Rio Ferdinand anatuhumiwa anatumika kufanya sportswashing kusafisha na kuyafanya mauaji ya Oct/29 kua halali kwa kupitia michezo naona mijadala imeanza huko times pia wamepost
Reddit watu wanadisciss unajua zile Zama za kuficha ficha mambo zimeisha watu wengi tunaelewa vitu vinavyoenda
Habari wakuu,
Najua unaweza kuhisi kama ni swala la utani, lakini nataka niwambie huu sio muda wa kuleta utani tena kila tunapo ona fursa. Mimi kwangu naiona fursa ya biashara ya kujenga kiwanda kikubwa cha kuchakata kemikali za mafuta (Petrochemical Plant) jijini Tanga.
Yaani fursa ipo hapa...
Bilionea Aliko Dangote ametangaza mpango wake wa kujenga kiwanda cha kusafisha mafuta (refinery) Afrika Mashariki.Tanga, Tanzania
Akizungumza katika mkutano wa Africa We Build Summit 2026 uliofanyika Nairobi siku ya Alhamisi, Dangote alisema kuwa kiwanda kinachopendekezwa kitakuwa na uwezo wa...
Nimeona Dangote anawashawishi kina Museveni na Ruto kwamba Yuko tayari kujenga Kiwanda Cha Mafuta chenye Ukubwa kama kile Cha Nigeria kwenye Bandari ya Tanga ikiwa atapata ushirikiano kutoka Uganda na Kenya japo haijawekwa wazi ni ushirikiano wa kupata soko au wa fedha au source ya Mafuta.
Kwa...
Habari wakuu,
Najua unaweza kuhisi kama ni swala la utani, lakini nataka niwambie huu sio muda wa kuleta utani tena kila tunapo ona fursa. Mimi kwangu naiona fursa ya biashara ya kujenga kiwanda kikubwa cha kusafisha mafuta Tanga.
Yaani fursa ipo hapa tutakua tunanunua mafuta yanayopita...
Wanaukumbi.
Baada ya zaidi ya saa 12, udhibiti wa Israel unasema "iliruhusu" kuchapishwa kwa athari ya kombora la Iran karibu saa 1 asubuhi huko Haifa,
https://x.com/aryjeay/status/2035001330511569060?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Uzi wangu uliopita umefuta, ila lazima haki ipiganiwe
Mnakumbuka hii picha kwenye hii ziara
Matokeo yake ni kuwa Manchester United ilipewa tender ya karibu dola million 19 sawa na TZS billioni 50 kupromote vivutio vya Utalii Tanzania
Hii ni summary ya huu mkataba
Company: MANCHESTER UNITED...
Leo tarehe 11 Januari 2026, Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limetangaza mechi ya kirafiki itakayochezwa majira ya saa 10:00 jioni katika uwanja wa Manispaa ya Kinondoni (KMC), Mwenge. Mchezo huo unawakutanisha timu ya Tanzania Sport Influencer—iliyoundwa na mashabiki wa Azam, Simba na...
Wanabodi,
Huu ni muendelezo wa ushauri wangu kwa serikali yetu, anzia hapa Ushauri kwa Serikali: Tangazeni hata idadi ya uongo ya waliofariki. Gazeti la “The Sun” limeiita Tanzania HOUSE OF BLOOD
Ili kuisafisha nchi yetu Tanzania Kimataifa, dhidi ya kadhia ya kile kilichotokea kwenye yale...
Kama tunavusoma historia ya Nyerere na wenzake kutafuta Uhuru na kuingia madarakani bila umwagikaji wa damu ,
Ndivyo watoto wetu watasoma historia ya Mama Samia kuingia madarakani kukiwepo umwagikaji wa damu,
Wataenda mbali zaidi na kujiuliza baada ya hapo alichukua hutua gani baada ya mababu...
Ukiangalia hisoria ya wanasiasa na wasio wanasiasa, Wanajiingiza ktk kufurahisha umma kupitia michezo, ili kuwasahaulisha juu ya matendo yao machafu. Historia inao watu wengi wa aina hii na wengine huenda wamejulikana kuliko wengine.
Pablo Escobar, muuza cocain mashuhuri wa dunia, alijihusisha...
Ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta (Oil Refinery) mkoani Tanga si ndoto tena, bali ni fursa halisi ya uwekezaji wa kimkakati inayo kusubiri. Uwepo wa Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki EACOP kutoka Hoima (Uganda) hadi Tanga ndio kichocheo kikuu kitakachopunguza gharama za...
.
Karibu binti na mwana wa mama Afrika.
Ukiingia katika maandiko Subconscious Mind inaitwa moyo au roho.
Ukisikia fulani ana roho/moyo mzuri au mbaya ina maana hizo sifa zimejaa katika Subconscious mind yake.
Na ndiyo maana ya kauli ya Yesu kusema kimuingiacho mtu si najisi bali kimtokacho...
Bodi ya Maji Bonde la Wami Ruvu, wameanza zoezi la kufukua Mto Ngerengere katika eneo la Mazimbu Manispaa ya Morogoro.
Akizungunza wakati wa zoezi hilo Afisa wa Maji Bonde la Wami Ruvu Kidakio cha Ngerengere, Mhandisi Nangu Makula amesema zoezi hilo litaenda umbali wa mita 900 kutoka Mazimbu...
Niko napiga jalamba humu beach ya Mbezi Beach kwa kweli hizi FUKWE ni chafu sana. Ni bahati mbaya pia kwamba hizi ndio FUKWE zilizopo ukanda wenye Mahoteli ya Kitalii kama vile White Sands, Ramada, The Waves, Landmark nk....Mkuu wa Mkoa wa Dar hili ni la kulivalia njuga kama mlivyofanikiwa Coco...
Makamanda kama kweli itatokea mtaanza kupokea pesa huko Majimboni kwenu kutoka kwa Freeman Mbowe basi ondoeni mashaka kabisa kuwa Mwenyekiti wenu tayari ni mtu wa Serikali na nirafiki wa watesi wenu lazima aogopwe kama ukoma.
Freeman Mbowe amekuwa akilalamika uongozi huu ni mgumu na hauna...
Afisa Habari wa Yanga SC, Ali Kamwe, ameongoza shughuli ya kusafisha Uwanja wa KMC Complex, hatua inayokuja mara baada ya klabu hiyo kutangaza rasmi kwamba itautumia uwanja huo kama uwanja wake wa nyumbani kwa mechi zote zilizobaki za Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2024/25.
Soma, Pia: Gamondi hana...