kura

Rúben de Almeida Barbeiro (born August 21, 1987 in Leiria), better known by his stage name KURA, is a Portuguese electro house DJ and record producer. Kura has released tracks through labels such as Hardwell's Revealed Recordings, Flashover Recordings, Musical Freedom, and Spinnin' Records, among others.

View More On Wikipedia.org
  1. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Juma Nature: Wananchi wenzangu tukapige kura, tusirubunike kuandamana

    Huyu nae washampa laki moja na sado ya dagaa, miaka yote kapotea kwenye game sasa hivi anatupigia kelele za kupiga kura.
  2. R

    JamiiForums Tanzania Je, askari wetu watapiga kura uchaguzi huu 2025?

    Salaam! Katika chaguzi zilizopita, askari baada ya foleni kwisha, askari nao walipata fursa ya kupiga kura Katika vituo walivyosimamia usalama kwa uwazi kabisa Kisha wakaendelea na majukumu yao kana kawaida. Uchaguzi huu ni tofauti, Kila kukicha tunaona wanafanyishwa mazoezi kwa tetesi za...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Zoezi la kuhesabu kura linaendelea Cameroon huku Upinzani wakilalamika kupewa vitisho

    Zoezi la kuhesabu kura linaendelea nchini Cameroon kufuatia uchaguzi wa urais uliofanyika Oktoba 12, 2025, ambapo Rais aliyepo madarakani, Paul Biya, anatafuta kuendelea kushikilia madaraka baada ya miaka 43 uongozini. Biya, mwenye umri wa miaka 92 na anayejulikana kama Rais mzee zaidi...
  4. L

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt Samia: Wasiwatishe kwenda Kupiga Kura ,Tumejipanga Kuwalinda

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge. Ametoa kauli nzito na yenye kuleta furaha na tabasamu kwa...
  5. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ulega: Hata mkiyaona magari ya polisi yanapita msiogope, tokeni mkapige kura

    Mgombea ubunge wa Mkuranga kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Abdallah Ulega "Serikali imejipanga vizuri kuhakikisha kwamba watu watakwenda watapiga kura kwa salama na amani, ukishamaliza kupiga kura yako rejea nyumbani subiri mambo mengine. Hata mkiyaona magari ya polisi yanapita...
  6. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Wananchi tujitokeze kwa wingi kuwapigia kura mafisadi barabarani, ikulu, na bungeni

    Wananchi tujitokeze kwa wingi kuwapigia kura mafisadi barabarani, ikulu, na bungeni, Sisi tutawapa kura za kutosha kama wanavyotaka.
  7. D

    JamiiForums Tanzania KERO Jumbe nyingi za “Jitokeze kupiga kura tarehe 29 Oktoba 2025” kila siku!

    Habari za asubuhi ndugu zangu! Nimekuwa nikisumbuliwa na jumbe nyingi kwenye simu yangu zenye ujumbe unaofanana huu: ‎ ‎“Jitokeze kupiga kura tarehe 29 Oktoba, 2025 kumchagua Rais, Mbunge na Diwani. Kura yako ni haki yako.” ‎ ‎Huu ujumbe umekuwa ukijirudia mara kwa mara kwa siku tofauti, na...
  8. Trainee

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wanakusudia kuandamana siku ya uchaguzi: Tupige kura wanaounga mkono maandamano hayo na wanaoyapinga

    Nakusudia maandamano yale yenye lengo la kupinga zoezi la uchaguzi Kama ni hoja watu wametoa hoja zao sana na kama ni elimu watu wametoa elimu ya kutosha juu ya jambo hilo. Sasa tufanye tathmini ndogo hapa kila mtu aoneshe upande wake anaochagua kwamba anaunga mkono au haungi mkono maandamano...
  9. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Professor Lipumba: Oktoba 29 kura zitahesabiwa kama zilivyopigwa

    Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba ametoa wito kwa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kuhakikisha kuwa kura za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 zinahesabiwa na kutangazwa kama zilivyopigwa na wananchi. Profesa Lipumba ametoa kauli hiyo jana, Oktoba 5, 2025...
  10. heartbeats

    JamiiForums Tanzania Kuitwa kwenye Usahili wa Wasimamizi,makarani wa vituo vya kupiga kura 2025

    Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi huko nchini Tanzania imeanza kutoa majina kwa wilaya tofauti kwa ajili ya usahili , wasimamizi wa uchaguzi ngazi za wilaya watakuwa na jukumu la kuwafanyia usahili Baadhi ya wilaya majina yapo zinaendelea kutolewa
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nimetoka kuangalia fujo za mwendo kasi, nimenotice kitu muhimu sana

    Nimetoka kuangalia fujo za mwendo kasi, nimenotice kitu muhimu sana. Polisi wa Tanzania hawana utayari na hawatoshi kuzuia maandamano makubwa ya ghafla. Sasa swali langu la msingi sana, ikitokea hawa Wananchi wakaamua kufanya fujo vituo vingi vya kupigia kura, ofisi za serikali kadri...
  12. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania GE2025 Oktoba 29: UTATIKI au UTATOKA? Weka kura yako hapa!

    Mambo ni faya.. Mahitaji ya nyakati yamefanikiwa kutuundia makundi mawili kinzani 1. Wa kutiki 2. Wa kutoka Leo ni October mosi.. Kilele kitakuwa October 28.. Siku ambayo itatupa uhalisia wa 29.10.2025 Namna ya kupiga kura 1. Tunatiki 2.Tunatoka Au 1. ⚒ 2.✌🏿 NB: Kura za mitandaoni huamua...
  13. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwani anahitaji kura ngapi ili awe mshindi wa urais Tanzania?!

    Nchi hii haina kiwango cha kura ili mtu awe mshindi. Hata akipata kura milioni 1 anatangazwa mshindi. Hivyo ili kumzuia lazima kuwa na mbadala, ama tuzuie hili zoezi lisifanyike au wagombea wapotezwe. Bila hivyo tunatwanga maji.
  14. Richard

    JamiiForums Tanzania GE2025 Je, watanzania wale wanojiandaa kupiga kura ni wale ambao hawana cha kupoteza? Na ni kwanini wafanye hivyo?

    Kesho ni tarehe 1 Oktoba 2025 siku ya kwanza ya mwezi wa uchaguzi, mwezi muhimu na wenye kubeba mstakabali wa siasa za Tanzania. Mie nina suali kwa watanzania ambao wamekuwa wakijitokeza kudandia magari ya kukodi na kwenda kushabikia mikutano ya kampeni ya CCM na baada ya hapo kurudi majumbani...
  15. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Tarehe 29 ni mwendo wa Nepal. Watachagua walinde vituo vya kupiga kura au nyumba za Viongozi wa CCM au barabara za kwenda Ofisi za CCM

    Kati ya maandamano yaliyopangwa vizuri ni haya maandamano ya Tarehe 29 Oktoba 2025 Wanaotutisha kufanya mazoezi watajua wenyewe walinde vituo vya kupiga kura au nyumba za Viongozi wa CCM au Ofisi za CCM au nyumba za Wabunge na Mawaziri au Ofisi za Umma. Enough is Enough Lazima turudishe...
  16. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Tarehe 29 Oktoba, piga kura yako mapema na nenda nyumbani

    Watanzania ni watu watulivu, watu wa amani, watu wa hekima, ila si wajinga. Uchaguzi ni mara moja kila miaka mitano, na ni haki ya kikatiba kila mtu kuchagua ampendaye kukalia kiti cha urais, ubunge au udiwani. Watanzania tusipoteze nafasi hii, ya kikatiba. Watu wasio waelewa wanasema siku hiyo...
  17. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Zisingekuwa kampeni za uraisi Samia hasingeomba kura ya Hayati mkapa, je mkapa atapiga kura?

    Wewe uko kwenye kampeni unaambatana kwenda kwenye makabari ya MAREHEMU kufanyaje?. Je, Mkapa atapiga kura Mwaka 2025? Tangu amefariki hujawai kwenda, leo kisa wataka Urais ndo wajitia kwenda kumwomba kura MAREHEMU kwani anapiga kura?
  18. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Amkeni huu unyenyekevu ni wakati kuomba kura tu, Huyu ni Fyandomo amepiga na magoti jimbo la Uyole

    Watu wa Uyole na kwingineko amkeni, huu unyenyekevu ni wakati kuomba kura tu, Huyu ni Fyandomo amepiga na magoti jimbo la Uyole lakini wakishazipata wanawasahau wananchi na badala yake ndiyo tunakuwa wapiga magoti. Hii Picha ya Jenista Mhagama ni mfano mzuri Mbunge Wa Viti Maalumu Mkoa wa...
  19. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Paul Makonda amwaga machozi akielezea sababu iliyompelekea kugombea ubunge, asema taifa linahitaji viongozi watakaotimiza kusudi la Mungu

    Wakuu Muendelezo wa hekaheka na vibweka hadi uchaguzi utakapopita tutakuwa tumeshuhudia mengi === Mgombea ubunge wa Arusha Mjini kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, ameeleza nia yake ya kuwania nafasi hiyo ya ubunge ni kuwatumikia wananchi wa jiji hilo. Makonda ameeleza...
  20. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wakati wa kuomba kura hatusikii ziara za Norway Sweden USA Je, hazina umuhimu kwa nchi wakati huu?

    Kama zile ziara za kutwa mara mbili kwa wiki kama dozi zilikuwa na umuhimu, Kwanini zisimame wakati huu? Ina maana si muhimu kwa sasa?
Back
Top Bottom