kura

Rúben de Almeida Barbeiro (born August 21, 1987 in Leiria), better known by his stage name KURA, is a Portuguese electro house DJ and record producer. Kura has released tracks through labels such as Hardwell's Revealed Recordings, Flashover Recordings, Musical Freedom, and Spinnin' Records, among others.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Yah: Mkataba wa IGA kati ya Dubai na Serikali ya Tanzania; serikali iitishe kura ya maoni

    Siyo siri, Rais wetu mpendwa ameshughilishwa mno na hoja zetu mbalimbali kama wananchi juu ya huu mkataba ambao serikali ilisha usaini mwezi february 2022 na kuja kuridhiwa na Bunge 30 Juni 2023. Siyo siri Kuna wakati hoja zetu wananchi zinavuka mipaka hata kuutweza utu na wafhifa wa Rais...
  2. JamiiForums Tanzania Kama tungetakiwa tupige kura juu ya mkataba wa bandari

    Wanangu wapendwa, Je kama tungetakiwa wabongo tupige kura kupitisha au kuupiga chini mkataba wa bandari, wapi ungeeelekeza kura yako? Kama itawafurahisha hasa ikizingatiwa kuwa inatoka kwa baba yeni, pigeni kura kuonyesha nini kifanyike. Maaskofu wa dhehebu moja linalosifika kwa ubakaji na...
  3. JamiiForums Tanzania Kisa Maji, Madiwani Ilemela Mwanza, wahofia kukosa Kura Uchaguzi mkuu Ujao

    Swala la Ukosefu wa Maji katika halmashauri ya Wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza imekuwa sugu kiasi kwamba wananchi wanakosa walalamike kwa nani kutokana na kero ya ukosefu huo wa maji safi na Salama. Kijografia Ilemela imezungukwa na Ziwa Victoria lakini upatikanaji wa maji safi na salama kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Uchaguzi Ukraine ni mwakani, Zelensky atawaambia nini wapiga kura wake?

    Uchaguzi mwengine mkuu wa Ukraine unatarajiwa kufanyika mwakani 2024. Kipi kinatarajiwa kufanyika kwenye uchaguzi huo. Je, utasitishwa kutokana na vita vinavyoendelea.Na jee katika inaruhusu udhuru huo. Na kama uchaguzi utafanyika raisi wa sasa, Zelenksy naye atagombea. Na kama akigombea...
  5. JamiiForums Tanzania Duru: ' Utata wa Utatu', Katiba, Muungano na Kura ya Maoni

    Sehemu ya I Bandiko Duru: Hatima ya Muungano na dalili za kuvunjika mapema tulisema bila kura ya maoni na Katiba ,tuna ahirisha tatizo la Muungano kwa muda. Kuna 'utatu' wa ''Katiba, Muungano na Kura ya maoni'' . Madai ya katiba ni katika eneo la madaraka ya Rais, kuimarisha taasisi na...
  6. JamiiForums Tanzania Sikilizeni CHADEMA hakuna aliewakataza kushiriki katika michezo

    Friends and our Weak Enemies, Husikeni na kichwa Cha habari hapo juu. Siasa za Afrika ni Kwa waafrika, demokrasia ya waafrika ni Kwa waafrika, hawezi kuja muarabu,au muhindi,au mzungu eti aje aseme siasa zetu sisi au demokrasia yetu sisi ifanane na wao la hasha,na ndiyo Kwa maana unaona nchi...
  7. JamiiForums Tanzania VIDEO: CCM waanza kutajana kwenye Wizi wa kura

    Kuna taarifa ukizisikia unaishia kuumia na kushangaa Sana sana. Kuna mengi nyuma ya pazia yakutisha. Kama haya yamefanyika Kwa CCM wenyewe Kwa wenyewe, ilikuaje Kwa Upinzani?
  8. R

    JamiiForums Tanzania Mbowe aendesha zoezi la kupiga kura ya wazi juu ya hoja ya Bandari akiwa Nyehunge Geita

    Baada ya zoezi Hilo la kupiga kura ya WAZI, Matokeo ni kuwa, Wananchi wote wameazimia Kwa pamoja kuwa Bandari zetu haziuzwi, hazikodishwi Wala kugawiwa Bure. Pia wananchi wameweka mikono kichwani na kupiga ukunga/nduru na kulia uwi! Hii ni Ishara kuwa, wananchi wanachukizwa na jaribio lenye...
  9. JamiiForums Tanzania Mwaka 2025, Rais Samia hata yeye mwenyewe anaweza asijipigie kura

    Nafahamu fika kwamba, hata CCM wenyewe hawawezi kumpa kura Rais Samia. Na kwa jinsi mambo yalivyo magumu mitaani, watu wanavyomsema, watu walivyomchoka, yeye mwenyewe anajaribu tu kuchungulia anakutana na nyuso ngumu zilizojaa hasira ya kwa nini kutufanyia hivo? Anaamua akae kimya tu. Safari...
  10. JamiiForums Tanzania Kinana kuongea na mamlaka bodaboda wabebe abiria zaidi ya 1 (mshikaki)

    Nimeshangaa kuona na kusikia Kinana akiwaambia bodaboda kuwa ataiambia mamlaka ya usimamizi usalama barabarani waondie zuio la mishkaki yaani kubeba hadi abiria 3. Sababu kuu anasema hii itaongeza kipato kwa waendesha boda boda. Kibaya zaidi akasema kuwa...kuna shida gani kama abiria wenyewe...
  11. JamiiForums Tanzania Bunge la Ghana lapiga kura na kuifuta hukumu ya kifo katika Taifa hilo

    Ghana imeingia katika orodha ya Nchi za Afrika ambazo zimeiondoa hukumu hiyo miaka ya hivi karibuni. Taifa hilo lina Wanaume 170 na Wanawake 6 ambao walihukumiwa kifo lakini adhabu yao sasa itakuwa kifungo cha maisha gerezani. Mara ya mwisho Ghana kutekeleza hukumu hiyo ilikuwa Mwaka 1993...
  12. JamiiForums Tanzania SoC03 Ili Bunge liwe na nguvu ya kuiwajibisha Serikali, Spika wa Bunge asiwe mwanachama ama mshirika wa chama cha siasa na apatikane kwa kura za Wananchi

    UTANGULIZI. Bunge ni miongoni mwa vyombo vinavyounda dola,Bunge ndicho chombo kinacho wakilisha wananchi moja kwa moja kwa kuwa kina wabunge ambao wanapatikana kutokana na kura za wananchi. Bunge ndilo linalotunga sheria kwa niaba ya wananchi,Bunge ndilo linalopitisha maazimio yote ambayo...
  13. N

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uliwengu wa kidigitali katika kuongeza ufanisi wa kiutendaji(Sensa & Kupiga kura)

    MATUMIZI YA MIFUMO YA KIDIGITALI KATIKA UCHAGUZI & SENSA YA WATU NA MAKAZI. Miongoni mwa mambo mazito katika utekelezaji ususani kwa nchi zinazoendelea ni maswala mazima ya kuendesha na kusimamia zoezi la uchaguzi pamoja na sensa za watu na makazi. Gharama nyingi sana utumika kusaidia...
  14. JamiiForums Tanzania Kuna raha gani mwanasiasa unakula kushiba ilhali wapiga kura wana shinda njaa?!

    Majimboni kwao wengi wao hali ya wapiga kula ni ya kutisha na ugumu wa maisha unaowasumbua. Hakika, matumbo ya wakubwa wale ukiyaona yameshiba na huenda yamebeba na hata kipolo cha kesho! Fikiria mwananchi wa hali ya chini anavyopambana kupiga magoti na kuchuchumaa kwa kila stairi kuchimbua...
  15. JamiiForums Tanzania CHADEMA: 'Tulipiga Kura za Wazi kwasababu Kulikuwa na dalili za Rushwa'

    Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini ya Chadema, Ruth Mollel amesema katika mkutano wa baraza kuu uliofanyika Mei 11 mwaka jana, walilazimika kupiga kura za wazi kwa kuwa kulikuwa na dalili za rushwa. Mollel alieleza hayo jana wakati akihojiwa maswali ya dodoso na Wakili Ipilinga Panya katika kesi ya...
  16. JamiiForums Tanzania Tupige kura kuamua au kukataa serkali kubinafsisha bandari zetu

    Moderators Kama mtaona inafaa tuwaache wanajamii forums ambao ndio platform kubwa kupitia zote hapa Tanzania members wake waamue Kama ndio au hapana ili kutoa sauti ya pamoja kwa jambi hili lililogawa taifa na kuzua maswali mengi bila majibu, Tupige kura hapa kauona uungaaju mkono wa saula la...
  17. JamiiForums Tanzania Mkataba wa kuendesha Bandari za Tanzania wa DP WORLD ya Dubai hautazihusu Bandari za Zanzibar

    Miongoni mwa siri zilizofichuliwa leo kuhusu Mkataba wa kuiuzia kampuni ya Waarabu Bandari za Tanzania, imo habari kwamba Bandari zitakazohusika ni zile za Tanganyika Pekee, za Zanzibar hazitahusika. Ikumbukwe kwamba Bandari ni miongoni mwa mambo ya Muungano, ikiwa kama jambo hili lina faida...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Ogopa kukataliwa na watu; Nassari amepoteza mvuto na hoja sidhani kama huko kwao watampa hata uongozi wa kijiji akiomba kura

    Lipo tatizo ambalo linapaswa kufanyiwa utafiti. Tunaweza tukadhani tunaua vijana kisiasa kumbe tunafifisha viongozi wa kesho wa Tanzania. Nikimwangalia Nassari akiwa Chadema na leo ndani ya CCM kuna utofauti mkubwa sana. Alipopewa na CCM hadi wakamnunua ila ameshindwa kabisa kukubaliana na...
  19. JamiiForums Tanzania SoC03 Chaguzi za Kisiasa zifanyike Kidigitali (EBS) kuepuka Tuhuma za Wizi wa Kura

    “Electronic Balloting System (EBS)”, ni mfumo wa kupiga kura kidigitali, yaani kwa kutumia vifaa maalum vya tarakilishi. Mfumo wa kutumia tarakilishi katika uchaguzi sii mgeni hapa Tanzania, kwani toka mwaka 2015 Tume ya Uchaguzi nchini ilianza kuutumia kwa kuandikisha na kuhakiki wapiga kura...
  20. JamiiForums Tanzania Napendekeza kura za uchaguzi mkuu zipigwe kwa kutumia Tigo pesa

    Itakapofika uchaguzi mkuu 2025, mtu aruhusiwe kupiga kura kwa kutumia simu yake ya mkononi kwa kutumia mifumo ya mobile money. Pawekwe kipengele cha kupiga kura kwenye menu, ambapo atachagua Rais, Mbunge, Diwani, kisha atatuma kura yake. Kwa wasio na simu wataenda kwa mawakala kwa kutumia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…