kurekebisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Unaamini kufanya Surgery kurekebisha maungo ya mwili ni dhambi?

    Leo Mjanja M1 nimetafakari sana juu ya hili suala, Kumekuwa na watu wanarekebisha mpangilio wa meno yao kwa surgery hawalalamikiwi, lakini wanaobadilisha Maumbile eg. Wanawake Wowowo wanasakamwa sana. Au waumini mnachagua madhambi baadhi?
  2. P

    SoC04 Maoni juu ya kurekebisha miundombinu ya kiafya (vyoo na takataka)katika mosoko ya jumla Dar-es Salaam, hasa Soko Kuu la Ilala

    Tanzania, kama nchi ambayo ukuaji wake wa kiuchumi unategemea sekta mbalimbali basi Masoko ya jumla yana nafasi kubwa na chanya katika pato la Taifa, kwani ukusanyaji wa mapato huwa ni kwa kiasi kikubwa katika masoko kulingana na shughuli mbalimbali zinazofanyika. Pamoja na faida kubwa ambazo...
  3. Viongozi na kuhangaika kurekebisha mambo wanapotembelewa na viongozi ngazi za Juu

    Ukistaajabu ya Mussa utaona ya viongozi wakiwa na hekaheka za kurekebisha mambo yao wakijua watatembelewa na viongozi ngazi ya juu, utajionea vituko vya mahangaiko yao wakati siku zote walikuwa wamekaa kama hawaoni kuna kasoro au hawahusiki na kurekebisha. Utapigwa butwaa kama ni barabara...
  4. Kurekebisha Redio ya gari Panasonic Strada

    Wakuu kwema? Nimekutana na changamoto kutumia redio iliyopo kwenye gari (ilikuja na gari) aina ya Panasonic Strada kwani hai-respond chochote na inaonekana inatakiwa kuwa na SD card ambayo kwasasa haipo. Je, kuna namna ya kuifanya redio hii ipige kazi fresh?? Ikiwa on inakua na muonekano kama...
  5. Wapi pa kurekebisha Thamani hii?

    Wakuu habari za majukumu.Mtaalam àmenipa hii draft ya ramani.Naomba Maombi wapi pa kurekebisha.Niayangu ni Nyumba ya Vyumba 4 Vyote Self,inaweza kutumika Kijijini lakini watu wakiondoka inakodishwa kama AirBnB/Apartment Kwa anayehitaji. Ahsante
  6. J

    Serikali yatoa Tsh. Bilioni 66 Kurekebisha Miundombinu iliyoharibiwa na mvua

    Serikali ya Tanzania imetoa Jumla ya shilling billion 66 Ili kurekebisha Miundombinu iliyoharibiwa na mvua Fedha hizo zimegawanywa Kwenye mikoa Yote iliyoathirika --- Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetoa Bilioni 66 kwa ajili ya kuanza urejeshaji wa miundombinu ya barabara...
  7. L

    Hadithi ya mafanikio ya Huawei ni muhimu katika kurekebisha mandhari ya uchumi wa dunia

    Hivi karibuni, kampuni kubwa ya teknolojia ya China, HUAWEI, ilitoa ripoti yake ya mwaka 2023, ambayo inaonyesha kuwa operesheni za kampuni hiyo kwa ujumla zilifikia malengo, na kutimiza mapato yanayotokana na mauzo kote duniani ya dola za Marekani bilioni 99.18, na faida ya jumla ya dola za...
  8. F

    Matatizo mengi tuliyonayo nchini leo yameanzia na awamu ya tano; hapakuwepo na uhuru wa kusema wala kurekebisha mambo, sasa tunalipa kwa maumivu

    Sorry ni awamu ya 5 ya bullzoda sio ya nne! Awamu ya 4 ilikuwa baba wa demokrasia. Kabla ya 2015 angalau kulikuwa na uhuru wa kusema, ukweli ulijulikana na uliachwa usemwe kwa kiasi kikubwa, na wataalamu waliachwa watumie taaluma yao kutoa miongozo, lakini alipokuja Magufuli yeye aligeuka kuwa...
  9. S

    Nawezaje kurekebisha jina katika vyeti vya sekondari na vyuo

    Wanajamii naomba msaada, Mi ni mmoja wa watu ambayo majina yetu yalikosewa wakati wa majibu ya darasa la saba, assume jina lako ni Hassan wakati wa matokeo ije Hassanae, kiukweli naboreka mno, nimesomea jina Hilo Hilo Hadi nikamaliza chuo, Sasa nimeanza masters nje jina linatokezea like lile...
  10. Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria, George Mandepo awekwa wakfu kuwa Shemasi

    Miezi kadhaa iliyopita Rais wa JMT alimteua George Nathanael Mandepo kuwa Katibu mtendaji wa tume ya kurekebisha sheria. Leo tarehe 25 January baba Askofu wa Kanisa Anglikana Tanzania dayosisi ya Dar es salaam Rev Jackson Sosthenes Jackson amemuweka Wakfu Adv Mandepo kuwa Shemasi (mchungaji)...
  11. PreGE2025 Makonda kutoa Katapila 20 kusaidia kurekebisha barabara za Jimbo la Kawe

    Katibu wa Itikadi , Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Paul Makonda leo Januari 19, 2024 ameahidi kukabidhi katapira 20 kwa mbunge wa jimbo la Kawe, Josephat Gwajima kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa barabara. Makonda ametoa ahadi hiyo kutokana na wananchi wa jimbo hilo kulalamikia ubovu wa...
  12. Kenya kujiondoa katika makubaliano ya uingizaji wa mafuta na Saudi Arabia

    Nchi ya Kenya inatafuta kujiondoa katika makubaliano ya Serikali kwa Serikali (G2G) na Saudi Arabia ikieleza kuwa inaleta upotoshaji kwenye soko la ubadilishaji wa fedha na kukiri kwamba imekosa kulegeza shinikizo kwenye dola. Makubaliano ya G2G yaliyoanzishwa na Rais William Ruto mwezi wa...
  13. Kwa anayeweza kurekebisha android radio ya kwenye gari

    Habari zenu wakuu , kama Kuna fundi anaeweza kurekebisha hii redio anitafute pm, mm nipo Dar so na yeye awe Dar Shida yake ni ukiiwasha inawaka izi taa za pembeni pekee
  14. Jinsi ya kumsahihisha mwenzi wako

    1. Usimsahihishe mwenzi wako hadharani mbele ya umma au kundi la watu, Inamfanya aone aibu. 2. Usimfokee au kumkaripia mwenzi wako unaporekebisha. 3. Usitumie maneno kama "Hautawai...", au "Wewe kila mara...". Kufanya hivyo ni kuchochea visa. Tumia maneno kama "Sidhani kama ilikuwa sawa...
  15. Makosa tunayotakiwa kurekebisha kama nchi

    makosa tunayotakiwa kurekebisha Kama nchi, kwa baadhi, ni kama ifuatavyo: 1. kutokuwa na mfumo rasmi wa kiuchumi. Katiba yetu ya mwaka 1977, ibara ya 3 (1) inaitambua Tanzania Kama nchi yenye mfumo wa kijamaa. Hivyo Tanzania kisheria inafuata mfumo wa kiuchumi wa kijamaa, lakini ukija kwenye...
  16. Kurekebisha mkataba wa DP World, hongera Rais Samia

    Rais Samia Suluhu Hassan Nikiwa mmoja wa members wa JF nilyepinga sana mkataba wa awali kati ya nchi yetu na DP World, nachukua nafasi hii kumpongeza Mama Samia. Pongezi zangu zinazingatia vipengele kadhaa: - Watanzania wengi tunapenda uwekezaji na nchi iweze kuvutia mitaji toka kote duniani...
  17. Hospitali ya Mloganzila yaanzisha huduma ya kurekebisha 'shape' ya mwili

    Swali: Je, Serikali imeridhia Kuruhusu kuanza kutoa Huduma kama hizi zinazoharibu Maadili ya Nchi na dini? Aisee Kwa Sasa kuja kupata binti natural itakuwa ni Mtihani. -- Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila kwa mara ya kwanza nchini itafanya huduma za kibingwa bobezi za upasuaji wa...
  18. Wadau wa habari wakutana na Tume ya Kurekebisha Sheria Zanzibar

    Mkurugenzi wa Chama cha Waandishi wa Habari Tanzania (TAMWA ZNZ) Dkt. Mzuri Issa amesema kuwa ni muhimu kuwa na sheria nzuri za habari ambazo zinapelekea kuwepo kwa uhuru wa habari na uhuru wa kujieleza kwa jamii. Amesema hayo wakati wa mkutano wa kutoa mapendekezo ya marekebisho ya sheria ya...
  19. Rais Samia ateua Katibu Mtendaji wa Tume ya Kurekebisha Sheria

    iyeteuliwa ni George Nathaniel Mandepo akichukua nafasi ya Griffin Venance Mwakapeje aliyeteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu Pia, Rais amemteua Dkt. Saudin Jacob Mwakaje kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA). Dkt. Mwakaje ji Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam...
  20. Serikali yafuta mapendekezo ya kuzifanyia Marekebisho ya Sheria zinazohusu Umiliki wa Maliasili

    Serikali imeyaondoa mapendekezo yaliyopelekwa Bungeni ya kufanya marekebisho ya sheria ya Sheria ya Mamlaka ya Nchi Kuhusiana na Umiliki wa Maliasili ya mwaka 2017 na Sheria ya Mapitio na Majadiliano Kuhusu Masharti Hasi Katika Maliasili ya nchi ya mwaka 2017 kuwa zisitumike katika miradi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…