kura

Rúben de Almeida Barbeiro (born August 21, 1987 in Leiria), better known by his stage name KURA, is a Portuguese electro house DJ and record producer. Kura has released tracks through labels such as Hardwell's Revealed Recordings, Flashover Recordings, Musical Freedom, and Spinnin' Records, among others.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Hivi kufanya kampeni ni lazima,kwa nini CCM wasisubiri tu mpaka siku ya uchaguzi watu wakawapigie kura

    Niseme kwanza sitoshiriki kupiga kura,lakini naona ni jinsi gani viongozi wanamatumizi mabaya ya pesa,hii gharama ya kuzunguka inchi nzima kwa msafara wa viongozi na wapambe CCM wanashindwa kukaa nyumbani kuokoa gharama halafu wajitokeze tu siku ya kupigiwa na kupiga kura,maana kwa hayo...
  2. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Moto wazidi kuwaka UWT K'njaro.walioenguliwa kura za maoni watishia kurejesha kadi za CCM

    MOTO WAZIDI KUWAKA UWT K'NJARO,WANACHAMA WATISHIA KUREJESHA KADI ZA CCM HALI bado si swari ndani ya Jumuiya ya wanawake wa Chama cha Mapinduzi(UWT)baada ya wanachama wake na wale walioenguliwa katika kinyang'anyiro cha kura za maoni kutishia kurejesha kadi za Umoja huo endapo mamlaka za juu za...
  3. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Usitumie Kura yako kuhalalisha upumbavu: Onesmo Mushi

    Mchambuzi wa masuala ya kisiasa,uchumi na kijamii, Onesmo Mushi, amewasihi watanzania kutoshiriki kupiga kura kwenye uchaguzi wa mwaka huu kwani itakuwa kama ni kuhalalisha upumbavu. Mchambuzi huyo ameonesha kuwa tangu turejee kwenye mfumo wa vyama vingi vya siasa, wagombea wa Urais Kwa mwaka...
  4. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kama Chaumma chini ya Mwalimu itapata kura zaidi ya 100,000 nchi nzima itakuwa ni jambo la ajabu

    Nimeona kuwa Salum Mwalimu ndo atapeperusha bendera ya CHAUMMA kwenye nafasi ya Urais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kama CHAUMMA itapata kura zaidi ya 10,000 nchi nzima mtakuja kuniambia. Safari hii CCM watazoa kura kwa asilimia 99. Upinzani nchi hii bado sana.
  5. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wilson Mahera ambwaga Sagini kura za maoni Butiama

    Aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia anayeshughulikia Elimu, Wilson Mahera, ameibuka mshindi katika kura za maoni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Butiama, akimshinda mbunge aliyekuwa akitetea nafasi hiyo, ambaye pia ni Naibu Waziri wa Katiba na Sheria...
  6. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Condester Sichwale aongoza kura za maoni Momba

    Mgombea ubunge wa Jimbo la Momba kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Condester Michael Sichalwe (Mundy), ameibuka mshindi wa kura za maoni ndani ya chama hicho kwa kupata kura 4,872, sawa na 44.04% ya kura zote halali zilizopigwa. Akitangaza matokeo hayo Sukuru Kataba, katibu wa CCM Wilaya...
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bakar Hamad ashinda kura kwa 73.7% uwakilishi - jimbo la Wawi

    BAKAR HAMAD ASHINDA KURA KWA 73.7% UWAKILISHI - JIMBO LA WAWI Aliyekuwa Mwakilishi katika Jimbo la Wawi, Ndugu Bakar Hamd Bakar ameongoza kwenye kura za maoni zilizopigwa na Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM wa Jimbo la Wawi ambapo amepata kura 399 sawa na 73.7% kati ya kura 541 zilizopigwa...
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania GE2025 Lucy Mayenga aaminiwa na wajumbe kwa kura 7,814 jimbo la Kishapu

    LUCY MAYENGA AAMINIWA NA WAJUMBE KWA KURA 7,814 JIMBO LA KISHAPU Ndugu Lucy Mayenga ameibuka kinara katika kura za maoni za Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwania ubunge wa Jimbo la Kishapu baada ya kushinda kwa kupata kura 7,814. Matokeo hayo yaliyotangazwa na CCM Wilaya ya Kishapu yanaonesha...
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania GE2025 Masache Kasaka ashinda kwa kura 5,572 jimbo la Lupa, Chunya

    MASACHE KASAKA ASHINDA KWA KURA 5,572 JIMBO LA LUPA, CHUNYA Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Lupa, Masache Njelu Kasaka ameibuka kidedea kwenye kura za maoni za Chama cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Lupa akipata kura 5,572 huku akiwaacha mbali washindani wake. Masache amepata ushindi huo dhidi ya...
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania GE2025 Chege Wambura aongoza kwa kura 7,866 jimbo la Rorya - Mara

    CHEGE WAMBURA AONGOZA KWA KURA 7,866 JIMBO LA RORYA - MARA Mbunge aliyemaliza muda wake katika Jimbo la Rorya Mkoa wa Mara, Jafari Chege Wambura ameongoza katika kura za maoni kwenye jimbo hilo baada ya kupata kura 7,866. Chege amewashinda makada wenzake wanne aliokuwa akigombea nao kwenye...
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mchengerwa (mtu kazi) wajumbe wamuamini kwa kura 8,465 (99.19)

    MCHENGERWA (MTU KAZI) WAJUMBE WAMUAMINI KWA KURA 8,465 (99.19) Mgombea wa Jimbo la Rufiji anayetetea jimbo lake, Ndugu Mohamed Mchengerwa ameibuka kidedea katika kinyang'anyiro cha kura za maoni kwa kuzoa asilimia 99.19 ya kura zote zilizopigwa. Matokeo hayo mazuri kwa Mchengerwa yametokana na...
  12. vnn

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hivi kweli Babu Tale ni wa kuongoza Kura za maoni?

    Ni kama vile wananchi hawako serious na maisha yao! Mimi nitoe Rai tu kwa waliopo kwenye mifumo pigeni kadri mnavyoweza msionee huruma wajinga wasiojitambua Ujinga ni laana
  13. Now and then

    JamiiForums Tanzania Hela alizokuwa anamwaga Byabato katika Mchakato wa kura za maoni Bukoba Mjini , hii inaonesha kutumbuliwa kwake kama naibu waziri lazima kuna namna.

    Mchakato wa kutafuta Mgombea Ubunge Pale Bukoba Mjini uligubikwa na hujuma kutoka kwa Byabato . Pamoja na kwamba Byabato hakuwa sehemu ya wagombea Ila alikuwa akimwaga pesa ili kushinikiza Mbunge anayemtaka yeye na sio ambaye anakubalika na chama na wananchi. Swali la kujiuliza hizi Pesa...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania GE2025 Waandishi wa Habari wakamatwa na Polisi wakifuatilia matokeo ya Kura za Maoni Manyara

    Waandishi wa habari Watatu akiwemo Julius Msagati wa EATV wamekamatwa na maafisa wa Jeshi la Polisi leo wakiwa katika majukumu yao ya kikazi wakifuatilia na kuripoti matokeo ya kura za maoni kwa nafasi ya Udiwani katika Kata ya Naisinyai, Mirerani, mkoani Manyara. Kwa mujibu wa mashuhuda...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wanu Ameir aibuka kinara kwa kupata kura 1,356 - Jimbo la Makunduchi

    WANU AMEIR AIBUKA KINARA KWA KUPATA KURA 1,356 - JIMBO LA MAKUNDUCHI Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kusini Unguja, Mhe. Wanu Hafidh Ameir ameongoza kwenye kura za maoni zilizopigwa na Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM wa Jimbo la Makunduchi ambapo amepata kura 1,356. Wanu amewapita kwa...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania GE2025 Grace Tendega: Kura hazijatosha Ubunge kalenga, ila siondoki CCM

    Aliyekuwa mgombea wa ubunge Jimbo la Kalenga kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Grace Tendega, amesema kuwa licha ya kutoshinda katika kura za maoni, ataendelea kuwa mwanachama mwaminifu wa chama hicho na kushiriki kikamilifu katika kampeni za kuwanadi wagombea wa CCM kuelekea Uchaguzi Mkuu wa...
  17. chiembe

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wajumbe wa CCM wamuhenyesha Mnyeti kura za maoni, aangushwa vibaya

    Wajumbe hawana utani, wamemtwanga vibaya ndugu Mnyeti. Anaitwa ‘𝘽𝙪𝙜𝙤𝙩𝙖 𝙬𝙖 𝙈𝙞𝙨𝙪𝙣𝙜𝙬𝙞’ (dawa ya Misungwi) jina maarufu alilopewa na wananchi wa Jimbo la Misungwi, wakimaanisha ‘dawa ya Misungwi’ kwa madai kwamba baada ya kuteswa na gonjwa sugu tafiti zimefanyika hatimaye tiba imepatikana...
  18. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wananchi waandamana kumkataa mgombea wa Udiwani aliyeshinda kwenye kura za maoni

    Wakuu, Huko Bihawana wajumbe wamechachamaa kwa kuandamana wakipinga matokeo ya kura za maoni. Hawa wananchi hawamtaki diwani aliyeshinda kura za maoni wanasema tangu aingie miaka 10 iliyopita hajafanya kitu chochote cha maana na wao walikuwa wanataka akatwe tangu mapema lakini jina lake...
  19. figganigga

    JamiiForums Tanzania Pangani: Juma Aweso kafanyaje hadi kupata kura zote za Wajumbe kila Kata?

    MATOKEO YA AWALI KURA ZA MAONI PANGANI 1):KATA YA MKALAMO 1.Jumaa Aweso- 219 2.Ramadhan Zuberi-0 3.Mariam Abdalah-0 2):KATA YA MKWAJA 1.Jumaa Aweso- 248 2.Ramadhan Zuberi-0 3.Mariam Abdalah-0 3):KATA YA KIPUMBWI 1.Jumaa Aweso- 414 2.Ramadhan Zuberi-0 3.Mariam Abdalah-0 4):KATA YA MIKINGUNI...
  20. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wajumbe waliamsha Simanjiro wakidai Katibu anaharibu mchakato wa kura za maoni

    Mko wapi? Its now obvious kwamba hata huko CCM wanahitaji kufanya reforms Hapa hawa wananchi wanalalamika kwamba kuna rafu zimefanyika kwenye mchakato wa Uchaguzi ambapo huyo Katibu anatuhumiwa kucheza rafu
Back
Top Bottom