Rúben de Almeida Barbeiro (born August 21, 1987 in Leiria), better known by his stage name KURA, is a Portuguese electro house DJ and record producer. Kura has released tracks through labels such as Hardwell's Revealed Recordings, Flashover Recordings, Musical Freedom, and Spinnin' Records, among others.
Wakuu
Akiwa anazungumza leo Agosti 20 Mdahalo wa Wadau wa Amani Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Wabunge na Madiwani 2025 Kamanda Muliro wakati anafunga hotuba yake ametoa kauli hii:
"Nina hakika kwa Jeshi hili sidhani kama yupo anaependa kufa"
Lolote linaweza kutokea na yeyote miongoni tuliopigiwa kura za maoni anaweza kupendekezwa na kamati kuu ya ccm taifa na akaidhinishwa na halmashauri kuu ya ccm taifa, kua ndie atakaepeperusha bendera ya ccm uchaguzi mkuu wa october29,2025.
CCM haina cha kupoteza uchaguzi mkuu huu, na yeyote...
Mpina ni mwanasiasa makini na mzalendo. Nampongeza kwa hii kauli yake ya kuheshimu vyombo vya dola pamoja na tume huru ya uchaguzi.
https://www.instagram.com/reel/DNgcF0SiDKW/?igsh=dXd4OXg4YWZ2NTdz
Uchaguzi Usio na haki ni laana, Hatuwezi kushiriki laana hiyo kwa mabango, nyimbo wala kwa kutiki wagombea haramu pasipo haki.
Haki huinua taifa, Taifa haliwezi kusonga kama watu wake hawakupatana namna ya kwenda pamoja.
Mungu anatusihi tuidai haki kwanza ili mengine yafuate!
Yeremia 7:5–7...
Matokeo ya awali katika kata 14, matokeo yanaonyesha Isaya Mngulumi anaongoza kwenye kata zote kati ya kata 22 za Wajumbe waliopiga kura siku ya Leo.
Ikumbukwe kuwa Isaya Mngulumi alishika nafasi ya pili akitanguliwa na Hayati Ndugai. Hapa ni kata ya Kibaigwa
Kwa mjibu wa maelezo ya Askofu mkuu wa Kanisa la ufufuo na uzima Tanzania.Itakuwa maajabu kama wafuatao wataenda kupiga kura
1. WAKATOLIKI:Kufuatia kupigwa kwenye makazi yake Padre Dkt. Charles Kitima ambaye pia ni Katibu mkuu wa Baraza la maaskofu Tanzania (TEC) na shambulio hilo kuhusishwa...
Askofu Gwajima amesema; Mwenyekiti wa CHADEMA, Lissu - aliyepigwa risasi 16 na akapona; yupo gerezani. Kuna ambao hata si watu wa CHADEMA, lakini wanamuonea huruma Lissu; je, hawa watapiga kura?
Wanachama wa CCM Kata za Bereko na Kisese, wilayani Kondoa, mkoani Dodoma, wameuomba Uongozi wa CCM Taifa, kurudia kura za maoni kwa nafasi ya Udiwani na Ubunge wa Jimbo la Kondoa Vijijini, wakidai uchaguzi huo uligubikwa na vitendo vya rushwa ili kutoa fursa kwa wananchi kupata kiongozi bora...
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano kupitia ACT Wazalendo, Luhaga Mpina amesema kuenguliwa kwa waliokuwa wabunge 28 katika katika kura za maoni za CCM akisema yamelenga kuondoa wabunge wanaouliza maswali na kutoa hoja bungeni.
Akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari leo Agosti 14 jijini...
Babu Tale akipika ugali na mrenda, muda mfupi baada ya kutoka kwenye ofisi za chama Mvuha, siku moja baada ya kushinda kura za maoni Jimboni Morogoro Vijijini Kusini Mashariki kwa kupata kura 5,318 dhidi ya Omar Tebweta Mgumba aliyepata 1,310.
Ndugu zangu Watanzania,
Nawapendeni Sana Watanzania wenzangu.
Habari ni Kuwa Kura za Maoni zitafanyika upya katika Jimbo la Kongwa Kufuatia kifo cha Hayati Jobu Ndugai aliyekuwa miongoni Mwa wagombea katika Jimbo hilo.
Ambapo pia katika uchaguzi wa kura za Maoni za Awali kabla ya Kifo chake...
According to Gallup's latest poll, several current and former Trump administration officials have also seen plunging favorability ratings, including secretary of state Marco Rubio, and president Trump himself, setting the stage for a whirlwind midterm election next year.
Trump has since tried...
CONDESTER SICHALWE AONGOZA KWA KURA 4,872 JIMBO LA MOMBA - SONGWE
Mbunge aliyemaliza muda wake katika Jimbo la Momba Mkoa wa Songwe, Condester Michael Sichalwe ameongoza katika kura za maoni kwenye jimbo hilo baada ya kupata kura 4,872.
Condester Sichalwe amewashinda makada wenzake watano...
Jana Samia kachukua fomu, ukiangalia tukio Zima, mchukua fomu na Mgombea mwenza walikuwa wabaridi mno.
Uchaguzi wa mwaka huu umepoa aswaa, hauna hamasa ata kidogo. Wananchi hawataki kabisa kumsikia Mgombea wa CCM.
Matukio ya utekaji, mauaji, ubakaji,kubambikizia wapinzani kesi za uongo ndo...
Kuna malalmiko mengi nchi nzima kuhusiana na kura za maoni zilizopigwa hivi karibuni. Wengi wamelalamika kuwa rushwa ilitawala sana na hasa wale walioshika namba moja hawakushika namba moja kwa haki.
Ninaishauri CCM irudie zoezi hili kwa mara ya pili ili haki ipatikane. CCM inapiga vita...
Hiki ni kile nilichokishuhudia kwa macho yangu kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na kilichofanyika kwenye so called kuhuisha/kuandikisha wapiga kura wapya.
Ni hivi,
Mwitikio wa watanzania wengi kwenye kujiandikisha na kupiga kura kwenye chaguzi hizi za kipuuzi ni mdogo sana na watu wengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.