatu movie na mziki.vingine vitafuatia. Mie Niko addicted na kusoma tangu Niko mdogo hata kabla sijaanza shule.hata kabla sijaanza chekechea tayari najua kusoma na kumultiply,kujumlisha.kuna muda nlikuwa nasoma...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa nini watu mitandaoni wanacomment kwenye Posts ambazo in reality watu hawana muda wa kusoma comments

    Wakati mwingine naona watu wanapoteza muda sana kwenye comment za post za watu maarufu. Unakuta post ina comments elfu 10 au zaidi lakini bado mtu anaandika comment kana kwamba mwenye page atasoma kila kitu. Ukweli ni kwamba kwenye pages kubwa hasa reels na viral posts asilimia kubwa ya...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Karibu kusoma Jarida la Ofisi ya Waziri Mkuu, Toleo la 9 la Aprili 2026, linalopatikana kupitia tovuti ya www.pmo.go.tz.

    Karibu kusoma Jarida la Ofisi ya Waziri Mkuu, Toleo la 9 la Aprili 2026, linalopatikana kupitia tovuti ya www.pmo.go.tz.
  17. JamiiForums Tanzania Natamani sana hawa guest wote 43k wangekuwa registered members hapa JF

  18. M

    JamiiForums Tanzania Tuwazuie watanzania wanaokwenda kusoma nchi za Magharibi

    Tuwazuie watanzania wanaokwenda kusoma nchi za Magharibi. Sababu kubwa kutapelekea nchi zetu za Africa ktk matatizo makubwa za kiuharakati na kuleta matatizo makubwa. Zipo nch kama Japqn, Korea Kusini , Malaysia, indonesia zipo mbele sana kielimu, tuwapeleke huko
  19. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi Watoto wadogo (under 18) kusoma Biblia bila uangalizi wa Mwalimu wa dini?

    Salaam Wakuu, Watu wazima miaka 60 biblia bado hawaielewi, vipi watoto wadogo? Je, Biblia inaweza kuwwjenga watoto au kuwabomoa? Watoto wadogo wasome mambo Ufunuo, Walawi, Waamuzi, Ruth Samweli, Wimbo ulio bora nk. Kwa upande wangu naona si sahihi watoto kuachiwa Biblia wajisomee bila...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Bila uwajibikaji wa kweli, hizi ripoti ni kelele tu. Huu si wakati wa kusoma ripoti ya CAG na kusahau

    Ripoti ya CAG si habari mpya ni uthibitisho wa uzembe na ufisadi uliokithiri. Fedha za umma zinapotea, wananchi wanabaki na hospitali zisizo na dawa, shule duni, na miradi hewa. Bila uwajibikaji wa kweli, hizi ripoti ni kelele tu.Huu si wakati wa kusoma ripoti na kusahau.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…