kushinda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    Wazee wa mikeka, uliwahi kushinda kiasi gani kikubwa cha pesa?

    Mimi nilipata 756M, lakini hapa nilishinda mara kadhaa mfululizo, Nilianza kwa kushinda 6M nikaibetia yote nikashinda 37M nikaibetia yote nikashinda 109M nikaibetia yote nikashinda 756M, nikaibetia yote ikapigwa... Lengo langu lilikua ni kufikisha 1B na ilibaki mara moja tu. Kilichonisaidia...
  2. 888I

    Tulipika kwa maji ya Mafuriko baada ya kushinda na kukesha barabarani

    "Tulipika chakula kwa maji ya mafuriko" —Huu ni ushuhuda wa kusikitisha wa mmoja wa wasafiri waliokwama usiku kucha katika eneo la Korongo la Fisi, wilayani Simanjiro. Wasafiri hao waliokuwa wakisafiri kutoka Arusha kuelekea Kiteto kwa basi la Simanjiro Express, walifika eneo hilo majira ya saa...
  3. T

    Fahamu haya kuhusu vitambi, sababu zake na namuna ya kushinda

    Fahamu kitambi, maana yake,na sababh zake Kitambi hutokea kwa sababu mbili tu 1.Kula chakula kisicho kadiri yako Yani kula chako,Cha watoto,Cha mkeo na Cha jamii Yako matokeo yake ni kitambi kwaufupi ni Ubinafsi 2.MaumbIle ya mtu Kwaujumla asilimia zaidi ya 90 ya wenye vitambi ni matokeo ya...
  4. Think2

    Toka dunia iumbe hakuna raisi aliyewahi kushinda kwa asilimia 98%

    Mfano mzuri hapo uganda pamoja na kwamba museveni amekaa madarakani muda mrefu lakini uchaguzi huu ana asilimia approximation 78% japo kuwa na yeye ni janjajanja atleast kidogo sasa huyu wetu daah 98% kweli? Hahahaha Hizo takwimu lzm dunia ishituke haiwezekani na haitowezekana kamwe tume ya ccm...
  5. ELI COHEN

    Kushinda mamlaka ya nchi hizi 6 ni kuishindia amani ya dunia kwa ongezeko hadi la asilimia 85.

    1: Uturuki 🇹🇷 2: China 🇨🇳 3: Russia 🇷🇺 4: Iran 🇮🇷 5: Qatar 🇶🇦 6: Pakistan 🇵🇰 Hawa ndio baba wa syndicates za ugaidi, kupandikiza madikteta katika nchi masikini, uundaji wa vikundi vya kuharibu amani katika nchi, kuchonganisha jamii ili wajichukulie rasilimali na mambo mengine mengi ambayo...
  6. Allen Kilewella

    PostGE2025 Bila ya kutegemea dola CCM haiwezi kushinda uchaguzi

    Fikiria Sheria za uchaguzi ziwe Bora kuliko za sasa, wasimamizi wa uchaguzi wawe huru na wawajibike Kwa makosa ya kiuchaguzi watakayoyafanya. Wazia jeshi la polisi lisizuie au kuingilia shughuli za kisiasa za vyama pinzani kwa CCM wakati wa uchaguzi. Itokee kuwe na tume huru ya uchaguzi...
  7. TIASSA

    Hivi kuna yeyote aliyewahi kushinda bahati nasibu ya Gesi ya Orxy?

    Ni miezi kazaa SASA tangu promosheni hii ya Gesi yente Kwangua ushinde imepita, ila sikuwa kusikia mtu kashinda hata kikombe, Kwa zile zawadi walizo weka pale kwenye ile sticker . Je, wakuu kuna yeyote aliyewahi kushinda?
  8. Carlos The Jackal

    Maandamano yapo palepale ni makubwa mno kushinda Okt 29.

    Toeni vitisho sanaaa Toeni matangazo Tumieni Propagandaaa Masheikh na Uhuni wa Dini ulioshindwa. Mapolisi wazunguke Kila Kona na Wanajeshi Kagueni vitambulisho Tangazeni hali ya Hatari Oyaaa ,tumeshawaacha mbali sanaaaa , ,Sisi ni Watanzania wenye Akili nyingi, tuloamua Ku exercise Uwezo wetu...
  9. Mad Max

    McLaren wamepokonywa point kwenye Las Vegas GP. Nafasi ya Max Verstappen kushinda taji la Driver Championship bado kubwa!

    Formula One sio kama michezo mingine, ambapo kipyenga kikipulizwa basi mchezo umeisha, kwamba ata makosa yakionekana baadae basi hamna namna kwani mchezo ushamalizika. Sasa, F1 mkimaliza race, mshindi akatangazwa, magari yanaenda kukaguliwa kuonesha kamakuna cheating yoyote imefanyika. Sasa...
  10. stakehigh

    Hongera Clement Mzize kushinda Goli bora (CAF)

    Mshambuliaji wa Yanga Clement Mzize amefanikiwa kushinda goli bora la mwaka Afrika
  11. baz kaiza

    Bila kujali Umri wako unatokea wapi ni Mda wa kupambana Kuondoa vyombo vya Dola mikononi mwa wahuni viwe huru.

    Bila kujali unatokea wapi una umri gani ni mda kupambana kuondoa vyombo vya dola mikononi mwa wahuni. Tafadhali sana nilikua sijawahi kupata mda wa kuangalia clips za...
  12. M

    Kuzoea kushinda kwa kulazimisha ushindi kuna hasara zake, na zaidi ushindi wa kishindo athari zake kwa mshindi huwa ni kuogopa vishindo

    Hakika ya ushindi wa namna hii ni kwamba, ushindi huo hauwezi kumwondolea mshindi huyo hofu ya kwamba naye anaweza kuondolewa kwa kishindo Hofu ya kulazimisha ushindi huwapokonya washindi bandia waliopo madarakani imani ya wapiga kura. Hivyo basi, washindi bandia hujitahidi kujijengea imani kwa...
  13. FestoKaguo

    Jinsi ya Kushinda Tabia ya Kuishia Njiani Unapoanza Kitu

    Hello habari njema kwa wana JF wote na leo hii naandika hii thread nikiwa kama mmojawapo wa wahanga ambao nishawahi pitia hiki kitu unakuta kuna wakati mtu anakuwa na shauku kubwa ya kuanza jambo jipya au kufanya kitu kipya kama kusoma kozi, kufungua biashara ndogo, au hata kufanya mazoezi...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    Malengo makuu ya Vita ni Kuishi na kushinda; sio kujitoa mhanga

    MALENGO MAKUU YA VITA NI KUISHI NA KUSHINDA; SIO KUJITOA MHANGA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Unapoingia kwenye vita yoyote jambo la kwanza unapaswa kuangalia uwezekano wa kuishi upo. Kuyalinda maisha yako. Hilo ndilo jambo la kwanza. 2. Jambo la pili, kama uwezekano ni mdogo je kuna...
  15. Abraham Lincolnn

    Nina uhakika 100% hata ikitokea Samia akalazimisha kuingia ikulu, hatokamilisha miaka mitano

    Kwa hali hii iliyopo,Na kwa experience ya miaka minne iliyopita, Hata endapo ikatokea mgombea huyu wa CCM akapita kimagumashi, itakuwa vigumu mno kutoboa miaka mitano, lazima kutakuwa na chaos hapa katikati. Mark this thread. TUTAKUWEPO
  16. OLS

    BoT kushinda award ya Global inclusion ni sahihi au ni uchawa wa kimataifa?

    Benki Kuu ya Tanzania imeshinda Global Award of Financial Inclusion. Ikumbukwe Tanzania sio nchi inayoongoza kwa unafuu wa Financial Inclusion tozo nyingi, na namna ambazo zinazidi kufanya watu wasipende kutumia namna za kidigitali za kutuma fedha. Haya mambo haya yananistaajabishaga sana basi...
  17. KOROSHO BOMBA

    "Njia Bora ya kushinda ni kumdhoofisha mpinzani wako"

    "The best way to win is to weaken your opponent(s)". Hii ndio mbinu wanayotumia mataifa makubwa kama Urusi kupambana na maadui zao wakubwa kama Marekani kwa kuwapora majajusi wao Bora. Mbinu hii pia ilikua inatumiwa na viongozi wa Simba SC kipindi kile Cha Hans Pope na Manara kwa kupora...
  18. Kingsmann

    Miaka 10 ijayo, Wapakistani watakuwa wengi nchini Denmark kushinda Wadenmark wenyewe

    Hiyo yote inasababishwa na Wapakistani kuzaa watoto wengi zaidi kushinda Wadenmark wazawa. Wakati Wadenmark wanazaa mtoto 1 au 2, Wapakistani wao wanafyatua kuanzia 5 na kuendelea. "We have 5 children while you have 1 or 2. In 10 years, there will be more Pakistanis than Danes here. There...
  19. SSH2025_2030

    GE2025 Ikiwa CCM wana uhakika wa kushinda, Uchaguzi ni wa nini tena?

    Kama CCM tayari; 1. Tuna tume Huru (Mwenyekiti, Mkurugenzi wa Uchaguzi, Makamishna wote wameteuliwa na mgombea mojawapo), 2. Polisi wapo wanatubeba kila hatua, 2. Pesa (Tsh Bilioni 86 imetulia kwenye akaunti Kuu ya Chama) kwa nini tukafanye tena uchaguzi? Tupoteze tena mabilioni?
  20. Genius Man

    Samia au mtoto kwa kikwete walikuwa wana nafasi nzuri ya kushinda uraisi kwa haki sio kwa njia hii wanayoitumia

    Katika uhalisia samia alianza vizuri na alikuwa na njia zote za kujenga akubalike kama raisi ambapo hata tungeweka tume huru angeshinda lakini amefanya makosa na amechagua njia mbaya inayomchafua kwenye sura za nchi na za kimataifa njia mbaya sana. Mtoto wa raisi mstaafu kikwete pia alikuwa na...
Back
Top Bottom