kura

Rúben de Almeida Barbeiro (born August 21, 1987 in Leiria), better known by his stage name KURA, is a Portuguese electro house DJ and record producer. Kura has released tracks through labels such as Hardwell's Revealed Recordings, Flashover Recordings, Musical Freedom, and Spinnin' Records, among others.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania Wakuu naomba kujua aina ya maswali ya interview kazi za kuandikisha wapiga kura

    Wakubwa, naomba kufahamu. Nimteuliwa kwenye usaili wa kazi ya kuandikisha wakati wa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura. Naomba mbinu na ufahamu kuhusu aina ya maswali wanayouliza. Nitashukuru.
  2. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Angélique Kidjo: Kama hupigi kura, chochote kinachoathiri maisha yako kinakutokea kwasababu hukushiriki katika kufanya maamuzi

    "Ikiwa tunataka kuishi katika jamii inayojiita ya watu waliostaarabika, kupiga kura ni mojawapo ya mambo muhimu. Kuna sehemu duniani ambapo watu hawajawahi kupiga kura—kamwe. Hata hawajui maana yake... Na hakuna kitu muhimu zaidi ya kuwapa watu uhuru wa kuchagua wanaotaka kumpigia kura na...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nani Spika Bora zaidi , Toka Mwaka 1995, tupige kura

    Kwa wale wazee wenzangu na wafuatiliaji mabunge awamu mbali mbali, nimeona Leo tujikite kidogo kuangalia maspika wa Bunge walioongoza Bunge vipindi mbali mbali, Kila mmoja alikuwa na staili yake, Kariba yake, maspika Hawa wote walitoka chama Cha CCM. Hivyo tuangalie je nani alikuwa Bora zaidi...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Issa awaambia CCM hamuwezi kupata kura Konde, 'labda mje mtupige bakora, Sera zenu mbovu'

    Mbunge wa Konde (ACT Wazalendo) Mohammed Said Issa ameibua mzozo Bungeni mara baada ya kusema kwamba Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakiwezi kupata kura katika jimbo lake kwa sababu sera zao ni mbovu. Mbunge Issa ameyasema hayo jioni ya tarehe 06 Februari, 2025 Bungeni Jijini Dodoma wakati...
  5. tpaul

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbinu za wizi wa kura zinazotumiwa na CCM zabainika; ni hizi hapa

    Ikiwa leo ni siku ya mwisho ya uandikishaji wa watu watakoshiriki uchaguzi wa serikali za mitaa, CHADEMA wanahamasisha wananchi wajitokeze kujiandikisha lakini CCM wanaendelea kuimarisha mbinu zao za wizi wa uchaguzi. Kama ulikuwa hujui mbinu za wizi wa uchaguzi zinazotumiwa na CCM, hasa kwenye...
  6. chiembe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Msako wa kura za Kanda ya Ziwa kuongozwa na Wasira, Dotto Biteko, Musukuma, Bashungwa, na Mabula's. Ni kivumbi!

    Hao ni baadhi tu ya watakaolitimua vumbi kuzisaka kura za CCM kanda ya ziwa. Watasaga sore za viatu kuzisaka kura za mama samia na wagombea wa CCM kupitia a very sophisticated campaign network iliyoanza kusukwa miaka mitatu iliyopita mpaka ngazi ya vitongoji. Huwezi amini kwamba Mzee Wasira...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Mwanangu Chalamila umerudia tena kunigombanisha na wapiga kura? Hapana mama nimesema ukweli wa hali ilivyo...poa

    Muda mfupi kabla ya kuondolewa kwa Mkuu wa Mkoa wa DAR es salaam nafsi za mteua na mteuliwa zitakuwa zinajiuliza maswali haya mawili Mwanangu Chalamila kwanini umenigombanisha na wananchi ? Hapana mama nilitaka wafahamu ukweli wafanye kazi nakufahamu kwamba huduma ya afya ni gharama kubwa na...
  8. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe: Majigambo ya waliojiita "wao ni wapiga kura halisi" wa Team Mbowe na eti Team Lissu ilikuwa na "wapiga kelele..."

    Huyu 👇👇jamaa anayejigamba hapa anajitambulisha kama Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Bagamoyo. Haina shaka kuwa alikuwa "Team Mbowe..." https://youtube.com/shorts/ozPk6U2P45k?si=SZQVYkHgEETLKsf0 Jamaa alikuwa anajigamba na kujitapa kweli kuwa yeye "ndiye mpiga kura halisi" na wale wa upande ule...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wana CCM wapewe nafasi ya kuwania kiti cha Urais kisha Kura zipigwe. Kile kilichofanyika ni dhulma

    Mpo Salama! Wapo watu walitaka na wanatamani kuwa sehemu ya watakaotumia Haki Yao ya kikatiba kuwania Tiketi ya Urais kwa Njia ya CCM. Hata kama Wana CCM hao ni wawili au Mmoja. Wanahaki ya kufanya hivyo. Watu wote waungwana, watu wote wenye AKILI, watu wote wenye kupenda haki, watu wote wenye...
  10. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Kwanini Begi hili halikufunguliwa wakati wa ukaguzi kabla ya kuingia ukumbini kwenye uchaguzi Chadema?

    Kwa nini begi hili halikufunguliwa wakati wa ukaguzi kabla ya kuingia ukumbini kwenye uchaguzi wa CHADEMA, ilhali taratibu hizo zilifanyika kwa wengine? Swali hili linaibua maswali juu ya usawa wa utekelezaji wa taratibu za kiusalama, hasa katika mazingira ambayo uwazi na haki ni muhimu.
  11. comte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nazitafuta kura za Lissu kesho sizioni zinapatikana wapi? Msaada kwa mwenye kujua atashidaje uenyekiti CHADEMA?

    Kura zinapigwa na wajumbe;nikiangalia muundo wa CHADEMA na wajumbe wapiga kura sioni Lissu anakura
  12. sonofobia

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wana-CHADEMA tujitokeze Mlimani City kulinda kura

    Kama ilivyo utamaduni wetu ni kupiga kura na kuzilinda. Kesho wajumbe watafanya kazi ya kupiga kura. Baada ya hapo kazi ya kuzilinda kura tutaifanya sisi wananchi pamoja na wanachama kwa ajili ya kuakikisha haki inatendeka. Ima ima tujitokeze kwa maelfu pale Mlimani City kulinda kura zetu...
  13. Auto-Marvelt

    JamiiForums Tanzania KURA YAKO: Freeman Mbowe, Odero Charles na Tundu Lissu

    Yakiwa yamebakia masaa kadhaa uchaguzi ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (@ChademaTz) ufanyike, nafasi ya Mwenyekiti ni lipi chaguo lako kama ungekuwa ni mpiga kura kwenye uchaguzi huo?
  14. R

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya Makamu Mwenyekiti CCM ingekuwa inagombewa Wasira angepata kura au kuthubutu kugombea?

    Mitandaoni watu wote wanaonekana kutokukubaliana na Mzee Wasira 80yrs kuendelea kuwepo kwenye nafasi za juu za uongozi wa chama. Its like siyo maono ya wana CCM kuwa na viongozi hawa tena kwenye ngazi muhimu kama hizi kwani wanaleta mkwamo wa fikra kwa Gen Z ndani ya chama. Ushukuriwe utaratibu...
  15. chiembe

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuheshimu kura zetu, kama CHADEMA sasa hivi wanatukanana, na hata kutaka kupinduana, ndio tuwakabidhi nchi? Hapana, tuwape muda kuwasoma

    Hawa jamaa chama chao hakijatulia kwa kiwango cha kupewa nchi au wabunge. Ndani kimeoza, kina vita, fitna, mapambano, husda. Mbowe alijaribu kuonyesha mambo yako sawa kwa busara zake kabla hajastuka kwamba msaidizi wake ni mteja wa mirembe na kinywa chake kimeoza Tuna familia, watoto, ndugu...
  16. milele amina

    JamiiForums Tanzania Kukosa Kura na Kuangushwa kwa Celestine Malley-Simba: Pigo Kubwa kwa Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu wa CHADEMA

    Kukosa Kura na Kuangushwa kwa Celestine Malley-Simba: Pigo Kubwa kwa Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu wa CHADEMA Katika uchaguzi mkuu wa hivi karibuni wa CHADEMA, matokeo ya kukosa kura na kuangushwa kwa Celestine Malley-Simba, mwenyekiti wa chama hicho, yamekuwa pigo kubwa kwa Tundu Lissu na...
  17. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu atafanya vijana wengi wakapige Kura Uchaguzi Mkuu

    Kuchaguliwa Lissu kuwa Mwenyekiti CHADEMA kutaamsha Ari ya vijana wengi kwenda kupiga Kura uchaguzi Mkuu Oktoba 2025. Tofauti na 2020. Spana dhidi ya Mbogamboga zitazidi kupitia Mwenyekiti Lissu bila kupepesa mdomo Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia...
  18. GRAMAA

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kwani Press ya Lema ilikuwa danganya toto?

    Nyie kumbe watu ni wajanja sana mjue. Sema tu nyie bado hamjastukia dili. Zile mbwembwe zote za Lema kuita press na kuongea mambo kibao ya kumkandia Mbowe na kumuunga mkono Lissu kumbe ni sound tu? Duuuuuuh! Kumbe bwana Lema kisirisiri anampambania Mbowe ili ashinde? Kaaaaaaaaaa! Eti wenyewe...
  19. tpaul

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa single mothers: Single Mothers Special Thread

    Ndugu wanaMMU, naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha wala kuwapotezea muda. Baada ya kuona idadi ya single mothers inazidi kuongezeka kila kukicha, nimeshawishika kufungua uzi maalumu kwa ajili yao ili kwa pamoja tuweze kutoa mawazo jinsi ya kuwasaidia na kuwashauri. Hii itasaidia...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Je, kuiba kura na kuhonga wapinzani inasaidia vipi Usalama wa Taifa?

    Je, kwa ambaye anajua atuambie kama usalama wa taifa unaiba kura na kuharibu na kuhonga wapinzani hata kuwateka watu ina manufaa gani kwa taifa? Je, hawa usalama wa taifa wanaofanya hivi je ni wazalendo? Je, wewe unaye nyamazia haya kwasababu tu ya ushabiki wa vyama, maslahi binafsi au...
Back
Top Bottom