Mamlaka za Ghana zinachunguza kifo cha Mwanaume mmoja kilichotokana na kushambuliwa na Simba katika bustani ya Wanyama Jijini Accra ikidaiwa alikuwa na lengo la kuiba Watoto wa Simba.
Uongozi wa bustani hiyo umesema uchunguzi wa awali umeonesha marehemu aliruka ukuta wa futi 10 kisha wa futi 20...
Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imedai kuwa wafanyakazi wake walitaka kushambuliwa na kundi la watu waliokuwa wana silaha, jana Saa 2:30 Usiku, Agosti 22, 2022 lakini ilishindikana kutokana na ulinzi kuwa imara katika ofisi hizo.
“Walitaka kuvamia wakati wafanyakazi wetu wakiandaa majibu...
Baraza la Habari la Kenya (MCK), limewataka Polisi kuchunguza kwa haraka mashambulizi dhidi ya Wanahabari, kuelekea uchaguzi Mkuu wa Agosti 9, siku chache baada ya kushambuliwa kwa Mwanahabari wa Nation Media Group, Ian Byron
Mwanahabari huyo mnamo Julai 10, anadaiwa kushambuliwa na watu...
Estonia imelalamika kuwa Urusi inapanga kuishambulia nchi hiyo (Estonia-nchi mwanachama wa NATO) kwa mvua za makombora. Malalamiko yamegusia kuwa Urusi iko inafanya missile simulations juu ya namna ya kuichapa makombora Estonia.
Estonia imekuwa na mdomomdomo mrefu ktk kipindi hiki cha...
Wakuu,
Nahisi Jeshi letu la Polisi limenajisiwa. Bora IGP Sirro ajiuzulu kama ameshindwa kuwatetea na kuwalinda Askari wake. Namshauri Sirro awatetea Askari wake Wanyonge kuliko kujipendekeza kwa Wanasiasa. Nilikuwa Nasikia Sirro ni Mlokole, lakini Ulokole wake nina mashaka nao sababu anautumia...
Watu watatu wakazi wa kijiji cha Mahurunga kilichopo wilayani Mtwara, Mkoani Mtwara wamefariki baada ya kushambuliwa na nyati wakiwa shambani
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoani humo ACP Nicodemus Katembo ametoa taarifa hiyo wakati akizungumza na Waandishi wa Habari ambapo ameeleza kuwa tukio hilo...
Akijibu swali la mtangazaji wa ITV Midle kuhusu uchunguzi ulipofikia kwenye tukio la kushambuliwa Tundu Lisu mbunge by then mh Simbachawene amesema yapo matukio mengi ya kutumia silaha yanayochunguzwa na hilo la Tundu Lisu siyo special ni uhalifu kama mwingine hivyo yote yanashughulikiwa kwa...
Mpaka kufikia mwaka 2022 bado mataifa mengi ya Kiafrika yanaonekana kuwa nyuma katika ya kuweka mikakati thabiti itakayowezesha usalama wa mitandao katika nchi zao. Kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia wananchi wengi pamoja na serikali za Kiafrika zinatumia vifaa vya kidijitali katika...
Ukitulia kabisa na kama tokea mwanzoni umeangalia Kesi ilivyoanza na inavyoenda huhitaji Akili Kubwa sana kujua kuwa ni Kesi ya 'Kimkakati' zaidi na lazima lililopangwa litokee.
Kwa nia njema tu nikaja na Threads zangu Mbili ( ambazo hata hivyo mpaka leo sijui kwanini ziliunganishwa au kufutwa...
Hii ni baada ya Taarifa kuanza kuzagaa nchini humo kwamba Rais huyo anayemaliza muda wake kutoka chama cha Patriotic Front ameangukia pua .
Edgar Lungu Rais aliyejipa utukufu wa kimungu kwa kupenda kuabudiwa kama walivyo Marais wengi duni wa Nchi za kiafrika, anayesifika kwa kuleta umasikini...
Hili suala na wao wanalijadili kumbe:
Kumuhusu Chacha Wangwe pia nimeyasoma na kuyasikia katika vimijadala Mbalimbali. Lakini pia nimekumbuka taarifa ya awali ya Jeshi la polisi baada ya kumkamata walisema anatuhumiwa pia kwa "Attempts" ama kwa tuhuma za mauaji ya Viongozi. Yawezekana Jeshi...
Wakulima wa mbaazi wailaya ya Tunduru Kijiji cha Tulieni, juzi tarehe 5/7/2021 walimshambulia DC wa Tunduru kwa mawe mpaka akalazimika kuwahita polisi toka mjini Tunduru. Wakulima wengi wanalalamikiia kuingizwa zao la mbaazi kwenye mfumo wa stakabadhi ghalani tafauti na ahadi ya naibu waziri wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.