kura

Rúben de Almeida Barbeiro (born August 21, 1987 in Leiria), better known by his stage name KURA, is a Portuguese electro house DJ and record producer. Kura has released tracks through labels such as Hardwell's Revealed Recordings, Flashover Recordings, Musical Freedom, and Spinnin' Records, among others.

View More On Wikipedia.org
  1. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Dunia yapo Tanzania, Handeni Mjini wapiga kura 28,000 Arusha Mjini Wapiga kura 521,000

    Hii ndio Tanganyika ya Mwl Nyerere,Kawawa......... Mifumo yetu ya uchaguzi haitazami idadi ya watu inatazama nani anatoka wapi na anawakilisha chama gani. Jimbo la Arusha mjini lina wapiga kura 500,000 mbunge mmoja wa kuchaguliwa,Jimbo la Hadeni Mjini lina wapiga kura 28,000 mbunge mmoja wa...
  2. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Biometric Voter system na wizi wa Kura? Imekaaje?

    Wapo wapinzani Wanadai kuna Kura za Mchongo. Lakini Tume HURU ya Uchaguzi inatumia mfumo Bora wa Biometric Voter System kuandikisha, kuhuisha taarifa za mpiga kura na kuhakiki taarifa hizo siku ya kupiga Kura haya yote yanafanyika ili kuhakikisha Kura zote ni halali. Tunawapongeza Tume Huru kwa...
  3. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kampuni gani iliyopewa tenda ya vifaa vya uchaguzi ikiwemo tenda ya kuchapisha karatasi za kupiga kura?

    Ikiwa imebaki miezi mitano tu mpaka uchaguzi ufanyike bila shaka maandalizi kabambe yatakuwa yameshaanza, Je ni kampuni gani walipewa tenda ya vifaa vya uchaguzi ikiwemo karatasi za kupiga kura?
  4. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Ulanga: Rais Samia ni tajiri sitoacha kumuomba, tutamlipa kwa kura nyingi 2025

    Mbunge wa Jimbo la Ulanga Salim Alaudin Hasham ameeleza yale yote yaliotekelezwa na Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan na kusema pamoja na yote bado hatoacha Kumuomba fedha Rais Samia Kwa ajili ya kutekeleza miradi iliobaki. Salim Alaudin aneyasema hayo mara baada...
  5. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kama CHADEMA watasusia uchaguzi basi wapiga kura kwenye uchaguzi 2025 watapungua kwa asilimia kubwa

    Kuna uamuzi uliopitishwa na CHADEMA ya No Reform No Election na kama wataendelea kushika uamuzi wao huu wapiga kura 2025 watapungua kwa kiasi kikubwa sana. Ni vema Serikali ikafikiria na kufanya uamuzi ili nchi iendelee kuwa na Amani.
  6. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Nimepoteza shauku ya kupiga kura

    Mara yangu ya mwisho kupiga kura ilikuwa mwaka 2019, wakati wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Mwaka 2020 sikupiga. Haukuwa na mvuto kwangu. Mwaka huu naona changamoto ya mwaka 2020 inaninyemelea. Huenda nisipige kura. Na, kwa kuwa kupiga kura ni haki yangu, naamini na kutokupiga nako pia ni...
  7. Upekuzi101

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je utashiriki kupiga kura kwenye uchaguzi 2025 baada ya CDM kutokuwepo kwenye mchakato?

    Sasa rasmi chadema hawatashiriki uchaguzi 2025 kwa kutosaini fomu ya maadili. Je hapo ulipo umejiandaa kupiga kura? Wananchi waliokuzunguka hapo ulipo wanasemaje? Unadhani Kuna namna ushiriki utapungua?
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naomba tusaidiane kufanya 'CRITICAL THINKING' kuwa sababu ya Kukamatwa kwa Tundu Lissu ni Kuchochea Uchaguzi kutofanyika na Watu kutokupiga Kura

    Kila siku nasema hapa kuwa CCM + Serikali tulieni na tafuteni Watu wenye kujua KUFIKIRI vyema ili wawe Wanawashauri katika Mambo mengi ya Kimsingi (hasa ya Siasa na Matukio) kwani kuna Maamuzi mengi yanatoka Ngazi za Juu kwenda kwa Upinzani / Wapinzani ukiyapima kama Mtu MWEREVU unaona kabisa...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Ni kipi rahisi, kuombea uchaguzi au kuzuia mifumo ovu ya wizi wa kura?

    Hello! Yaani tunao uzoefu, watu kabisa wanatia kura fake ndani ya masanduku ya kura na wanaonekana wazi wazi, sasa hawa ndio wanaoharibu uchaguzi wa haki. Sasa wanapita wanasiasa wakitwambia tuombee uchaguzi uwe wa amani. Sasa ni amani ipi wanaiongelea? 1. Je ni amani ya kuiba kura bila...
  10. upupu255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Kigogo avujisha video ya wizi wa kura ulivyokuwa ukifanyika 2020

    Kigogo anadai video hii inaonesha jinsi afisa wa uchaguzi walivyokuwa wakichagua viongozi katika vituo vya kupigia kura huku ulinzi ukiendelea nje kwa lengo la kuhakikisha hakuna Mwananchi atakayeshuhudia
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Othman Masoud Othman: Haiwezekani wenzetu wasiandikishwe Kupiga Kura Zanzibar kisha sisi tushiriki Uchaguzi

    "Haiwezekani kuna wenzetu hawajapata haki ya kuandikishwa kuwa wapiga kura Zanzibar, kisha sisi tutoke kwenda kushiriki kwenye uchaguzi kirahisi hili haliwezekani na lazima tupambane nalo" Othman Masoud Othman. Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo Taif, Othman Masoud Othman amesema kuwepo kwa...
  12. Jamiitrailer

    JamiiForums Tanzania Iko hivi; no reform,no election ni hitaji la sisi wapiga kura wa vyama vyote kwa muda mrefu,tunashangaa watu wasiotaka usawa,uhuru na haki

    Habari wakuu Watu wengi wameandika kuhusu ajenda ya Chadema ya kutaka uwepo wa mabadiliko katika taratibu na sheria zinazosimamia chaguzi zetu kabla ya uchaguzi mkuu ujao. Wengine wanaunga mkono ajenda ya Chadema,na wengine wanaunga mkono lakini wakisema hakuna muda wa kutosha kati ya sasa na...
  13. chiembe

    JamiiForums Tanzania Lissu, G55 ambao huwajui uko nao katika ziara na vikao, uchaguzi wa chama unaonyesha hukupata kura za wajumbe kwa asilimia 49.

    Lissu hakupata kura za wajumbe kwa asilimia 49, hizo zilienda kwa mstaafu, bado wapo, na huwa unawatukana katika mikutano yako. Wengine wako na wewe kimkakati, lakini ni G55, unafanya nao ziara na vikao. Baadae wanageukiana wanacheka halafu wanasonya. Hizo asilimia zikibadilika zinaweza...
  14. Upekuzi101

    JamiiForums Tanzania No Reform No Election ni sawa ila je tumeboresha taarifa zetu katika daftari la wapiga kura?

    No Reform, No Election inakwenda vizuri na muda SI mrefu mabadiliko makubwa yanakwenda kutokea katika kupiga kura, utaratibu wa Tanzania Ili uweze kupiga kura ni lazima uwe unejiandikisha katika daftari la kidumu la wapiga kura na pia inatakiwa uwe umehakiki taarifa zako. Ni kweli tunatakata...
  15. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania WANANCHI WALIJITOKEZA KWA WINGI SANA KUJIANDIKISHA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA HALAFU ETI KUNA MTU ANATAKA KUWAZUIA KUPIGA KURA, THUBUTU!!

    kwanza ni wawapi huyo yahaya? na familia yake inaishi wapi? Yaani ameshindwa kuzuia watu wasijiandikishe kwenye daftari la kudumu la taifa la kupiga, hataweza kuzuia vyama vya siasa kuteu wagombeaji wa vyama vyao kushiriki uchaguzi huo muhimu, hataweza kuzuia tume huru ya taifa ya uchaguzi...
  16. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Zitto Kabwe: Kwa chaguzi tatu mfululizo thamani ya kura imepotea, tumechapwa kibao kikali sana cha usoni

    "Kwa chaguzi tatu mfululizo thamani ya kura imepotea. Uchaguzi wa Serikali za Mitaa hakukuwa na kura, takribani wagombea wote wa upinzani walienguliwa. Mwaka 2020 tuliona kwa mara ya kwanza kura feki zikizagaa hovyo barabarani. Mwaka 2024 wakafanya kama mwaka 2020" "Matumaini yote tuliyokuwa...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kuduishe Kisowile (Kudu_ze_Kudu): Tunajenga Tanzania bora kwa pamoja, kajiandikishe upate nafasi ya Kupiga Kura

    Tunajenga Tanzania bora kwa pamoja! Jiandikishe kwenye Daftari la Kudumu la Kupiga kura ili kushiriki kikamilifu katika Demokrasia. Dkt. Kuduishe Kisowile Influencer wa Mtandaoni (Kudu_ze_Kudu)
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rita Paulsen (Madam Rita): Kupiga Kura ni Haki yako wewe mwenye sifa, sasa jiandikishe ili uipate haki hiyo

    Unapofikisha Umri wa Miaka 18 au unapoelekea kutimiza ni jukumu lako kuhakikisha unakuwa na Kadi ya Kupiga Kura, Watu wanatakiwa kutambua unapokuwa na kadi hiyo siyo lazima uwe Mwanachama wa chama fulani, hiyo ni haki yako na una haki ya kupiga Kura Rita Paulsen maarufu Madam Rita Mwanzilishi...
  19. Amba Samedi

    JamiiForums Tanzania Digital Marketing kwa Ajili ya Kuwezesha na Kuwashawishi Wapiga Kura

    Habari wanaJF, Natumaini tunaendelea vizuri. Niko salama hapa Morogoro. Nimeumiza sana kichwa kuwaza namna ya kutumia teknolojia kwa ajili ya kuwasaidia wagombea kuwafikia wapiga kura kwa urahisi. Nlikuwa naomba uzoefu kwa anayefahamu. Nini kifanyike? Unatumia mbinu zipi? Ipi ina smaku/kivutio...
  20. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nitampigia kura Rais Samia

    Oktoba 2025 Kura yangu sahihi nitampigia Dr Samia na wagombea wote watakaopitishwa na vikao halali vya Chama Cha Mapinduzi CCM. Lucas Mwashambwa Lucas mwashamba ChoiceVariable Tlaatlaah
Back
Top Bottom