kura

Rúben de Almeida Barbeiro (born August 21, 1987 in Leiria), better known by his stage name KURA, is a Portuguese electro house DJ and record producer. Kura has released tracks through labels such as Hardwell's Revealed Recordings, Flashover Recordings, Musical Freedom, and Spinnin' Records, among others.

View More On Wikipedia.org
  1. H

    JamiiForums Tanzania Kama wasio wasomi hawafai kuwa viongozi basi kura zao pia hazifai wajipigie kura wasomi!!!

    Huo ndiyo uhalisia hakuna haja ya wasomi kuomba kura kwa wasiowasomi wakajichague wasomi wenyewe basi!!
  2. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Wanavyokunjaga sura, huwezi amini wanapelekeshwa na wajinga kama CCM. Wanapigishwa Mistari kupiga kura wakati Uchaguzi ulishaamuliwa.

    Wanavyokunjaga sura na kujifanya wababe na wajuzi huwezi amini wajinga wajinga CCM wanawapelekesha kama mazuzu. Huwezi amini CCM wanawaona kama matoy tu yasiyo na chochote wala lolote. Yaaani hawa nao Oktoba wanapigishwa mistari kutiki wakati CCM, Tume na NIDA walishaamua kura ziweje na ushindi...
  3. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo INEC wananavyoweza kuchakachua kura kupitia NIDA

    Imeandikwa na Dr Calipso, X HII INAFANYIKAJE . Kwenye mfumo kuna kitu kinaitwa query, unaicommand query in run ikuvutie taarifa Fulani muhimu then unaweza kuzi intergrate na mifumo mingine wataalamu wa CTC2 Database inayo inayotunza taarifa za Ukimwi mnaelewa. Mfano waliojiandikisha kihalali...
  4. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Tuseme ukweli tu: Yeyote atakayepiga kura Oktoba atakuwa na Mtindio wa Ubongo

    Kwa sisi Wanasheria Kanuni na Sheria Kuu za Ushahidi zinasema Ushahidi usiotiliwa mashaka na unaopaswa kuzingatiwa moja kwa moja na Mahakama au Mfanya maamuzi ni Ushahidi wa Mtu aliyetenda kitendo husika au aliyekuwepo eneo la tukio wakati kitendo hisika kinafanyika. Kwa maneno ya Humphrey...
  5. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Padre Emilius Kobelo: Wanaosema Kura zinaibiwa siyo waendawazimu, huwezi kufikiria jambo ambalo halipo

    Akizungumza katika Misa Takatifu ya kuombea Haki na Amani nchini Tanzania katika Parokia Teule ya Mt. Agnes Nanenane Jimbo katoliki Morogoro, Padre Emilius Kobelo amesema " Sababu unasikia wakati mwingine 'kura zimeibiwa' sidhani kama ni wendawazimu wanaoibua maswali ya namna hiyo, huwezi...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Kukosekana kwa upinzani madhubuti wa Chadema na Tume Huru ya Uchaguzi. CCM inachukua mgombea yoyote hata asiye na ushawishi kwa wapiga kura.

    CCM imeamua kuwaacha wagombea wenye ushawishi kwa wananchi kwa kuwakomoa kwa kuamini yeyote ikimuweka anapata ubunge. Hata walioachwa hawana pa kwenda kwani wakifanya hivyo visasi vitawafuata. Kukosekana kwa mfumo huru wa uchaguzi na CCm kumiliki vyombo vyote vya dola ( mahalama na bunge) na...
  7. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Swali: Kuna umuhimu gani wajumbe wa CCM kupiga kura kuchagua wagombea?

    Inakuaje walioshinda Kwa Kura za wajumbe wamekatwa halafu wamepitishwa wale ambao hawakupitishwa na wajumbe?? Nguvu ya wajumbe haithaminiwi au hawana umuhimu?
  8. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwanini Tume ya Uchaguzi imeficha taarifa za wapiga kura?

    GT Ni maajabu hawa wanaojiita tume huru ya uchaguzi huku majina ya wapiga kura yamefichwa Mi najiuliza kwa nini wanahitaji namba ya kadi ya kupiga kura ili niweze kuona jina langu? Hii ina maana kwamba hakuna mtu yoyote anaweza kuona majina ya wapiga kura isipokuwa tume yenyewe ah aha ah 😅 😄 😆...
  9. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Nimejiona mjinga kwa kupiga Kura 2015 & 2020

    Awali, 2015 nilisimama kwenye foleni zaidi ya masaa matano. Nilimpigia Kura Lowasa kumbe Nilikua najisumbua tu. 2020 tena kumbe narudia kosa la 2015. Asante MIDA. Mnaupiga mwingi. 2025 sasa ujinga umeniisha rasmi.
  10. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Utumaji wa matokeo ya Kura kwenda Tallying centre ndio 'Mifumo' INASOMANA?

    Tatizo sio kuhesabu Kura wala mawakala kusaini Bali kwenye utumaji wa matokeo kwenda kwenye tallying centre hapo ndio mifumo INASOMANA?
  11. Chakaza

    JamiiForums Tanzania Viongozi Wanavyo Wabembeleza Watanzania Kusapoti Stars Utadhani Sio Wanao Waibia Kura na Kuwadharau Watanzania Bila Aibu.

    Maneno meengi kuipigia debe Taifa Stars na hasa Wakenya walipo amua kuwa against sisi kwa kila jambo hasa kutusaidia kutokana na sisi kushindwa kujipigania na tukijipigania tuna kumbana na nguvu ya dola au kutekwa na kupotezwa. Wako wapi hao milioni 13 wanaccm wasijae kiwanjani kuipigania "timu...
  12. M

    JamiiForums Tanzania John Cheyo aliwahi kupata kura Moja kwenye kata yake wakati ana familia ya watu zaidi ya 59 ikiwemo make na watoto,CCM wizi haikuanza leo

    Wananzengo mliokuwepo miaka hiyo mnaikumbuka hili kituko Cheyo aliibiwa kura mpaka akabaki kushangaa,kidogo ndoa ife,Ina maana make na watoto walimpigia mpinzani? Jibu No,kura ziliibwa🥴
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kura zinaibiwa vipi kupitia NIDA?

    Uchaguzi mkuu tunawapigia kura madiwani, wabunge na raisi. Baada ya kupiga kura zinahesabiwa na matokeo ya kura za udiwani, ubunge na uraisi yanabandikwa kwenye kituo husika, Yale ya udiwani yanajumlishwa kwa ngazi ya kata na mshindi hutangazwa papo hapo kuwa diwani. Ya ngazi ya ubunge...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Nitashangaa sana kama aliyeongoza kura za maoni jimbo la Rorya atateuliwa

    Kamati Kuu ya CCM iko kwenye mchakato wa kupitia majina na kuwateua wale watakaopeperusha bendera ya CCM kwenye uchaguzi ujao. Binafsi nitashangaa sana kama CCM itamteua mtia nia aliyeongoza kura za maoni Jimbo la Rorya . Huyu mtia nia hakushinda kwa haki.
  15. Empty containers Tanzania

    JamiiForums Tanzania Mbona habari ya Polepole ya kuiba kura haipewei airtime? Ina maana media zote zimeshikiliwa na CCM?

    Kuanzia , JF na mitandao mingine yote habari ya Polepole ya CCM kuiba kura kwanini media hawataki kuiweka ili wananchi waipate .
  16. Think2

    JamiiForums Tanzania Kwa nilivyomuelewa Polepole hata kama wananchi wakisusia kupiga kura, CCM itashinda tu

    Kwa mfumo wao wa NIDA asee unaweza usifike kituo cha kupiga kura lkn mfumo ukatick umepiga kura tena umechagua CCM kabisa Yaani kura inajipiga automatically wewe ukiwa om afu utasikia 30 millon wamemchagua Samia then hiyo 7 million ni CHAUMMA na matawi mengine
  17. S

    JamiiForums Tanzania Polepole, hawa watu wakiendelea kushupaza shingo kuhusu huo mfumo wa wizi wa kura, toka tena hadharani ueleze unavyofanya kazi na uwataje wahusika

    Baada ya kuanika huu uovu ambao mwenyewe umekiri kuhusika kuuandaa ingawa ulisema uliandaliwa kwa malengo mazuri tofauti na sasa, elewa utashambuliwa sana mitandaoni na pia itatumika propaganda kubwa kutaka kuaminisha watu kuwa ulichoongea hakiwezekani na ni uongo ingawa hawatakubali uchunguzi...
  18. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Ccm wote majizi hata Hayati Lowasa alikwenda chadema na mfumo wa kudukua kura angani na chadema wakapokea, jamani twende wapi sisi watakatifu?

    Utafutwaji WA madaraka katika mataifa ya Kiafrica unatumia sana njia haramu hivi ni kwa Nini? Hivi hamkumbuki wakati wa uchaguzi walikamatwa vijana kutoka izraeli walio kuwa maIT wa chadema walio letwa na Hayati Lowasa? Unaambiwa vijana walitoka izraeli, wakafikia hotelini KAZI Yao ilikuwa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Ni dhahiri sasa tunakwenda kwenye kampeni za ama tupige kura au lah sio Rais na Wabunge tena

    Kwa hali ya mambo ilipofikia uchaguzi wa mwaka huu ni KUPIGA KURA AU KUBAKI NAYO ndio kampeni kubwa ya mwaka huu. Sio kampeni za Rais na Wabunge tena. Naikumbusha Dola kuwa kama nchi tumeshatumia rasilimali nyingi sana kujenga uwezo na mifumo ya uchaguzi tusikubali hasara ya kurudi nyuma na...
  20. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania KURA HURU: Mgombea yupi ungetamani awe Rais wa Tanzania 2025 - 2035

    ANGALIZO: Kura hizi ni Huru na hazihusishi Mchakato wa Uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025 nchini Tanzania. Hivyo Wagombea wanaowekwa hapa wengine hawajatangaza nia wazi kuwa watashiriki na wengine wapo katika mchakato. Wewe kama mchangiaji huru piga Kura yako kuchagua Rais unayemtaka.
Back
Top Bottom