kupunguza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kupunguza Fraud mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Uhudumie hospitali za umma tu

    Ieleweke kuwa kuna mlipuko wa uanzishwaji wa Hospitali binafsi almaarufu Polyclinics na Specislized clinics hapa nchini ambazo kwa maoni yangu nyingi zimejibatiza majina tu. Nyingi ya clinic hizi zinategemea malipo kutoka mfuko wa bima ya afya (NHIF) na kiukweli bila NHIF nyingi zitakufa...
  2. SoC02 Ajira mpya Serikalini ziwe ni kwa miaka kumikumi, itasaidia kupunguza tatizo la ajira na ugumu ya maisha

    1.0 Ikisiri Nchi nyingi duniani zinakumbana na changamoto ya ajira kwa vijana. Hii ni kutokana na ongezeko la idadi ya wahitimu katika ngazi mbalimbali za elimu ingali hapajatengenezwa mazingira rafiki kwa ajili ya kuwaajiri au kujiajiri vijana hao. Pamoja na kuonekana madhara makubwa...
  3. Traffic Police wa Tanzania wanasababisha ajali kuliko kupunguza

    Huu ndio ukweli mchungu sana.... Unamiliki chombo Cha usafiri? Wewe ni Mtu makini wakati wa Safari? Basi utakubaliana na ukweli huu. 1. Traffic Police wetu wamegeuka wakusanya mapato badala ya Usalama kwanza imegeuka Mapato kwanza. Ndio maana hushangai kusikia taarifa ya Jeshi la Police...
  4. Ushauri wangu kwa serikali ili kutoa mchango wa kupunguza ajali za magari

    Hakuna shaka ubovu wa vyombo vya usafiri una mchango mkubwa katika ajali zinazotokea nchini ikiwemo iliyochukua uhai wa watoto wa shule hapo majuzi. Nashauri wizara husika ipeleke mswaada bungeni ili itungwe sheria ya ukaguzi wa magari , kama usivyoweza kuendesha gari bila bima , basi kuwe...
  5. Nini kifanyike kupunguza Makali ya Maisha kwa Watumishi wa Umma?

    Habari ya saa hizi waungwana!! Ni ukweli usiopingika kuwa Maisha kwa watumishi wa Umma yanazidi kuwa ni tia maji tia maji. Mathalani nyongeza ghafi isiyonyumbuka ya mshahara haifui dafu kabisa kwenye mfumuko wa bei uliojitokeza kuanzia April 2022. Nadhani wakati umefika sasa kufungua mjadala...
  6. Nahitaji dawa ya kupunguza nguvu za kiume

    Natafuta dawa ya kupunguza nguvu za kiume, ni hali ambayo inanisababishia changamoto kadhaa katika mahusiano yangu yote. Naweza kupiga pump non-stop mpaka masaa manne mfululizo na mashine bado inakua na hasira kama nyati aliejeluiwa ila sasa mwenzangu anakua tayari ashachoka sana sometimes...
  7. Zingatia haya kununua kiwanja ili kupunguza utapeli

    Habari ya jumapili wakuu, baada ya kutoka kanisani acha nifanye utume kidogo kukumbushana haya machache ili kupunguza vilio na hasara. Ninaamini kabisa kuwa utapeli katika masuala anuwai upo lakini kuna namna huwa watu tunaweza kuchukua tahadhari na kupunguza visa vya kutapeliwa linapokuja...
  8. V

    Jinsi zao la alizeti linaweza kupunguza uhaba wa mafuta ya kupikia

    UTANGULIZI Sekta ya kilimo inachangia zaidi ya 40% ya pato la taifa. Ili taifa loloteliweze kukua vizuri kiuchumi lazima liwe na mikakati dhabiti na endelevu juu ya kilimo bora na chenye tija kwa taifa na kwa wananchi wake Kilimo za alizeti...
  9. U

    Magufuli aliniongezea 70,000/= Kwa kupunguza paye, Samia kaniongeza 20,000/= Kwa asilimia 23.3%

    Nimepata nyongeza kubwa ya mshahara wakati wa Magufuli kuliko wakati wa Samia japo wakati wa Samia asilimia ni kubwa. Sina mengi ya kuongeza lakini naendelea kumshukuru Hayati DR.John Pombe Magufuli , Mungu amlaze mahali pema, tutakukumbuka daima
  10. R

    SoC02 Namna ambavyo kilimo kinaweza kupunguza tatizo la ukosefu wa ajira nchini

    Tanzania ni miongoni mwa nchi duniani ambayo imekuwa na changamoto ya vijana kukosa ajira mara baada ya kuhitimu masomo. Kumekuwa na mitazamo mingi juu ya tatizo hili ambapo wengine wamefikia hatua ya kusema ni bomu linalojiandaa kulipuka. Kwa vyovyote vile kuna haja ya kulipa kipaumbele suala...
  11. F

    SoC02 Ili kupunguza ukosefu wa ajira, bodi ya mikopo itoe mikopo ya kujiajiri kwa wanachuo wahitimu wanaotaka kujiajiri

    Hello wadau wa JF, Nimekuja kuwashirikisha wazo ambalo likifanyiwa kazi linaweza likaleta mabadiliko makubwa kwa watanzania. Andiko langu limelenga katika sekta ya elimu kwa sababu ya imani yangu juu nchi yetu yenye Mali nyingi na wasomi wengi lakini tunaishi kimaskini. Licha ya kwamba elimu...
  12. Kupunguza migogoro ya ardhi Wizara ya Ardhi iweke ramani na taarifa muhimu online

    Ramani za miji kwa maeneo yaliyopimwa ni public document. Migogoro mingi ya ardhi inakuwepo kutokana na double allocation. ( Ardhi moja kuuziwa kwa watu wawili). Itungwe sheria itayopelekea ramani za maeneo yaliyopimwa na ambayo bado kuwa online na kuwa access upon payment of a certain fee...
  13. Serikali kupunguza kodi kwenye betting haioni inaendelea kuharibu vijana ambao wapo addicted na kubet

    Leo waziri wa fedha amependekeza kupunguza kodi kwenye pesa anayoshinda mtu aliyebeti kutoka 15% mpaka 10%. Kwangu naona hii ni kama kuendelea kuharibu vijana maana watahamasika kutokana na kuona wakishinda watakatwa pesa kidogo. Bora ingeongezwa ili iwavunje moyo watu wanaobet labda...
  14. L

    Wafanyakazi wa mbuga ya wanyama waliwasaidia wanyama kupunguza joto kwa njia mbalimbali

    Juni 19 mwaka 2022, halijoto ya juu ya siku hiyo ilikaribia nyuzijoto 40 mjini Ji’nan China, na wafanyakazi wa mbuga ya wanyama waliwasaidia wanyama kupunguza joto kwa njia mbalimbali.
  15. Pakistan: Pendekezo la kupunguza unywaji wa chai - Serikali lawamani

    Waziri anayehusika na Mipango wa Pakistani amependekeza kuwa wananchi wapunguze unywaji wa chai kwa kuwa Serikali hutumia fedha nyingi kuingiza chai kutoka nje ya nchi, pendekezo hilo limesababisha hasira ya wananchi dhidi ya serikali na kusema kuwa uchumi umedorora kutokana na serikali kuwa na...
  16. Pakistan: Waziri awaomba wananchi kupunguza kunywa chai

    Wananchi wameshauriwa kupunguza unywaji wa chai ili kusaidia Uchumi wa Nchi. Waziri wa Mipango na Maendeleo, Ahsan Iqbal ametoa wito huo akisema, "Tunakopa ili kuagiza Chai, kunywa vikombe vichache kutashusha gharama kubwa za uagizaji" Inaelezwa kuwa, Akiba ya Fedha za Kigeni ya Pakistan...
  17. L

    Je, unaweza kupunguza uzito wakati unapochaji?

    Katika Kituo cha reli cha Brussels Kusini nchini Ubelgiji, abiria wanatumia baiskeli za kuchaji vifaa vya elektroniki vya mkononi kama vile simu za mkononi, kompyuta za mkononi au kompyuta ndogo
  18. Mabango ya picha ya Rais kwenye shughuli mbalimbali haukuwepo kabla ya 2015. Uondolewe kupunguza gharama?

    Habari wakubwa, Kwa kumbukumbu zangu kama sijakosea kuanzia awamu ya 5 na hii ya sasa tuliyonayo shughuli za kitaifa anazohudhuria Rais zinambatana na mabago 'banners' makubwa yenye picha ya Rais pamoja jumbe au kaulimbiu kulingana na shughuli husika iwe maadhimisho, sikukuu za kitaifa na...
  19. Watangazaji wa TV wapunguze maneno wanapokuwa katika vipindi mubashara ili wataalam watoe maarifa kwa kina

    Wakuu salaam, moja kwa moja kwenye mada, Kuna watangazaji wa vipindi mubashara ambavyo kuna wataalamu wa afya, elimu, viongozi nk hualikwa kwa ajili ya kudadafua mambo fulani kwa kina. Natambua watangazaji wanajukumu muhimu la kuongoza mijadala kwa kuuliza maswali au kupokea simu za watazamaji...
  20. UPDATE: Nimeanza kuacha matumizi ya dawa za kupunguza mapigo leo tarehe 25 saa4 kamili asubuhi

    Kutokana na maoni ya wadau mbali mbali jukwaani hapa pamoja na forum mbali mbali kama BETA BLOCKER/BISOPROLOL WITHDRAWAL FORUM, Leo nimeamua kuacha hizi dawa kwa kufanya yafutayo. 1. Kwanza ifahamike kwamba mwanzoni nilikua nameza kidonge kizima cha NEBIVOLOL chenye 5MG, na badae nikapunguza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…