MBINGU ZIMENIRUHUSU KUSEMA
Baada ya kimya cha muda mrefu, hatimaye ibada ya Sabato ya leo nimesikia sauti ya ujumbe wa Mungu ikisema;
"Fili mi loqui ad salvandum populum meum"
(Mwanangu zungumza watu wangu wapone..)
Hivyo kesho, Jumapili, saa 6 :00 mchana, natarajia kuzungumza na viongozi wa...