kura

Rúben de Almeida Barbeiro (born August 21, 1987 in Leiria), better known by his stage name KURA, is a Portuguese electro house DJ and record producer. Kura has released tracks through labels such as Hardwell's Revealed Recordings, Flashover Recordings, Musical Freedom, and Spinnin' Records, among others.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Famonga ashinda kura za maoni jimbo la Temeke

    🛑 Famonga ashinda kura za maoni jimbo la Temeke. Fadhil Mohammed Famonga mshindi kura za maoni kupitia CCM jimbo la Temeke – Famonga ambaye amewahi kuwa mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM wilaya ya Temeke. #AsanteniWajumbe
  2. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sintofahamu yatokea Jimbo la Mfenesini baada ya Kura kudaiwa kuongezeka

    Matokeo ya kura za maoni za Chama cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Mfenesini mjini hapa yamechelewa kutangazwa kutokana na sintofahamu iliyojitokeza kutokana na kura kudaiwa kuongezeka. Idadi ya wajumbe walikuwa 472 lakini baada ya kura kuhesabiwa zikafikia 528, sawa na ongezeko la kura 56...
  3. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenyekiti wa UVCCM Kagera, Buruhan amegoma kusaini matokeo ya kura za maoni Bukoba vijijini

    Bukoba Vijijini | CCM Kura za Maoni Falis Athumani Buruhan amegoma kusaini matokeo ya kura za maoni baada ya kutoridhika na matokeo hayo yaliompa ushindi Dk. Jasson Samson Rweikiza, aliyeibuka mshindi baada ya kupata kura 6,485 kati ya kura halali 11,582 Falis Athumani Buruhan, alipata kura...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania GE2025 Innocent Bashungwa aongoza kwa kishindo kura za maoni Ubunge Karagwe Mkoani Kagera

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Karagwe kimetangaza matokeo rasmi ya kura za maoni za kumpata mgombea wa Ubunge wa Jimbo la Karagwe kupitia CCM, kufuatia uchaguzi uliofanyika tarehe 04 Agosti 2025. Katika matokeo hayo, Ndugu Innocent Lugha Bashungwa ameibuka mshindi kwa kupata kura 7,902...
  5. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM: Kuongoza Kura za Maoni haimaanishi umeteuliwa

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Ubungo kimehitimisha zoezi la kura za maoni kwa ajili ya kuwapata wagombea wa nafasi ya Ubunge katika majimbo ya Ubungo na Kibamba, huku Prof. Kitila Alexander Mkumbo na Anjellah Kairuki wakiibuka vinara wa kinyang’anyiro hicho Akizungumza na waandishi wa...
  6. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM 'walioanguka' kura za wajumbe

    Katika kile kinachoonekana kama mabadiliko ya upepo wa kisiasa ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), wabunge kadhaa waliokuwa wakitetea nafasi zao wamejikuta wakitemwa na wajumbe wa chama hicho katika kura za maoni zilizofanyika Agosti 4, 2025, katika maeneo mbalimbali ya Tanzania. Ingawa...
  7. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kura za ubunge CCM ni faraja kwa Polepole, legasi ya JPM inazidi kuishi

    Mpaka sasa idadi kubwa ya wabunge waliopitishwa na wajumbe CCM kuwa wabunge 2025-2030 ni walewale waliokuwa wanakubalika au waliopitishwa na Magufuli kuwa wabunge mwaka 2020, mabadiliko ni madogo sana lakini nayo mengi inaonekana ni ya watu waliopata kibali cha JPM kama Masanja Kadogosa...
  8. kyagata

    JamiiForums Tanzania GE2025 Huyu Professor Neema Kumburu aliyepata kura 8 za wajumbe mbona kama anajidhalilisha?

    Huko jimbo la Moshi mjini kwenye kura za maoni, kuna professor anaitwa Neema kumburu ,yani kapata kura 8 tu za wajumbe. Huyu mtu mbona ni kama anadhalilisha taaluma yake?
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 John Nchimbi aongoza kura za maoni Jimbo la Nyasa

    Aliyekua Mkurugenzi wa Jiji la Mbeya, John John Nchimbi ameongoza kura za maoni Jimbo la Nyasa baada ya kupata kura 9,157 kati ya kura 10,695 zilizopigwa akifuatiwa kwa mbali na aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo Stellah Manyanya aliyepata kura (548).
  10. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Hii mikoa ikipiga kura za visasi dhidi ya CCM ya Samia haipati hata asilia 25

    Tanga, kauli ya kifo ni kifo bado inawauma sana. Katavi, imetupwa kushoto kuliko hata Kizimkazi yenye watu 20000 Mwanza, tukio la machi 17 2021 bado linawauma sana. Maana bado hawaamini kama ni mkono wa Mungu Geita, waemkaa kimya ila wanasema walishatengwa kabisa baada ya machi 17 2021...
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Shangwe laibuka baada ya Eric Shigongo kuibuka mshindi kura za maoni CCM, jimbo la Buchosa

    Shangwe latawala mara baada ya Mbunge wa Buchosa aliyemaliza muda wake, Eric Shigongo, kuibuka mshindi katika kura za maoni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) akiwania muhula wa pili wa ubunge katika jimbo hilo.
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Lukuvi ashinda kwa kwa tofauti ya kura 4,587 Ismani

    Mbunge aliyemaliza muda wake wa Jimbo la Ismani, William Vangimembe Lukuvi, ameibuka mshindi wa kishindo katika mchakato wa kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa nafasi ya ubunge wa jimbo hilo, akiwashinda wagombea wenzake kwa tofauti kubwa ya kura. Huku wananchi wa Kihorogota na...
  13. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kura za wajumbe wa CCM zimepalilia falsafa ya Oktoba tunatiki, Sasa tutatiki kwa Rais Samia, wabunge wa CCM na madiwani wa CCM. Then Day ended well

    Nianze kwa kumpongeza mwenyekiti wetu wa CHAMA CHA MAPINDUZI TANZANIA Dr. Samia Suluhu Hassan kwa kuwapa nguvu Wajumbe waamue viongozi wanaowataka kupitia kura. Hongera sana mwenyekiti wetu Samia kwa kuongoza chama chetu kwa akili kubwa na maono makubwa. Wajumbe wameshachagua wabunge na...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Acheni Uongo Jimbo la. Mtama Lindi Nape Nnauye ameshinda Kwa kura 3160

    Matokeo rasmi Mheshimiwa Nape ndiyo mshindi na. siyo Jemedari Said kama wanavyodai baadhi ya Makada wa mchongo.
  15. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dotto Biteko Ashinda kwa Asilimia 99.8 hakuna Kura za hapana jimbo la Bukombe- Geita

    Aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Bukombe ambae pia ni naibu Waziri Mkuu Dkt Doto Biteko ameibuka kidedea kwenye Kura za Maoni ndani ya Jimbo hilo kwa Ushindi wa kura za ndio 7441, akishinda kwa Wastani wa Asilimia99.8%. Katika mchakato wa kura za Maoni Idadi ya Wajumbe waliohudhuria ilikuwa ni...
  16. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jumaa Aweso aibuka kidedea kura za Maoni ubunge Jimbo la Pangani

    Mtia nia wa nafasi ya ubunge katika Jimbo la Pangani mkoani Tanga kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jumaa Aweso, ameibuka mshindi kwa kishindo katika kura za maoni zilizofanyika jimboni humo baada ya kupata kura zote za ndiyo katika kata zote zilizopiga kura. Aweso amepitishwa na wajumbe wote...
  17. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania jimbo la Kisesa, wajumbe wamegoma kupiga kura wakimtaka mbunge wao aliyekatwa jina.

    Inawezekana kabisa CCM inazihitaji zaidi REFORMS kuliko hata Chadema na wenzao. Leo huko mkoani Simiyu, jimbo la Kisesa, wajumbe wamegoma kupiga kura wakimtaka mbunge wao aliyekatwa jina. Wao wamesema wanamtaka mbunge wao, hawapigi kura za maoni siku ya leo hadi waletewe mbunge wao. Hawana...
  18. BigTall

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baadhi ya Mawakala wadai Katibu wa CCM Siha anataka kuvuruga Uchaguzi wa Kura za Maoni

    Mchakato wa Upigaji Kura Jimbo la Siha umeanza kuingia doa baada ya kudaiwa kuwa upigaji Kura umekamilika lakini imetokea hali ya kutoelewana kati ya Wasimamizi wa Mchakato na baadhi Mawakala. Inadaiwa kuwa Katibu wa CCM Wilaya ametoa maelekezo kuwa msafara wa kubeba Kura uondoke bila kufuatwa...
  19. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Apaikunda aongoza kura za maoni udiwani kata ya Mawenzi

    Diwani aliyemaliza muda wake wa Mawenzi, Jimbo la Moshi Mjini, Apaikunda Naburi ameongoza kura za maoni katika kata hiyo kwa kupata kura 58 kati ya 94 zilizopigwa. Akitangaza matokeo hayo, katika uchaguzi huo uliofanyika leo Jumatatu, Agosti 4, 2025, Katibu wa CCM Kata ya Mawenzi, Jolitha John...
  20. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mjimpya- Morogoro, wajumbe kuanza mchakato wa kuhesabu kura

    Msimamizi wa uchaguzi na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Morogoro, Kheri Mkamba, leo ameongoza zoezi la kuanza kwa uchaguzi wa kura za maoni katika Kata ya Mjimpya, Manispaa ya Morogoro. Pichani Mkamba akionyesha sanduku la kura pamoja na kura ambazo bado...
Back
Top Bottom