kura

Rúben de Almeida Barbeiro (born August 21, 1987 in Leiria), better known by his stage name KURA, is a Portuguese electro house DJ and record producer. Kura has released tracks through labels such as Hardwell's Revealed Recordings, Flashover Recordings, Musical Freedom, and Spinnin' Records, among others.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hivi Wapiga kura ni sisi au kuna wengine?

    l will be honest Niliyo shuhudia within this 5 years kama Mpiga Kura kuipata kura yangu kazi mnayo. Kama wapiga kura ni sisi. wananchi tunaona yote Haya. Tafuteni alternative . 2025 kazi ipo. Asanteni.
  2. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Sasa hivi viongozi WOTE wa juu ni waislamu, Zanzibar iingie OIC- by mzanzibari mkorofi.

    Nimeona clip ya mzanzibari aliyechoka kimawazo akitaka Zanzibar sasa iwe nchi ya kiilamu rasmi na iingie OIC, Nchi za umoja wa Kiislamu. Jamaa huyu anasema Rais Samia muislamu, Rais Mwinyi mwislamu, waziri mkuu Mwislamu , waziri mambo ya ndani mzanzibari mwislamu, waziri wa mambo ya nje...
  3. Forest Hill

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ikiiga movements za "Rock The Vote" organization, watashinda uchaguzi 2030 kwa kura mpya za Gen Z

    Katika tafiti ya shirika la Twaweza walio fanya miaka kadhaa nyuma,walisema kua wafuasi wengi wa chadema ni vijana wasomi kuanzia miaka 18-40,tofauti na CCM wengi ni wazee na watu wenye elimu ya chini, Ukiangalia Demographic ya Tanzania,idadi kubwa ya watanzania ni vijana wa miaka 15-35..bahati...
  4. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania RAIS WANGU MAMA SAMIA NI BORA SANA MAAFISA UBASHIRI KURA YETU UNAYo

    Jana nimetengeneza million 45 aisee namshukuru sana raisi Kwa kutofungia hizi kampuni za betting licha ya wajinga Fulani ambao mambo yamekua magumu kwao kwenye hii sekta ya maafisa ubashiri kukushauri ufunge kumbe hii sekta Ina watu wake ambao ni sisi sababu zinatubadilishia maisha sisi watoto...
  5. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Nini chanzo cha wazazi wa kiafrika kuwaandaa watoto ili waje wawasaidie?

    Mpja kwa moja kwenye mada Wazazi wengi wanakomaa kulipa ada kubwa na kujitoa muhanga kiuchumi ili watoto wao wasimame. Kusudi lililojificha nyuma ni ili mtoto wao akifanikiwa awasaidie kimaisha. Wazazi wanavizia mahari za watoto wao wa kike. Wanapambana watoto wa kike waolewe na wenye uwezo ili...
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Ubalozi Malaysia, Wizara mambo ya nje na mambo ya ndani Tanzania fanyeni kazi zenu badala ya kula raha ofisini

    Naomba wizara hizi turekebishane. Kuna mambo ya kifilauni yantendeka ndani ya wizara. Nasikia baadhi ya mabalozi wanateuliwa ili kulea na kusomesha watoto wa waliowateua huko nje ya nchi. hii imeleta tabia ya kiburi na kutowajibika na mambo ya wa-TZ wa kawaida ktk nchi wanazowakilisha. Kuna...
  7. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hivi ndivyo CCM huiba kura na CHADEMA wasijue wameibiwaje kura

    Mwaka 2020 wakati wa Kampeni za uchaguzi Mkuu, nilikuwa nawaambia viongozi wangu kuwa ni lazima CCM watatuibia kura kwa mtindo Mpya kabisa. Sababu ya kusema hivyo ilikuwa ni jinsi CCM walivyopunguza matumizi ya mabavu ya dola dhidi ya CHADEMA kwenye Kampeni za uchaguzi ule. Hapo chini nimeweka...
  8. ward41

    JamiiForums Tanzania Rais wa Marekani anapatikana kwa kura za wananchi, sio deep state

    Kuna uzushi mwingi wa vijiweni kwamba raisi wa MAREKANI anapatikana na deep state na kwamba kuna kikundi kidogo cha watu sirini wanamteua raisi. Hii sio kweli. Raisi wa MAREKANI anapatikana kwa kura za Wananchi. Ndiyo maana wagombea wanafanya campaign ili wapigiwe kura Utofauti na huku kwetu ni...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais wa zamani, Cheney (Republican) kumpigia kura Kamala Harris

    Hii ndiyo ile maana kamili ya vyama kutokuwa mama wa waungwana: Uwaambie nini wale chawa kindaki ndaki wa pande za kwetu? Kwamba hayapo wanayosimamia ila vyama.
  10. Bila bila

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kura muibe kama alivyokiri DC Ng'umbi, je, huko maporini huwa mnafanya vitu gani au huwa mnawapoteza wagombea?

    Hivi huwa mnajisikiaje hata baada ya kubadilisha matokeo halali ya uchaguzi au kuengua Wagombea wa upinzani bado mnawateka Wagombea hao na kuwatelekeza maporini waliwe na wanyama kama alivyokiri Leo aliyekuwa DC wa Longido Marco Ng'umbi? Ila nyie hata shetani inabidi aje kuchukua mafunzo...
  11. Tulimumu

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa yaliyotokea 2015, 2019 na 2020 na yanayoendelea nimekata tamaa ya kupiga kura kabisa kama kuna ushauri wa kisaikolojia naomba nisaidiwe

    Uchafu na dhuruma za uchaguzi mkuu wa 2015 wa serikali za mitaa 2019 na uchaguzi mkuu wa 2020 na kinachoendelea sasa dhidi ya wapinzani, utekaji, kupoteza watu na usanii wa 4R na kinachoitwa tume huru ya uchaguzi nimeamua sipigi kura tena kwakuwa ni kupoteza muda na nguvu. Chaguzi zenye haki...
  12. Msitari wa pambizo

    JamiiForums Tanzania Hizi ni sababu zangu kuu tano za kwa nini sitampigia kura Samia Suluhu Hassan kama atasimamishwa na chama chake

    Niende moja kwa moja. Ikiwa CCM watamsimamisha Samia kuwa mgombea katika uchaguzi mkuu 2025 sitampigia kura yangu kwa sababu zifuatazo. 1. Matukio ya utekaji yanaongezeka siku hadi siku. Sijui anajisikiaje kuachanisha familia za watu, kuwaacha watoto bila wazazi kwa kuteka na kupoteza watu. Ni...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, wapiga kura wapya 190,131 wanatarajiwa kuandikishwa Mwanza

    Wakazi wa Mkoa wa Mwanza wakiwa katika vituo vya Kuboreshea Daftari la Kudumu la Wapiga Kura wakijiandisha na kuboresha taariza zao leo ambapo uboreshaji huo ulioanza Agosti 21, 2024 ukiendelea kwa mikoa ya Mwanza na Shinyanga. Mikoa hiyo inafanya zoezi hilo kwa siku saba kuanzia Agosti 21 hadi...
  14. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kwanini wapiga kura wa Sugu hawajaenda kumuona ila wanaomuona ni majasusi wanaowakilisha nchi zao Tanzania?

    Masaa machache tuliambiwa na kuwekewa picha sugu kalala hoi kitandani, dakika chache baadae, Sugu mzima,.tena kasimama kapiga picha na Balozi wa Marekani
  15. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Ijue Katiba: Je Wajua Kila Kura Iliyomchagua JPM Pia Ilimchagua Samia?. Is it Right Kusema Rais Samia Hakuchaguliwa?, Basi 2025 Tumchague?.

    Wanabodi Kama kawa, kila nipatapo fursa hushuka na kwa maslahi ya taifa ambazo huwa na swali, jibu utatoa mwenyewe. Swali la leo ni kuhusu kuijua katiba yetu. Je wajua kuwa kila kura Iliyomchagua Rais Magufuli kwenye ule uchaguzi mkuu wa 2020, pia Ilimchagua Samia?. It's not right kusema Rais...
  16. Mkurya mweupe

    JamiiForums Tanzania Waandikishaji daftari la wapiga Kura Bukoba Mjini wamepigwa pesa zao

    Nimepokea kwa masikitiko sana baada ya kuona baadhi ya vijana waliopata nafasi ya kushughulikia zoezi la uboreshaji daftari la kudumu la wapiga Kura. Jimbo la Bukoba Mjini wakitapeliwa kiasi Cha shilingi elfu sitini ,kwa kila mmoja yaani hela ya siku moja .Ni aibu kubwa kwa kijana ambaye...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Bashungwa Atoa Wito kwa Watanzania Kujitokeza Uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura

    BASHUNGWA ATOA WITO KWA WATANZANIA KUJITOKEZA UBORESHAJI DAFTARI LA WAPIGA KURA Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ametoa wito kwa watanzania wenye sifa za kujiandikisha katika Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, kujitokeza katika vituo ili kupata...
  18. Jumanne Mwita

    JamiiForums Tanzania Kuna udhaifu mkubwa katika teknolojia inayochukua kumbukumbu za kadi ya mpiga kura

    Ningependa kushare na nyinyi kile ambacho nimebaini, ingawa siyo mhusika wala msimamizi/mwandikishaji. Majuzi, tarehe 5, nilikwenda Katoro kwenye kata yangu na kuamua kubadilisha kadi yangu ya mpiga kura ili kurekebisha taarifa, saini, na picha. Nilipofika kwenye kata moja, nilipanga mstari na...
  19. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania JF POLL: (Nini sababu ya kuongezeka kwa Atheists na Non-Believers miongoni mwa vijana hapa Tanzania). Majibu ya poll ni baada ya masaa 24

    Andika namba kwenye comments. Namba ambayo itatoa ufafanuzi halisi ya majibu ya swali lililoandikwa kwenye kichwa cha uzi huu. 1: Kuongezeka upotoshaji katika dini 2: Kuongezeka kwa hali ngumu ya maisha ikiandamana na matumaini finyu au lah kabisa. 3: Maswali yasiyojibika vizuri na majibu...
  20. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Polisi wazuia maandamano ya wamasai Ngorongoro kupinga kunyimwa haki ya kupiga kura

    Hali halisi ilivyo katika kata ya Enduleni Ngorongoro ambapo Jeshi la Polisi limefika kwa ajili ya kuzuia maandamano ya wananchi ambao wamefika mahali hapa kupinga uamuzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi wa kuwazuia wananchi wa tarafa ya Ngorongoro kupiga kura. Pia soma: Wamasai wa Ngorongoro...
Back
Top Bottom