stakehigh JF-Expert Member Joined Aug 9, 2019 Posts 35,319 Reaction score 33,841 Nov 19, 2025 #1 Mshambuliaji wa Yanga Clement Mzize amefanikiwa kushinda goli bora la mwaka Afrika Your browser is not able to display this video.
Mshambuliaji wa Yanga Clement Mzize amefanikiwa kushinda goli bora la mwaka Afrika Your browser is not able to display this video.
ngara23 JF-Expert Member Joined Aug 31, 2019 Posts 16,681 Reaction score 39,076 Nov 19, 2025 #2 Kweli wanazengo wana hasira na huyu Kizimkazi Watu wanaitamani D9 Anyway hongera sana Mzize
stakehigh JF-Expert Member Joined Aug 9, 2019 Posts 35,319 Reaction score 33,841 Nov 19, 2025 Thread starter #3 ngara23 said: Kweli wanazengo wana hasira na huyu Kizimkazi Watu wanaitamani D9 Anyway hongera sana Mzize Click to expand... wafanya biashara, mapolisi wanawatamani zaidi anzeni mapema
ngara23 said: Kweli wanazengo wana hasira na huyu Kizimkazi Watu wanaitamani D9 Anyway hongera sana Mzize Click to expand... wafanya biashara, mapolisi wanawatamani zaidi anzeni mapema
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,798 Reaction score 110,010 Nov 19, 2025 #4 Bahati mbaya hakuwepo kupokea tuzo yake sababu ya kufanyiwa upasuaji... Ila lile kombora lilikuwa koma mwana...
Bahati mbaya hakuwepo kupokea tuzo yake sababu ya kufanyiwa upasuaji... Ila lile kombora lilikuwa koma mwana...
stakehigh JF-Expert Member Joined Aug 9, 2019 Posts 35,319 Reaction score 33,841 Nov 19, 2025 Thread starter #5 Watu8 said: Bahati mbaya hakuwepo kupokea tuzo yake sababu ya kufanyiwa upasuaji... Ila lile kombora lilikuwa koma mwana... Click to expand... Tumuombee apone haraka arudi kwenye majukumu yake ya kuchukua goli bora kila.mwaka
Watu8 said: Bahati mbaya hakuwepo kupokea tuzo yake sababu ya kufanyiwa upasuaji... Ila lile kombora lilikuwa koma mwana... Click to expand... Tumuombee apone haraka arudi kwenye majukumu yake ya kuchukua goli bora kila.mwaka
ngara23 JF-Expert Member Joined Aug 31, 2019 Posts 16,681 Reaction score 39,076 Nov 19, 2025 #6 stakehigh said: wafanya biashara, mapolisi wanawatamani zaidi anzeni mapema Click to expand... Polisi wa Zanzibar?
stakehigh said: wafanya biashara, mapolisi wanawatamani zaidi anzeni mapema Click to expand... Polisi wa Zanzibar?
stakehigh JF-Expert Member Joined Aug 9, 2019 Posts 35,319 Reaction score 33,841 Nov 19, 2025 Thread starter #7 ngara23 said: Polisi wa Zanzibar? Click to expand... utajua uko mbelen cha muhimu tuwapake mafuta
ngara23 JF-Expert Member Joined Aug 31, 2019 Posts 16,681 Reaction score 39,076 Nov 19, 2025 #8 stakehigh said: utajua uko mbelen cha muhimu tuwapake mafuta Click to expand... laZima Tanganyika upate uhuru Tumechoka na utekaji, mauaji na ufisadi
stakehigh said: utajua uko mbelen cha muhimu tuwapake mafuta Click to expand... laZima Tanganyika upate uhuru Tumechoka na utekaji, mauaji na ufisadi
stakehigh JF-Expert Member Joined Aug 9, 2019 Posts 35,319 Reaction score 33,841 Nov 20, 2025 Thread starter #9 ngara23 said: laZima Tanganyika upate uhuru Tumechoka na utekaji, mauaji na ufisadi Click to expand... mtapata wala usijali, ata wale waliopo mwananyamala si wamepata uhuru wao ila hawa wa dec 9 watapata uhuru uku wamepakwa mafuta picha zikiwa zinangaa
ngara23 said: laZima Tanganyika upate uhuru Tumechoka na utekaji, mauaji na ufisadi Click to expand... mtapata wala usijali, ata wale waliopo mwananyamala si wamepata uhuru wao ila hawa wa dec 9 watapata uhuru uku wamepakwa mafuta picha zikiwa zinangaa